Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CFAO MOTORS WAZINDUA TOLEO JIPYA LA MERCEDES BENZ JIJINI DAR‏

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya CFAO Motors, Bw.Wayne McIntosh akiteta jambo na baadhi ya wageni waalikwa kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa toleo jipya la gari aina ya Mercedes Benz E-Class uliofanyika jijini Dar kwenye hoteli ya Capetown Fish Market. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya CFAO Motors, Bw.Wayne McIntosh (wa pili kulia) na Meneja Masoko wa CFAO Motors, Bi. Tharaia Ahmed (wa pili kushoto) wakibadilishana mawazo na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

CFAO Motors wazindua kizazi kipya cha Mercedes Benz


 Mkurugenzi wa Mauzo wa CFAO Motors Tanzania Ltd, Bi. Tharaia Ahmed (katikati) akimkaribisha Mwakilishi wa Asas Group of Companies, Bw. Faraj Abril (kushoto) wakati wa kuwasili kwa wateja na wageni mbalimbali katika hafla ya uzinduzi wa toleo jipya la kizazi cha tano cha Mercedes Benz – Actros Mirror Cam uliofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi wa Mauzo wa CFAO Motors Tanzania Ltd, Bi. Tharaia Ahmed akiendelea kupokea wageni waalikwa walipokuwa wakiwasili wakati wa hafla...

 

10 years ago

Dewji Blog

CFAO MOTORS waifikisha kwa mara ya kwanza Mercedes Benz GCL Class jijini Arusha

Mkurugenzi wa kampuni ya kuagiza, kuuza na kutengeneza magari ya Arusha Arts,  Gunvant Sachev (kushoto) akipokea tuzo ya uwakala bora katika kuuza vipuri na magari aina ya Mercedes Benz kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya CFAO Motors, Wayne McIntosh (wapili kushoto) wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa gari aina ya Mercedes Benz GCL Class jijini Arusha ikiwa ni mara ya kwanza gari hiyo kuingizwa jijini Arusha.

new-mercedes-benz-gl-class-wallpaper-1_640x480

 

 

10 years ago

Dewji Blog

Mercedes -Benz CFAO Motors yakabidhi malori 15 kwa kampuni ya mizigo SIGNON

0014

Meneja Mauzo wa Maroli ya Mercedes Benz (CFAO MOTORS), Bw Jerome Sentmea (kushoto), akimkabidhi mfano wa ufunguo wa gari Mkurungenzi wa Kampuni ya Usafirishaji mizigo (SIGNON), Bw Daniel Kiyan,malori 15 yamekabidhiwa kwa Mkurugenzi huyo kwaajili yakusafirishia mizigo wengine wanaoshuhudia (katikati), Afisa Mauzo wa Cfao Motors Bi Manka Oriyo, na wakwanza kulia Afisa Masoko na Huduma Cfao Motors Bi Angelina Ndege makabidhiano hayo yalifanyika makao makuu ya ofsi ya MERCEDES BENZ CFAO MOTORS...

 

11 years ago

Dewji Blog

CFAO Motors yaanzisha huduma mpya kwa wamiliki wa malori ya Mercedes Benz nchini

DSC_0426

Msimamizi wa ufundi wa Magari aina ya Mercedes Benz  kutoka kampuni ya CFAO Motors Bw. Winner Mushi (wa tatu kushoto) akionyesha matumizi ya kifaa maalum cha ukaguzi wa Malori ya Mercedes Benz (Star Diagnosis Machine) kwa baadhi ya mafundi na wasimamizi wa ufundi wa magari ya kampuni ya Bakhresa Group.

Bakhresa Group ni mmoja wapo wa wateja wa CFAO Motors ambao wanamiliki malori ya Mercedes Benz. Bw. Heico Herzog Mtaalamu wa ufundi (Flying Doctor) kutoka Mercedes Benz Ujerumani,(wa tatu...

 

11 years ago

GPL

CFAO YAANZISHA HUDUMA MPYA KWA WAMILIKI WA MALORI YA MERCEDES BENZ NCHINI‏

Msimamizi wa ufundi wa Magari aina ya Mercedes Benz kutoka kampuni ya CFAO Motors Bw. Winner Mushi (wa tatu kushoto) akionyesha matumizi ya kifaa maalum cha ukaguzi wa Malori ya Mercedes Benz (Star Diagnosis Machine) kwa baadhi ya mafundi na wasimamizi wa ufundi wa magari ya kampuni ya Bakhresa Group. Muuzaji wa vipuli vya magari ya Mercedes Benz nchini kutoka kampuni ya CFAO Motors, Emmanuel Sembua akimfafanulia jambo Meneja...

 

10 years ago

Dewji Blog

Diamond Motors wazindua gari jipya la Mitsubishi 2015 ASX jijini Dar es Salaam

IMG_8097

Hili ndilo gari la ASX Mitsubish jipya lililozinduliwa wiki iliyopita katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

IMG_8128

Wema Sepetu akiwasha gari Jipya la ASX Mitsubishi katika uzinduzi wa gari hilo jijini Dar es Salaam.

IMG_8126

Mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo na mwigizaji maarufu nchini, Wema Sepetu wamesifia gari jipya la Mitsubishi ASX la mwaka 2015 linalouzwa na kusambazwa na kampuni ya Diamond Motors (Hansa Group).

Katika uzinduzi wa kutambulisha gari hilo uliofanyika mwishoni mwa wiki...

 

10 years ago

Vijimambo

CFAO MOTORS WAIFIKISHA KWA MARA YA KWANZA MERCEDECE BENZ GCL CLAA JIJINI ARUSHA

Mkurugenzi wa kampuni ya kuagiza,kuuza na kutengeneza magari ya Arusha Arts,  Gunvant Sachev (kushoto) akipokea tuzo ya uwakala bora katika kuuza vipuri na magari aina ya mercedece benz kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya CFAO Motors, Wayne McIntosh (wapili kushoto) wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa gari aina ya mercedece benz GCL class jijini arusha ikiwa ni mara ya kwanza gari hiyo kuingizwa jijini Arusha. 

 

11 years ago

GPL

WAKUU WA MERCEDES BENZ KUTOKA UJERUMANI NA WAWAKILISHI WA MERCEDES BENZ AFRIKA WATEMBELEA TANZANIA‏

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya CFAO Motors, Bw.Wayne Mcintosh, akizungumza na Wakuu wa Mercedes Benz kutoka Ujerumani na Wawakilishi wa Mercedes Benz Afrika katika mpango mkakati wa kubadilishana nao mawazo na uzoefu katika shughuli za biashara na masoko katika ukanda wa Afrika. Wakuu wa Mercedes Benz kutoka Ujerumani na Wawakilishi wa Mercedes Benz Afrika pia walipata fursa ya kuangali akarakana ya kampuni hiyo kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani