Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Robo tatu ya viongozi kamati tendaji ya Chadema Bunda wajiuzulu nyadhifa zao

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Bunda kimepata mpasuko mkubwa kutokana na karibu robo tatu ya viongozi wake kujiuzulu nafasi zao akiwemo katibu mwenezi wa CHADEMA jimbo la Bunda Emmanuel Malibwa, mwenyekiti wa jimbo hilo Samwel Alfred na katibu wa CHADEMA Wilaya Rita Itandilo.

Baadhi ya viongozi na wanachama wa chama hicho wamesema hivi sasa watamuunga mkono mgombea wa CCM katika jimbo la Bunda Stephen Wassira kwa sababu viongozi wao wamejichanganya kwa kuwafanyia maamuzi...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Hali tete Bunda, viongozi Chadema wajiuzulu

bulayaNa Raphael Okello, Bunda

SIKU chache baada ya mgombea ubunge wa Jimbo la Bunda Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Esther Bulaya kuteuliwa na chama hicho na kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo, hali ndani ya chama hicho wilayani  Bunda imekuwa tete.

Hatua hiyo inatokana na uamuzi wa aliyekuwa mpinzani wa Bulaya katika kura za maoni ndani ya chama hicho, Pius Masururi, kujitoa katika chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Tayari Masururi ametangaza...

 

11 years ago

Michuzi

Wajumbe wa Kamati Tendaji ya Taifa ya TASAF wakagua Miradi Mkoani Ruvuma

    Makamu mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya TASAF Taifa Abbas Kandoro akizungumza na Wazee wa Mtaa wa Mbulani katika kata ya Ruvuma Mjini Songea mara baada ya kukagua mradi wa Mashine ya kusaga na kukoboa nafasi wa wazee hao  Wazee wa Kata ya Ruvuma wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati Tendaji ya Kitaifa ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF  Wajumbe wa kamati Tendaji ya TASAF Kitaifa wakikagua mradi wa ufugaji wa Ngombe wa Vijana wa Mtaa wa Muungano Mjini Songea. Katika...

 

11 years ago

Michuzi

Kamati Tendaji ya Taifa ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF, yazuru Kibaha, Pwani.

 Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF,LadislausMwamanga (aliyesimama)akitoa ufafanuzi juu ya utekelezaji wa Mpango wa KunusuruKaya Masikinikwa walengwa wa Mpango huo (hawapo pichani).
 Mkurugenzi Mtendajiwa Halmashauri ya wilaya ya Kibaha mkoani Pwani Tatu Seleman (mwenye miwani) akiangalia moja ya mikeka iliyosukwa na walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya masikini,PSSN, katika kijiji cha Vikuge kama njia mojawapo ya kukuza kipato cha wananchi.

 Walengwa wa Mpango wa kunusurukaya masikinikatika...

 

9 years ago

Michuzi

KAIMU MKURUGENZI MPYA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI AKUTANA NA KAMATI TENDAJI YAKE

 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma (MNH), Aminiel Aligaesha (kulia) na akimtambulisha Kaimu Mkurugenzi mpya wa Hospitali hiyo Profesa Lawrence Mseru kwa kamati tendaji, wakurugenzi, wakuu wa idara, mameneja wa majengo ya Kibasila, Sewahaji, Mwaisela na Jengo la Watoto.  Kaimu Mkurugenzi mpya wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Mseru (kulia) akizungumza na kamati tendaji, wakurugenzi, wakuu wa idara, mameneja wa majengo ya Kibasila, Sewahaji, Mwaisela na Jengo la...

 

10 years ago

BBCSwahili

Viongozi wa upinzani wajiuzulu Uingereza

Kiongozi wa chama cha Leba nchini Uingereza Ed Miliband amewaambia wanaharakati wa chama hicho kwamba anajiuzulu

 

10 years ago

StarTV

Baada ya kushindwa, Viongozi wa upinzani wajiuzulu Uingereza.

Kiongozi wa chama cha Leba nchini Uingereza Ed Miliband amewaambia wanaharakati wa chama hicho kwamba anajiuzulu kama kiongozi wa chama hicho kufuatia matokeo duni ya uchaguzi mkuu.

Miliband ambaye amempongeza Waziri mkuu David Cameron kwa kuchaguliwa kwa awamu ya pili amesema kuwa anachukua jukumu la kushindwa kwa chama chake katika uchaguzi huo.

Chama cha leba kilishindwa vibaya katika uchaguzi huo.

Katika hotuba aliyotoa mjini London,Miliband alisema kuwa ni wakati mtu mwengine anafaa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vigogo CHADEMA Kigoma wajiuzulu

VIONGOZI watatu wa juu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Kigoma, wamejiuzulu nafasi na uanachama wao kwa madai ya ubabe wa viongozi wa chama hicho kitaifa. Waliojiuzulu ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Makatibu, wajumbe wajiuzulu Chadema

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani hapa, kimepata pigo baada ya makatibu wawili na wajumbe tisa wa kamati ya utendaji, kujiuzulu na kujiunga na Alliance for Change and Transparence (ACT-Tanzania).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani