Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAAJABU YA KIFO CHA MAMA YAO AKINA MWAIBALE ALIFARIKI SIKU ILE ILE ALIYOZALIWA

Na Rashid Mkwinda
Asubuhi ya Disemba 13, 1940 huko katika kijiji cha Katumba wilayani Rungwe, familia ya mzee Mafumu Mlagha ilikuwa katika furaha kwa kumpata mtoto wa kike baada ya kiu ya muda mrefu ya kuwa na mtoto wa kike.

Ilikuwa ni siku ambayo familia hii ilibahatika kuwa na mtoto wa kike waliyempa jina la Twitikege.

Anga la kijiji cha Katumba lenye jua lililowakia mandhari nzuri ya kijani kwenye kijiji kilichoshamiri kilimo cha Migomba na Chai binti wa kike
alizaliwa,Ndege wa angani na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI LIGI KUU BARA: Yanga itakuwa ile ile na mafanikio zaidi

Ni wakati wa Yanga kujipambanua na kuishi kutokana na ubora wake na uwingi wake wa mashabiki ilionao sehemu mbalimbali nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete: Sera ya Nje Tanzania itabakia ile ile

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete amesema siasa za nchi za nje na misingi mikuu ya kuongoza mahusiano ya Tanzania na nchi za kigeni haitabadilika hata baada ya yeye kuondoka madarakani baadaye mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Simba gonjwa ile ile, Yanga leo

 Jahazi la Simba limeendelea kuyumba baada ya jana kulazimisha sare 1-1 na Stand United kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, wakati watani zao Yanga wenyewe watashuka uwanjani hapo kuivaa JKT Ruvu.

 

10 years ago

Vijimambo

AKINA MAMA WA MENNESOTA WASHEREHEKEA SIKU YAO KWA MBWEMBWE

Mama akipiga ngoma kwa ustadi kabisa siku ya akina mama dunia huko pande za Minnesota  Akina mama usharika wa kiswahili wakimsikiliza mama mwenzao katika sherehe za siku ya akina mama duniani.
 Akina mama wakipa ukodak kwenye sherehe hiyo Akina baba nao walikuwepo kwani palipo akina mama akinababa uwepo kutoa support. Mama akismile mbele ya ukodak kiroho safi

 

10 years ago

Vijimambo

MAZISHI YA MAMA YAO MZAZI WA WANAHABARI DOTTO, KULWA NA NICO MWAIBALE KATIKA KIJIJI CHA KIBUMBE RUNGWE MBEYA.

Bi. Twitikege Mlagha Mafumu enzi za uhai wakeMwili wa Marehemu Twitikege Mlagha Mafumu ukiifadhiwa katika nyumba yake ya Milele katika  kijiji cha Kibumbe,Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya leo Ndugu wa Marehemu wakiwa katika majonzi  Wanahabari wakiwa katika Msiba huo Picha na Tukio kamili Baadae Na Mbeya yetu

 

10 years ago

GPL

KUELEKEA SIKUKUU YA KRISMASI WANAHABARI KULWA NA DOTTO MWAIBALE WAZURU KABURI LA MAMA YAO‏

Wanahabari Kulwa na Dotto Mwaibale, (kulia), wakiweka mashada ya maua kwenye kaburi la mpendwa mama yao Twitikege Mafumu Mlagha, aliyefariki Desemba 13 mwaka huu jijini Dar es Salaam na kuzikwa Desemba 17 nyumbani kwake Kijiji cha Kibumbe Kiwira wilayani Rungwe mkoani Mbeya. Mapacha hao walizuru katika kaburi hilo jana. Kulwa na Dotto wakiwa wamekaa juu ya kaburi la baba yao mzee Anyitike Mwakwama Mwaibale… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani