TFF yapongezwa kwa kuanzisha mashindano ya kombe la FA.
Mara baada ya kuanza rasmi kwa mashindano ya kombe la Shirikisho (FA)wadau wa mchezo soka Mkoani Morogoro, wameupongeza uongozi wa TFF, kwa uanzishaji wa mashindano hayo, kwani wanaamini yamelenga katika kuleta maendeleo ya mchezo wa soka nchini, pamoja na kuibua vipaji vya wachezaji ambao walikosa fursa ya kuonekana.
Aidha imeelezwa michuano hiyo itawasaidia wachezaji wachanga na timu za chini, kujijengea uwezo wa kujiamini, kutokana na kupata nafasi ya kukutana na timu zinazoshiriki ligi...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTFF YATANGAZA RASMI RATIBA YA MASHINDANO YA KOMBE LA WANAWAKE TAIFA
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-eRiVXDIl5dE/U5tHtaBRYXI/AAAAAAAFqb8/oSTNl6ktnl0/s72-c/New+Picture+(1).bmp)
11 years ago
Michuzi06 May
11 years ago
Tanzania Daima17 Jun
TFF yaokoa mashindano ya Rollingstone
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limejitosa kuokoa mashindano ya vijana ukanda wa maziwa makuu ambayo yalikuwa katika hatihati ya kufanyika na sasa waratibu Rollingstone Sports Academy ya mjini hapa chini...
10 years ago
VijimamboRATIBA YA MASHINDANO YA KOMBE LA WANAWAKE TAIFA
10 years ago
Michuzi19 Jan
10 years ago
Mtanzania10 Jun
TFF yafunika kombe
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limeamua kufunika kombe kunusuru aibu iliyokuwa itokee kuhusu sakata la mkataba kati ya Simba na mchezaji Ramadhani Singano ‘Messi’ kwa kuwataka wakutane na kuingia mkataba mpya.
Pande hizo mbili zilikutanishwa jana kufuatia kutokea mgogoro mkubwa baina yao, baada ya Messi kudai mkataba wake wa miaka miwili uliokuwa umalizike mwezi ujao umechezewa na Simba, ambao wanadai unamalizika Julai, mwakani.
Kikao hicho kilichofanyika...
11 years ago
Mwananchi07 Aug
Yanga yaendeleza 'siasa' mashindano ya Kombe la Kagame
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-0OEO8xNyy3w/VVL5L-VXfkI/AAAAAAAHW94/o-wT5XCMOos/s72-c/unnamed%2B(37).jpg)
Mashindano ya kombe la Muungano Mufindi 2015 yaanza rasmi