Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHAGUZI MKUU COASTAL UNION KUFANYIKA JULAI 5

Kamati ya Uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF limetangaza Uchaguzi Mkuu wa klabu ya Coastal Union ya jijini Tanga utafanyika tarehe 05, Julai 2015.
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF, Wakili Melchesedek Lutema ametoa ratiba ya mchakato mzima wa uchaguzi huo, ambapo tarehe 21-22 Mei mwaka huu zitatangazwa nafasi zote zinazogombewa.
Kwa mujibu wa kalenda hiyo ya Uchaguzi, tarehe 23-30, Mei 2015 itakua ni kipindi cha uchukuaji fomu kwa wagombea wote na kuzirudisha, wakati...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO MKUU WA DHARURA WA WANACHAMA COASTAL UNION KUFANYIKA KESHO JUMAPILI KWENYE UKUMBI WA BWALO LA POLISI MKOANI TANGA.



MKUTANO Mkuu wa Dharura wa Wanachama wa Klabu ya Coastal Union unatarajiwa kufanyika kesho Mei 17 mwaka huu kwenye ukumbi wa Bwalo la Polisi mjini  Tanga.

Sababu za Mkutano huo kufanyika katika Ukumbi la Polisi Mesi ni

kutokana na makao makuu ya klabu ya Coastal Union kuendelea mchakato wa uandikishaji wa vitambulisho vya Taifa na upigaji picha wananchikwa ajili ya vitambulisho hivyo.

Akizungumza leo,Ofisa Habari wa Coastal Union,Oscar Assenga  alisema maandalizi ya mkutano huo yanaendelea...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA DHARURA WA WANACHAMA COASTAL UNION KUFANYIKA KESHO JUMAPILI KWENYE UKUMBI WA BWALO LA POLISI MKOANI HAPA.

MKUTANO Mkuu wa Dharura wa Wanachama wa Klabu ya Coastal Union unatarajiwa kufanyika kesho Mei 17 mwaka huu kwenye ukumbi wa Bwalo la Polisi mjini  Tanga.

Sababu za Mkutano huo kufanyika katika Ukumbi la Polisi Mesi ni

kutokana na makao makuu ya klabu ya Coastal Union kuendelea mchakato wa uandikishaji wa vitambulisho vya Taifa na upigaji picha wananchikwa ajili ya vitambulisho hivyo.

Akizungumza leo,Ofisa Habari wa Coastal Union,Oscar Assenga  alisema maandalizi ya mkutano huo yanaendelea...

 

5 years ago

Michuzi

Kailima:Uchaguzi Mkuu wa Viongozi wa Chama cha Wafunguji Tanzania (CCWT) kufanyika 16 Julai, 2020.



Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima, akitoa taarifa kwa Umma kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Viongozi wa Chama cha Wafugaji Tanzania (CCWT) utakaofanyika tarehe 16 Julai, 2020. Kailima, ametoa taarifa hiyo katika Mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo jijini Dodoma.Kaimu Msajili wa Jumuiya za Kijamii wa Wizara...

 

10 years ago

Raia Mwema

Nilichoshuhudia uchaguzi Coastal Union

MWALIMU wangu Ernest Sungura, aliwahi kunifundisha kuwa mwandishi wa makala hatumii nafsi ya kwan

Hafidh Kido

 

10 years ago

Michuzi

TFF yaiagiza Klabu ya Coastal Union kuitisha mkutano mkuu wa dharura wa wanachama

KUFUATIA vikao vya maridhiano ya Uhakiki wa wanachama wa Klabu ya Coastal Union ulioongozwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la soka nchini (TFF) Ahmed Iddi Mgoyi.
Katibu Mkuu wa TFF, Mwesigwa Selestine ameiandikia barua Klabu ya Coastal Union akiiagiza klabu hiyo kuitisha mkutano mkuu wa dharura wa wanachama tarehe 17 Mei mwaka 2015.
Matokeo ya maamuzi haya yamepatikana baada ya kikao cha usuluhishi cha amani kilichoongozwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Ahmed Iddi Mgoi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi Mkuu Uingereza kufanyika kesho

Uchaguzi mkuu nchini Uingereza kufanyika kesho, huku viongozi wa vyama na wagombea wakikamisha kampeni zao Jumatano

 

10 years ago

Michuzi

UCHAGUZI MKUU WA TBA KUFANYIKA JUNI 10 MWAKA HUU.

Na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limesogeza mbele siku ya kufanya uchaguzi  wa Chama cha Mchezo wa Vinyoya Tanzania (TBA) ambapo unatarajiwa kufanyika Juni 10
mwaka huu katika ukumbi wa Baraza hilo.
Hayo yamesemwa na  Afisa habari Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Najaha Bakari wakati akizungumza na Mwandishi wetu kwa Njia ya simu.
 Pia Najaha amesema kuwa Baraza hilo linaongeza muda wa kuchukua na kurudisha fomu za Uchaguzi wa Viongozi wa Chama cha Mchezo wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Ni ndoto Kura ya Maoni, Uchaguzi Mkuu kufanyika pamoja

Kuyumba na hatimaye kupeperuka kwa Kura ya Maoni kwa Katiba Inayopendekezwa kulianza kama mzaha pale kila kiongozi alipotoa tamko lililokinzana na mwingine.

 

11 years ago

GPL

UCHAGUZI MKUU TASWA KUFANYIKA FEBRUARI 16 MWAKA HUU

Katibu Mkuu wa Taswa, Amir Mhando. UCHAGUZI Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), utafanyika Februari 16 mwaka huu jijini Dar es Salaam. Uamuzi huo ulifikiwa na kikao cha Kamati ya Utendaji ya TASWA  kilichofanyika Dar es Salaam jana kujadili masuala mbalimbali ya chama na waandishi wa habari za michezo kwa ujumla. Kikao kilikubaliana kuwa uchaguzi ufanyike kwa katiba ya zamani, kwani mchakato wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani