Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFF YATANGAZA RASMI RATIBA YA MASHINDANO YA KOMBE LA WANAWAKE TAIFA

 Rais Wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Mh Jamal Malinzi akizungumza na wanahabari leo katika ofisi za TFF kuhusu kampuni ya Proin Promotions ltd kudhamini Mashindano ya mpira wa miguu kwa wanawake yajulikanayo kama Kombe la Wanawake Taifa, mashindano hayo yanatarajiwa kuanza tarehe 28 Disemba kwa kushirikisha timu kutoka Mikoa yote ya Tanzania. Mashindano hayo yatazinduliwa Mkoani Mwanza kwa kuzikutanisha timu za Mwanza na Mara. Kushoto kwa rais wa TFF ni Rose Kissiwa ambae ni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

RATIBA YA MASHINDANO YA KOMBE LA WANAWAKE TAIFA



 Rais Wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Mh Jamal Malinzi akizungumza na wanahabari leo katika ofisi za TFF kuhusu kampuni ya Proin Promotions ltd kudhamini Mashindano ya mpira wa miguu kwa wanawake yajulikanayo kama Kombe la Wanawake Taifa, mashindano hayo yanatarajiwa kuanza tarehe 28 Disemba kwa kushirikisha timu kutoka Mikoa yote ya Tanzania. Mashindano hayo yatazinduliwa Mkoani Mwanza kwa kuzikutanisha timu za Mwanza na Mara. Kushoto kwa rais wa TFF ni Rose Kissiwa ambae ni...

 

10 years ago

Michuzi

9 years ago

StarTV

TFF: Yatangaza ratiba ya ligi kuu Tanzania bara msimu wa 2015/2016.

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limetangaza rasmi ratiba ya Ligi Kuu soka Tanzania Bara kwa msimu wa 2015/2016, ambao utakuwa na jumla ya timu 16 badala ya 14 za msimu uliopita.

Ligi Kuu ya Bara imepangwa kuanza Septemba 12 mwaka huu, na itamalizika Mei saba mwakani, lakini itasimama kwa mapumziko kati ya Novemba saba na Desemba 19 mwaka huu, kupisha michuano mbalimbali ya kimataifa.

 

TFF imetangaza ratiba ya ligi hiyo, na kusema imezingatia ratiba ya mashindano mbalimbali ya kitaifa na...

 

9 years ago

StarTV

TFF yapongezwa kwa kuanzisha mashindano ya kombe la FA.

 

Mara baada ya kuanza rasmi kwa mashindano ya kombe la Shirikisho (FA)wadau wa mchezo soka Mkoani Morogoro, wameupongeza uongozi wa TFF, kwa uanzishaji wa mashindano hayo, kwani wanaamini yamelenga katika kuleta maendeleo ya mchezo wa soka nchini, pamoja na kuibua vipaji vya wachezaji ambao walikosa fursa ya kuonekana.

Aidha imeelezwa michuano hiyo itawasaidia wachezaji wachanga na timu za chini, kujijengea uwezo wa kujiamini, kutokana na kupata nafasi ya kukutana na timu zinazoshiriki ligi...

 

10 years ago

Michuzi

Mashindano ya kombe la Muungano Mufindi 2015 yaanza rasmi

Mashindano ya kombe la Muungano Mufindi yaliyofunguliwa na Naibu Waziri Mhe. Juma Nkamia, tarehe 10 mwezi huu katika  uwanja wa shule ya msingi lgowole, Mufindi, yanaendelea vyema.  Kwa mujibu wa mratibu wa michuano hiyo, Daud Yassin. Mashindano hayo yatakamilika tarehe 7 mwezi juni. Yassin kwa sasa anajitahidi kutafuta wahisani wa kuchangia zawadi za washindi, ambapo bingwa atapata cash ya shilingi milioni 5, mshindi wa pili 2.5m na mchezaji bora laki 5.  Yassin amewaomba wadau wa michezo,...

 

11 years ago

Michuzi

RATIBA YA MABONDIA WA TANZANIA WANAOWAKILISHA TAIFA KATIKA MASHINDANO YA JUMUIYA YA MADOLA SCOTLAND (NDONDI)

Hatimaye ratiba ya mchezo wa ngumi kwa mashindano ya Jumuiya ya Madola imetolewa leo tarehe 24/07/14 baada ya zoezi la kupima uzito na afya lililofanyika kuanzia saa 2.00 hadi saa 4.00 Asubuhi kwa saa za Scotland, kwa mabondia na waamuzi wote wanaotegemea kushiriki mashindano hayo`1.
Ratiba hiyo inaonyesha kuwa mashindanoo yataanza  tarehe 25/07/14 na yatamalizika tarehe 02/08/14.katika ukumbi wa Secc (Hall 4A) na inaonyesha kuwa captain wa timu ya Tanzania Selemani kidunda ndiye atayeanza...

 

10 years ago

Michuzi

BALIMI EXTRA LAGER YATANGAZA RASMI UDHAMINI WA MASHINDANO YA MBIO ZA MITUMBWI KANDA YA ZIWA KWA MWAKA 2014

Meneja wa Bia ya Balimi Extra Lager, Edith Bebwa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa mashindano ya mbio za Mitumbwi Kanda ya Ziwa, zijulikanazo kama “Balimi Boat Race” iliyofanyiak Dar es Salaam leo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani