Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ya Chadema, Lowassa na hadithi ya ugali kwa harufu ya samaki

MANIFESTO ni neno la Kiingereza, lililotoholewa kutoka katika neno la Kilatini la Manifestum.

Mwandishi Wetu

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SAMAKI SAMAKI KUCHANGIA ELIMU KWA WATOTO YATIMA

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
Mgahawa wa Samaki Samaki umeanzisha mpango wa kuchangia Elimu kwa watoto yatima kwa kila mtu atakayekula katika migahawa ya samaki samaki itatolewa sh.1000 kwa bei halisi na sio kukatwa mteja.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam ,Afisa Mkuu wa Masoko wa Samaki Samaki,Edward Lusala amesema Samaki Samaki imefikisha miaka nane tangu kuanza kwake na wameona kuna umuhimu wa kuchangia katika kundi la watoto yatima.
Amesema kuwa wanawafundisha...

 

9 years ago

Raia Mwema

Lowassa analipiza kisasi kwa Chadema?

NIANZE kwa kuwaomba radhi wasomaji wangu kwamba sitaonekana tena katika safu hii kuanzia toleo li

Johnson Mbwambo

 

9 years ago

Mwananchi

Chadema : Lowassa mshindi kwa asilimia 61

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimedai mgombea wake wa urais, Edward Lowassa anayeungwa mkono na Ukawa ataibuka na ushindi wa asilimia  61 katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumapili ijayo.

 

9 years ago

GPL

KWA HARUFU ILE NDOA LAZIMA IFE

Jamaa yangu kaja kunitembelea na mimi nilifurahi sana, maana sijaonana naye tangu tulipokuwa shule miaka hiyo. Kwa hiyo tulianza na stori za shule na kukumbuka wale jamaa wenye vituko tuliosoma nao, na kukumbushana vituko vyao. Kadiri muda ulivyokwenda nikagundua kuwa jamaa hana mpango wa kuondoka kwangu, basi nikajitayarisha kisaokolojia kuwa jamaa atalala hapa kwangu, kwa vile nilikuwa na chumba cha wageni haikunisumbua sana....

 

10 years ago

Mwananchi

LOWASSA CHADEMA: Fitina zimempeleka Lowassa upinzani

>Hatimaye waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa amekitosa chama chake cha CCM na kutua Chadema. Huko ndiko anatarajia kuendelea na safari yake ya matumaini aliyoianza na sasa anatarajiwa kupambana na ikiwezekana kukidhoofisha chama kilichomlea katika harakati za kuingia Ikulu.

 

9 years ago

Vijimambo

Mgombea Urais Chadema Mhe Lowassa Apokelewa kwa Kishindo Mjini Bukoba leo.

Umati wa Wananchi wa Mji wa Bukoba ukiwa umefurika kwenye Uwanja wa Aghakhan kuhudhulia Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, leo Septemba 19, 2015.Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi Bukoba waliofika kwenye Mkutano wa Kampeni, kusikiliza sera zake, uliofanyika kwenye Uwanja wa AghaKhan, Mjini Bukoba, Mkoani...

 

11 years ago

Michuzi

TAMASHA LA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MANGWEA JUNI 28, SAMAKI SAMAKI MOROGORO

MASTAA mbalimbali nchini wakiwemo wanamuziki wanatarajiwa kushiriki kwenye tukio maalum la kumbukumbu ya mwaka mmoja tokea kifo cha marehemu Albert Mangwea ‘Ngwair’ , litakalofanyika ndani ya ukumbi wa Nyumbani Park (Samaki samaki Spot) , Kihonda Morogoro mjini Juni 28.  Mratibu Mtendaji wa tamasha hilo, Kareeem Omary ‘KO’ amesema maandalizi ya tukio hilo litakalokuwa la kila mwaka, limepwa jina la ‘Love Concert - Kumbukumbu ya kifo cha Albert Mangwe’.  Kareem amewaomba wadau...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani