Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KWA HARUFU ILE NDOA LAZIMA IFE

Jamaa yangu kaja kunitembelea na mimi nilifurahi sana, maana sijaonana naye tangu tulipokuwa shule miaka hiyo. Kwa hiyo tulianza na stori za shule na kukumbuka wale jamaa wenye vituko tuliosoma nao, na kukumbushana vituko vyao. Kadiri muda ulivyokwenda nikagundua kuwa jamaa hana mpango wa kuondoka kwangu, basi nikajitayarisha kisaokolojia kuwa jamaa atalala hapa kwangu, kwa vile nilikuwa na chumba cha wageni haikunisumbua sana....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI LIGI KUU BARA: Yanga itakuwa ile ile na mafanikio zaidi

Ni wakati wa Yanga kujipambanua na kuishi kutokana na ubora wake na uwingi wake wa mashabiki ilionao sehemu mbalimbali nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete: Sera ya Nje Tanzania itabakia ile ile

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete amesema siasa za nchi za nje na misingi mikuu ya kuongoza mahusiano ya Tanzania na nchi za kigeni haitabadilika hata baada ya yeye kuondoka madarakani baadaye mwaka huu.

 

10 years ago

Vijimambo

MAAJABU YA KIFO CHA MAMA YAO AKINA MWAIBALE ALIFARIKI SIKU ILE ILE ALIYOZALIWA

Na Rashid Mkwinda
Asubuhi ya Disemba 13, 1940 huko katika kijiji cha Katumba wilayani Rungwe, familia ya mzee Mafumu Mlagha ilikuwa katika furaha kwa kumpata mtoto wa kike baada ya kiu ya muda mrefu ya kuwa na mtoto wa kike.

Ilikuwa ni siku ambayo familia hii ilibahatika kuwa na mtoto wa kike waliyempa jina la Twitikege.

Anga la kijiji cha Katumba lenye jua lililowakia mandhari nzuri ya kijani kwenye kijiji kilichoshamiri kilimo cha Migomba na Chai binti wa kike
alizaliwa,Ndege wa angani na...

 

10 years ago

Mwananchi

Simba gonjwa ile ile, Yanga leo

 Jahazi la Simba limeendelea kuyumba baada ya jana kulazimisha sare 1-1 na Stand United kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, wakati watani zao Yanga wenyewe watashuka uwanjani hapo kuivaa JKT Ruvu.

 

11 years ago

Mwananchi

Unazitambua changamoto za ndoa? Mume na mke ni lazima watambuane

Siku moja mtaani nilikuta kikundi cha wanaume na wanawake wakibishana kuhusu ndoa. Baadhi yao walikuwa wakisema ndoa ni kitu cha furaha na wengine walisema ndoa siyo kitu cha furaha ila ni wajibu kwa kila binadamu kuingia katika maisha ya ndoa.

 

10 years ago

GPL

KISHERIA LAZIMA MAMA WA NYUMBANI KUPATA MGAO WA MALI NDOA INAPOVUNJIKA

Na Bashir Yakub NDOA inapovunjika kuna kuna mambo makuu matatu ambayo hutokea kutokana na ndoa hiyo kuvunjika. Kwanza ni  kugawana mali walizochuma  wanandoa, pili hifadhi ya watoto  na tatu matunzo ya watoto. Haya  ni matokeo  ya kuvunjika  kwa ndoa, mengine zaidi kuhusu  kuvunjika kwa ndoa tutayaona hapa wakati nikieleza mgawanyo wa mali  za wanandoa. 1.MALI ZIPI HUTAKIWA HUGAWANYWA NDOA INAPOVUNJIKA?...

 

9 years ago

Raia Mwema

Ya Chadema, Lowassa na hadithi ya ugali kwa harufu ya samaki

MANIFESTO ni neno la Kiingereza, lililotoholewa kutoka katika neno la Kilatini la Manifestum.

Mwandishi Wetu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani