Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashindano ya kombe la Muungano Mufindi 2015 yaanza rasmi

Mashindano ya kombe la Muungano Mufindi yaliyofunguliwa na Naibu Waziri Mhe. Juma Nkamia, tarehe 10 mwezi huu katika  uwanja wa shule ya msingi lgowole, Mufindi, yanaendelea vyema.  Kwa mujibu wa mratibu wa michuano hiyo, Daud Yassin. Mashindano hayo yatakamilika tarehe 7 mwezi juni. Yassin kwa sasa anajitahidi kutafuta wahisani wa kuchangia zawadi za washindi, ambapo bingwa atapata cash ya shilingi milioni 5, mshindi wa pili 2.5m na mchezaji bora laki 5.  Yassin amewaomba wadau wa michezo,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TIMU YA MUCOBA FC MABINGWA WA FAINALI YA KOMBE LA MUUNGANO MUFINDI 2015,MRATIBU ATANGAZA KUSTAAFU RASMI

Mkuu  wa  wilaya ya Mufindi Mboni Mhita katikati  akiwa katika picha ya pamoja na   mabingwa wa mashindano ya  kombe la Muungano Mufindi timu ya Mucoba Fc ,wa kwanza kulia ni mratibu wa mashindano hayo aliyestaafu rasmi Daud Yassin na mdau mkubwa wa  soka mkoa wa Iringa Feisal AsasMkuu wa wilaya ya  Mufindi Mboni Mhita  akikabidhi kombe kwa mabingwa  timu ya MUcoba FC

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wadau wamwangukia mratibu Kombe la Muungano Mufindi

WADAU wa michezo wamemwomba Mratibu wa Kombe la Muungano Mufindi, Daud Yassin, kufikiria zaidi uamuzi wake wa kustaafu kuandaa mashindano hayo na kuongeza muda zaidi wa kuratibu kwa lengo ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

KOMBE LA MUUNGANO MUFINDI 2014: Mbaspo, Mucoba hapatoshi fainali

MABINGWA watetezi wa Kombe la Muungano Mufindi, Mbaspo Academy ya jijini Mbeya, imeungana na Benki ya Wananchi Mufindi (Mucoba), kucheza fainali ya mashindano hayo mwaka huu. Kwa mujibu wa Mratibu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chai Bora yapiga tafu Kombe la Muungano Mufindi 2014

KAMPUNI ya Chai Bora na Benki ya Wananchi wa Mufindi (Mucoba), zimejitosa kudhamini mashindano ya Kombe la Muungano Mufindi 2004 yaliyoanza kutimua vumbi mwishoni mwa wiki. Kwa mujibu wa Mratibu...

 

10 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA MUUNGANO YAMEFIKIA MWISHO KWA MAFANIKIO MAKUBWA SANA, MJINI MUFINDI

 DAUDI YASSINI AKIMKARIBISHA MKUU WA WILAYA YA MUFINDI, MBONI MHITA KATIKA UWANJA WA WAMBI MJINI MAFINGA WAKATI WA FAINALI YA MASHINDANO YA MUUNGANO. MKUU WA WILAYA YA MUFINDI, MBONI MHITA AKIKAGUA TIMU KABLA YA MCHEZOMGENI RASMI KATIKA FAINALI HIZO, MKUU WA WILAYA YA MUFINDI, MBONI MHITA AKIWA KATIKA PICHA MOJA NA MABINGWA  WA MUFINDI CUP TIMU YA MKOBA.
BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI

 

10 years ago

Michuzi

TFF YATANGAZA RASMI RATIBA YA MASHINDANO YA KOMBE LA WANAWAKE TAIFA

 Rais Wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Mh Jamal Malinzi akizungumza na wanahabari leo katika ofisi za TFF kuhusu kampuni ya Proin Promotions ltd kudhamini Mashindano ya mpira wa miguu kwa wanawake yajulikanayo kama Kombe la Wanawake Taifa, mashindano hayo yanatarajiwa kuanza tarehe 28 Disemba kwa kushirikisha timu kutoka Mikoa yote ya Tanzania. Mashindano hayo yatazinduliwa Mkoani Mwanza kwa kuzikutanisha timu za Mwanza na Mara. Kushoto kwa rais wa TFF ni Rose Kissiwa ambae ni...

 

10 years ago

Michuzi

9 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA MISS UNIVERSE TANZANIA 2015 KUANZA RASMI

MASHINDANO  ya Miss Universe Tanzania yameanza rasmi katika kumtafuta mrithi wa taji la  Miss Universe Tanzania 2015 toka kwa Caroline Bernard.
Mpaka sasa hivi waandaaji wameanza kupokea fomu na picha za warembo kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania na Zanzibar.


Miongoni mwa mikoa ambayo Miss Universe Tanzania imepokea na inaendelea kupokea fomu na picha za washiriki ni  Arusha, Mwanza, Tanga, Iringa, Mbeya na Dar es Salaam. Zoezi la usaili na kupokea fomu kutoka mikoani litahitimishwa siku ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani