Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHADEMA waaswa uadilifu

WANACHAMA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wametakiwa kuhakikisha wanakuwa waadilifu kwa kuishi na kutenda yale wanayoyasema hasa katika kupiga vita ufisadi, rushwa na uzembe. Hayo yalisemwa na Mwenyekiti...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

RC Mara ahimiza uadilifu

Chanzo cha vifo vya akina mama wajawazito na watoto wachanga mkoani Mara ni utendaji kazi mbovu na kukosekana uadilifu, wauguzi kukosa wito na upungufu wa wataalamu wa afya.

 

9 years ago

Raia Mwema

Magufuli na Biblia; Uadilifu na Sheria

ULIMWENGU na Watanzania wanamuangalia Rais John Pombe Magufuli kwa macho mawili kutizama nini ata

Ahmed Rajab

 

10 years ago

Habarileo

Kiongozi wa dini asisitiza uadilifu

KIONGOZI wa Kanisa la Gospel Light Ministries International, Mchungaji Julius Nyange amewataka Watanzania kutokuwa mashabiki wa wagombea, badala yake wawe mstari wa mbele kupiga kura na kuchagua kiongozi anayefaa.

 

10 years ago

Habarileo

Uadilifu wahimizwa ubunifu wa majengo

MWENYEKITI wa Bodi ya Makandarasi (CRB), Dk Ambwene Mwakyusa ameitaka serikali kuangalia madeni ya wakandarasi kwa kazi walizofanya.

 

10 years ago

Habarileo

Sekta ya madini wahimizwa uadilifu

NAIBU Waziri wa Nishati na Madini, Charles KitwangaNAIBU Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga amewahimiza Watumishi wa Umma katika Sekta ya Madini kuwa wazalendo na kufanya kazi kwa ubunifu .

 

9 years ago

Habarileo

RC ahimiza uadilifu kutimiza wajibu

VIONGOZI na watumishi wa umma mkoa wa Ruvuma wametakiwa kuwa waadilifu na waaminifu wakati wanapotekeleza majukumu yao kwa wananchi. Rai hiyo imetolewa jana na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu wakati akizindua baraza la madiwani la halmashauri ya wilaya ya Tunduru.

 

11 years ago

Habarileo

Wahandisi waeleza changamoto za uadilifu

MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Edwin Ngonyani amesema wahandisi wanakabiliwa na changamoto ya kutakiwa na waajiri wao kufanya kazi kwa matakwa yao na si kufuata taaluma ya kihandisi.

 

11 years ago

Habarileo

Wanaokabidhiwa nyadhifa wazingatie uadilifu -Askofu

Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Zanzibar, Michael HafidhVIONGOZI wanaokabidhiwa nyadhifa mbalimbali za uongozi nchini, wametakiwa kutenda uadilifu kwa wananchi kwa ajili ya kukuza uchumi na kuleta maendeleo.

 

10 years ago

Habarileo

Mwanasheria Mkuu ataka uadilifu kazini

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George MasajuMWANASHERIA Mkuu wa Serikali, George Masaju amewakumbusha watumishi wa umma katika sekta ya sheria kufanya kazi kwa ushirikiano, uadilifu na uzalendo ili kulinda maslahi ya taifa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani