Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanaokabidhiwa nyadhifa wazingatie uadilifu -Askofu

Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Zanzibar, Michael HafidhVIONGOZI wanaokabidhiwa nyadhifa mbalimbali za uongozi nchini, wametakiwa kutenda uadilifu kwa wananchi kwa ajili ya kukuza uchumi na kuleta maendeleo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Zitto aanza kuvuliwa nyadhifa za bungeni

Mambo yanazidi kumwendea kombo Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe baada ya kuvuliwa rasmi cheo cha Naibu Msemaji wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni.

 

11 years ago

GPL

UVCCM MABIBO WAMPONGEZA JK KUWAVUA NYADHIFA MAWAZIRI

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete. Na Bashir Nkoromo
UMOJA wa Vijana wa CCM, Kata ya Mabibo, Kinondoni jijini Dar es Salaam, umempongeza Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete kwa kuwavua uongozi mawaziri wanne mwishoni mwa wiki. Mawaziri waliovuliwa uongozi kufuatia Rais Kikwete kutenguauUteuzi wao ni, Dk. Emmanuel Nchimbi (Waziri wa Mambo ya Ndani), Shamsi Vuai (Waziri wa Ulinzi), Mathayo David Mathayo (Mifugo na Maendeleo ya...

 

10 years ago

Bongo Movies

JB:Namuona Wema Akishika Nyadhifa Kubwa Siku za Usoni

Staa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram amempongeza na kumpa moyo staa mwenzake Wema Sepetu kwa kumtabilia makubwa siku za usoni baada ya staa huyo kukosa kura za kutosha kwenye kinyang’anyiro ya ubunge wa viti maalum kupitia chama cha mapinduzi.

JB  aliandika;

Watu wote masikio yao yalikuwa singida leo...kwa sababu moja tu....wema sepetu...mikoa mingine itapita wala watu hawatajua kama majina yametangazwa....mwanangu @wemasepetu. wewe ni wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Watengenezaji wa mizinga wazingatie viwango’

WATENGENEZAJI wa mizinga ya nyuki wametakiwa kuzingatia vipimo, viwango ili kuwezesha nyuki kujenga masega na kuongeza  uzalishaji wa asali kwa kiwango kikubwa. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili jijini Dar es Salaam...

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunifu mavazi wazingatie rika zote

Moja ya mambo yaliyotawala ubongo wa binadamu ni ubinafsi. Binadamu yeyote kabla ya kuangalia jinsi anavyoweza kuchangia katika maisha ya mwenzake, hujiangalia kwanza yeye kama amejitosheleza.

 

9 years ago

StarTV

Robo tatu ya viongozi kamati tendaji ya Chadema Bunda wajiuzulu nyadhifa zao

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Bunda kimepata mpasuko mkubwa kutokana na karibu robo tatu ya viongozi wake kujiuzulu nafasi zao akiwemo katibu mwenezi wa CHADEMA jimbo la Bunda Emmanuel Malibwa, mwenyekiti wa jimbo hilo Samwel Alfred na katibu wa CHADEMA Wilaya Rita Itandilo.

Baadhi ya viongozi na wanachama wa chama hicho wamesema hivi sasa watamuunga mkono mgombea wa CCM katika jimbo la Bunda Stephen Wassira kwa sababu viongozi wao wamejichanganya kwa kuwafanyia maamuzi...

 

9 years ago

Michuzi

MWASITI AWATAKA WASANII WABADILIKE NA WAZINGATIE MAADILI WAWAPO JUKWAANI

  Msanii wa Reggae Princes Delyla akiongea na wadau wa Sanaa kwenye Jukwaa la Sanaa la Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) mapema wiki hii kwenye makao makuu ya Baraza hilo Ilala Sharif Shamba jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Msanii Mwasiti Almas na Afisa Sanaa kutoka BASATA Augustino Makame.  Msanii wa kizazi kipya Mwasiti Almas(katikati) akisisitiza jambo wakati akiongea na wadau wa Sanaa kwenye programu ya Jukwaa la Sanaa la Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) linalofanyika makao makuu ya...

 

9 years ago

Mwananchi

DK MONA MWAKALINGA :Msomi anayetamani wasaniii wazingatie weledi kwenye kazi zao

Unapotaja orodha ya wanawake wenye mchango katika sanaa ya Tanzania, huwezi kuliweka pembeni jina la Dk Mona Mwakalinga, msomi na mkuu wa Idara ya Sanaa na Sanaa za Maonyesho ya Chuo Kikuu cha Dar es Saalam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani