MAZISHI YA MAMA YAO MZAZI WA WANAHABARI DOTTO, KULWA NA NICO MWAIBALE KATIKA KIJIJI CHA KIBUMBE RUNGWE MBEYA.
Bi. Twitikege Mlagha Mafumu enzi za uhai wake
Mwili wa Marehemu Twitikege Mlagha Mafumu ukiifadhiwa katika nyumba yake ya Milele katika kijiji cha Kibumbe,Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya leo
Ndugu wa Marehemu wakiwa katika majonzi
Wanahabari wakiwa katika Msiba huo
Picha na Tukio kamili Baadae Na Mbeya yetu
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog16 Dec
JK atuma salam za rambirambi za msiba wa mama mzazi wa Kulwa, Dotto na Nico Mwaibale, mwili wasafirishwa kwenda Mbeya leo kwa mazishi
![IMG_9952](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_9952.jpg)
Mwili wa Marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mfumu mama yao Dotto, Kulwa na Nico Mwaibale ukiwa unaandaliwa tayari kwa...
10 years ago
VijimamboRAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE ATUMA SALAM ZA RAMBIRAMBI ZA MSIBA WA MAMA MZAZI WA KULWA,DOTTO NA NICO MWAIBALE, MWILI WASAFIRISHWA KWENDA MBEYA LEO KWA MAZISHI.
10 years ago
GPLMAENDELEO YA MSIBA WA MAMA KULWA, DOTTO NA NICO MWAIBALE JIJINI DAR, KUSAFIRISHWA KESHO KWENDA MBEYA KWA MAZISHI
 Meneja Mkuu wa Global Publishers Limited Bwana. Abdalah Mrisho akitoa mkono wa pole kwa Dada mkubwa wa kina Mwaibale Mwalimu Mary Anyitike
Mwanahabari Kulwa Mwaibale (mwenye Fulana nyekundu) akiwatambulisha wafanyakazi wenzake wa Kampuni ya Global Publisher kwa wanafamilia.…
10 years ago
Michuzi14 Dec
Matukio Msiba wa Mama mzazi wa Dotto, Kulwa na Nico Mwaibale Jijini Dar es salaam leo
Baadhi ya waombolezaji wakitoa pole kwa ndugu na jamaa katika msiba wa marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu, ambaye ni mama mzazi wa wanahabari Kulwa, Dotto na Nico Mwaibale Mbagala Kuu, jijini Dar es Salaam.
10 years ago
GPLKUELEKEA SIKUKUU YA KRISMASI WANAHABARI KULWA NA DOTTO MWAIBALE WAZURU KABURI LA MAMA YAO
Wanahabari Kulwa na Dotto Mwaibale, (kulia), wakiweka mashada ya maua kwenye kaburi la mpendwa mama yao Twitikege Mafumu Mlagha, aliyefariki Desemba 13 mwaka huu jijini Dar es Salaam na kuzikwa Desemba 17 nyumbani kwake Kijiji cha Kibumbe Kiwira wilayani Rungwe mkoani Mbeya. Mapacha hao walizuru katika kaburi hilo jana. Kulwa na Dotto wakiwa wamekaa juu ya kaburi la baba yao mzee Anyitike Mwakwama Mwaibale… ...
10 years ago
VijimamboMatukio Msiba wa Mama Dotto, Kulwa na Nico Mwaibale Jijini Dar
10 years ago
MichuziUPDATES YA MSIBA WA MAMA KULWA, DOTTO NA NICO MWAIBALE JIJINI DAR
Mwili wa marehemu, Bi. Twitikege Mlagha Mafumu utaagwa kesho saa 4 asubuhi katika Hospitali ya Wilaya ya Temeke kisha kupelekwa katika Kijiji cha Kibumbe, wilayani Rungwe mkoani Mbeya ambapo atazikwa Desemba 17 alasiri.
Bi. Twitikege Mlagha Mafumu enzi za uhai wake
Meneja Mkuu wa Global Publishers Limited Bwana. Abdalah Mrisho akitoa mkono wa pole kwa Dada mkubwa wa kina Mwaibale Mwalimu Mary Anyitike
Mwanahabari Kulwa Mwaibale (mwenye Fulana nyekundu) akiwatambulisha wafanyakazi...
10 years ago
GPLMATUKIO MSIBA WA MAMA DOTTO, KULWA NA NICO MWAIBALE JIJINI DAR
Bi. Twitikege Mlagha Mafumu enzi za uhai wake.  Baadhi ya waombolezaji wakitoa pole kwa ndugu na jamaa katika msiba wa  marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu, ambaye ni mama mzazi wa wanahabari Kulwa, Dotto na Nico Mwaibale Mbagala Kuu, jijini Dar es Salaam.…
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-u4TxkF23Czw/VJFEwYy3YWI/AAAAAAAG3tM/xylSdPFxDCM/s72-c/unnamed%2B(53).jpg)
Updates za msiba wa mama mzazi wa wapiganaji Dotto na Kulwa Mwaibale
![](http://3.bp.blogspot.com/-u4TxkF23Czw/VJFEwYy3YWI/AAAAAAAG3tM/xylSdPFxDCM/s1600/unnamed%2B(53).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-pFSKpDo29ME/VJFEwtOBP3I/AAAAAAAG3tQ/xmFt9Lqw2d8/s1600/unnamed%2B(54).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-YckrdyF24ow/VJFHQ71AhOI/AAAAAAAG3to/s7p2EqAX1XE/s1600/unnamed%2B(61).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-0wNVeGpbpgE/VJFHQp8Z47I/AAAAAAAG3tk/26QxlcdyCag/s1600/unnamed%2B(62).jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania