Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema : Lowassa mshindi kwa asilimia 61

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimedai mgombea wake wa urais, Edward Lowassa anayeungwa mkono na Ukawa ataibuka na ushindi wa asilimia  61 katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumapili ijayo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NYOTA YA LOWASSA YAZIDI KUNG'ARA AWAPIKU WENZAKE KWA ASILIMIA 20 NI KATIKA KUWANIA URAIS WA TANZANIA

Mtafiti Mkuu wa Taasisi ya Samunge Social Research Centre, George Nyaronga (katikati), akisisitiza jambo wakati akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu utafiti uliofanywa na taasisi hiyo kuhusu viongozi wanaotaka kuwania nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu ambapo Waziri Mkuu wa zamani,  Edward Lowassa ameonesha kuwapiku wenzake kwa kupata asilimia 20 akifuatiwa na  Dk.Willibrod Slaa aliyepata asilimia 11.7....

 

10 years ago

GPL

NYOTA YA LOWASSA YAZIDI KUNG'ARA AWAPIKU WENZAKE KWA ASILIMIA 20 NI KATIKA KUWANIA URAIS WA TANZANIA‏

Mtafiti Mkuu wa Taasisi ya Samunge Social Research Centre, George Nyaronga kutoka Chuo Kikuu Huria (OUT). Mtafiti Mkuu wa Taasisi ya Samunge…

 

9 years ago

Raia Mwema

Lowassa analipiza kisasi kwa Chadema?

NIANZE kwa kuwaomba radhi wasomaji wangu kwamba sitaonekana tena katika safu hii kuanzia toleo li

Johnson Mbwambo

 

9 years ago

Raia Mwema

Ya Chadema, Lowassa na hadithi ya ugali kwa harufu ya samaki

MANIFESTO ni neno la Kiingereza, lililotoholewa kutoka katika neno la Kilatini la Manifestum.

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Mwananchi

LOWASSA CHADEMA: Fitina zimempeleka Lowassa upinzani

>Hatimaye waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa amekitosa chama chake cha CCM na kutua Chadema. Huko ndiko anatarajia kuendelea na safari yake ya matumaini aliyoianza na sasa anatarajiwa kupambana na ikiwezekana kukidhoofisha chama kilichomlea katika harakati za kuingia Ikulu.

 

9 years ago

Vijimambo

Mgombea Urais Chadema Mhe Lowassa Apokelewa kwa Kishindo Mjini Bukoba leo.

Umati wa Wananchi wa Mji wa Bukoba ukiwa umefurika kwenye Uwanja wa Aghakhan kuhudhulia Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, leo Septemba 19, 2015.Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi Bukoba waliofika kwenye Mkutano wa Kampeni, kusikiliza sera zake, uliofanyika kwenye Uwanja wa AghaKhan, Mjini Bukoba, Mkoani...

 

9 years ago

BBCSwahili

Lowassa aitaka tume imtangaze kuwa mshindi Tanzania

Mgombea urais wa chama cha Chadema Edward Ngoyai Lowassa ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania kumtangaza mshindi wa uchaguzi wa urais akidai alishinda uchaguzi huo.

 

9 years ago

StarTV

Walinzi wa CHADEMA Walioongoza Msafara wa Lowassa Jijini Mbeya Watakiwa Kujisalimisha Polisi Kwa Ajili ya Mahojiano

Mnamo Tarehe 14.08.2015 Mgombea Urais Kwa Tiketi Ya Chadema Alikuja Mkoa Wa Mbeya Akiwa Ameandamana Na Viongozi Wa Vyama Vya Cuf, Nccr – Mageuzi Na Nld Kwa Dhumuni La Kumtambulisha Na Kuomba Udhamini Wa Kupeperusha Bendera Ya Chadema Kwa Nafasi Ya Urais. Katika Msafara Wake Kutoka Uwanja Wa Ndege [songwe] Kulionekana Gari Moja (pichani) Aina Ya Land Cruiser – Pick Up Yenye Rangi Nyeusi Na Ndani Yake Lilikuwa Limebeba Vijana Ambao Walikuwa Wamevaa Mavazi Meusi, Kofia – Bereti Nyeusi Na Miwani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani