Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM Z’BAR YATOA TAHADHARI DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA

NA IS-HAKA OMAR,ZANZIBAR.

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimewataka wananchi visiwani hapa kuendelea kuchukua tahadhari ya kujikinga dhidi ya ugonjwa hatari wa virusi vya Corona ambao ulianzia nchi za nje na hivi sasa tayari umeripotiwa kuingia Tanzania.

Mbali na hilo, CCM imezitaka Ofisi zote za chama,Jumuiya,matawi na maskani za chama kutoa elimu na ufafanuzi wa kina kwa wanachama wao juu ya maelekezo yaliyotolewa na chama ngazi ya taifa dhidi ya kujikinga na ugonjwa huo.

Kauli hiyo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TIMU ZA LIGI KUU ZACHUKUA TAHADHARI DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA


Na Zainab Nyamka-Michuzi TV

TIMU za Ligi Kuu tayari zimesharejea viwanjani kwa ajili ya mazoezi ya pamoja kujiandaa na Ligi Kuu inayotarajiwa kuendelea mapema mwezi Juni mwaka huu baada ya serikali kuruhusu michezo iendelee.

Hata hivyo timu hizo tayari zimechukua tahadhari zinazostahili kupambana na virusi vya Corona kwa kuwapima afya wachezaji wao sambamba na kufuata ushauri wa wataalamu wa afya.

Kwa upande wa Timu ya Polisi Tanzania, Ofisa Habari wao Frank Lukwaro amesema wamechukua...

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA GGML YATOA SHILINGI BILIONI 1.6 KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI MAPAMBANO DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA

 Baadhi ya wananchi wanaozunguka mgodi wa kampuni hiyo wakinawa mikono kwa maji tiririka na sabuni, vifaa hivyo vimetolewa na GGML kudhibiti maambukizi ya Corona katika mji wa Geita Mkurugenzi Mkuu wa GGML, Richard Jordinson akifafanua jambo
KAMPUNI  ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa Shilingi bilioni 1.6 kuunga mkono juhudi za Serikali katika kudhibiti maambukizi ya Virusi vya Corona ambayo hadi sasa yamesambaa katika nchi 210 duniani Tanzania ikiwemo.

Pia GGML imezindua mikakati...

 

5 years ago

Michuzi

Serikali imewataka madereva wa malori nchini kuchukuwa tahadhari dhidi ya Virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID-19)


Na WAMJW – Dar es Salaam
Serikali imewataka madereva wa malori nchini kuchukuwa tahadhari dhidi ya Virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID-19) hii ikiwa ni pamoja na kuhakikisha wanakula vyakula ambavyo vitalinda kinga zao za mwili.

Rai hiyo imetolewa hivi karibuni  na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (WAMJW) Ummy Mwalimu  wakati akizungumza na baadhi ya madereva wa kampuni mbalimbali za malori zinazosafirisha  mizigo nje ya nchi waliofika katika maabara...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Imani za kidini zinasaidia au zinadidimiza mapambano dhidi ya corona?

Katikati ya mwezi Machi mwaka huu nchi ya Malaysia ilifunga mashule, ofisi na sehemu za ibada katika juhudi za kupambana kuenea virusi vya corona, baada ya kubaini mikusanyiko katika misikiti ilichangia pakubwa kuripuka kwa ugonjwa huo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Serikali, sayansi na sintofahamu ya mapambano dhidi ya corona Tanzania

Wakati serikali zote duniani zimeendelea kujifunza namna sahihi ya kupambana na ugonjwa huu, zipo zinazosifika na zile zinazokosolewa kwa namna zinavyopambana na Corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je, dawa za mitishamba zina nafasi katika mapambano dhidi ya corona?

Dawa ya asili ya Covid-19 ambayo imetengenezwa nchini Madagascar na kutangazwa na rais Andry Rajoelina imezua mijadala kuhusu matumizi ya dawa za mitishamba barani Afrika.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Jinsi kinyesi cha kuku kinavyotumika mapambano dhidi ya corona

Jinsi Sweden inavyotumia mbinu ya ajabu kupambana na maambukizi ya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Jinsi mlipuko wa corona unavyochochea chuki dhidi ya Waislamu India

Jinsi mkutano wa kidini ulivyozua taharuki ya maambukizi ya virusi vya corona India.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Mapambano dhidi ya Corona DRC

Makala inayoonyesha kwa picha changamoto ambazo raia wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanakabiliana nazo katika mapambano dhidi ya magonjwa ya mlipuko kwa mwaka 2020.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani