CFAO YAANZISHA HUDUMA MPYA KWA WAMILIKI WA MALORI YA MERCEDES BENZ NCHINI
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/DSC_0426.jpg?width=640)
Msimamizi wa ufundi wa Magari aina ya Mercedes Benz kutoka kampuni ya CFAO Motors Bw. Winner Mushi (wa tatu kushoto) akionyesha matumizi ya kifaa maalum cha ukaguzi wa Malori ya Mercedes Benz (Star Diagnosis Machine) kwa baadhi ya mafundi na wasimamizi wa ufundi wa magari ya kampuni ya Bakhresa Group. Muuzaji wa vipuli vya magari ya Mercedes Benz nchini kutoka kampuni ya CFAO Motors, Emmanuel Sembua akimfafanulia jambo Meneja...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog09 Jun
CFAO Motors yaanzisha huduma mpya kwa wamiliki wa malori ya Mercedes Benz nchini
Msimamizi wa ufundi wa Magari aina ya Mercedes Benz kutoka kampuni ya CFAO Motors Bw. Winner Mushi (wa tatu kushoto) akionyesha matumizi ya kifaa maalum cha ukaguzi wa Malori ya Mercedes Benz (Star Diagnosis Machine) kwa baadhi ya mafundi na wasimamizi wa ufundi wa magari ya kampuni ya Bakhresa Group.
Bakhresa Group ni mmoja wapo wa wateja wa CFAO Motors ambao wanamiliki malori ya Mercedes Benz. Bw. Heico Herzog Mtaalamu wa ufundi (Flying Doctor) kutoka Mercedes Benz Ujerumani,(wa tatu...
10 years ago
Dewji Blog23 Dec
Mercedes -Benz CFAO Motors yakabidhi malori 15 kwa kampuni ya mizigo SIGNON
Meneja Mauzo wa Maroli ya Mercedes Benz (CFAO MOTORS), Bw Jerome Sentmea (kushoto), akimkabidhi mfano wa ufunguo wa gari Mkurungenzi wa Kampuni ya Usafirishaji mizigo (SIGNON), Bw Daniel Kiyan,malori 15 yamekabidhiwa kwa Mkurugenzi huyo kwaajili yakusafirishia mizigo wengine wanaoshuhudia (katikati), Afisa Mauzo wa Cfao Motors Bi Manka Oriyo, na wakwanza kulia Afisa Masoko na Huduma Cfao Motors Bi Angelina Ndege makabidhiano hayo yalifanyika makao makuu ya ofsi ya MERCEDES BENZ CFAO MOTORS...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/03/DSC_0154.jpg)
CFAO MOTORS WAZINDUA TOLEO JIPYA LA MERCEDES BENZ JIJINI DAR
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/02/56.jpg)
WAKUU WA MERCEDES BENZ KUTOKA UJERUMANI NA WAWAKILISHI WA MERCEDES BENZ AFRIKA WATEMBELEA TANZANIA
10 years ago
Dewji Blog05 Mar
CFAO MOTORS waifikisha kwa mara ya kwanza Mercedes Benz GCL Class jijini Arusha
Mkurugenzi wa kampuni ya kuagiza, kuuza na kutengeneza magari ya Arusha Arts, Gunvant Sachev (kushoto) akipokea tuzo ya uwakala bora katika kuuza vipuri na magari aina ya Mercedes Benz kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya CFAO Motors, Wayne McIntosh (wapili kushoto) wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa gari aina ya Mercedes Benz GCL Class jijini Arusha ikiwa ni mara ya kwanza gari hiyo kuingizwa jijini Arusha.
5 years ago
MichuziCFAO Motors wazindua kizazi kipya cha Mercedes Benz