Vigogo CHADEMA Kigoma wajiuzulu
VIONGOZI watatu wa juu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Kigoma, wamejiuzulu nafasi na uanachama wao kwa madai ya ubabe wa viongozi wa chama hicho kitaifa. Waliojiuzulu ni...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi26 Aug
Makatibu, wajumbe wajiuzulu Chadema
11 years ago
Mwananchi13 Jul
Kanisa lawataka wachungaji wajiuzulu Chadema
9 years ago
Mtanzania21 Aug
Hali tete Bunda, viongozi Chadema wajiuzulu
Na Raphael Okello, Bunda
SIKU chache baada ya mgombea ubunge wa Jimbo la Bunda Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Esther Bulaya kuteuliwa na chama hicho na kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo, hali ndani ya chama hicho wilayani Bunda imekuwa tete.
Hatua hiyo inatokana na uamuzi wa aliyekuwa mpinzani wa Bulaya katika kura za maoni ndani ya chama hicho, Pius Masururi, kujitoa katika chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Tayari Masururi ametangaza...
9 years ago
StarTV22 Aug
Robo tatu ya viongozi kamati tendaji ya Chadema Bunda wajiuzulu nyadhifa zao
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Bunda kimepata mpasuko mkubwa kutokana na karibu robo tatu ya viongozi wake kujiuzulu nafasi zao akiwemo katibu mwenezi wa CHADEMA jimbo la Bunda Emmanuel Malibwa, mwenyekiti wa jimbo hilo Samwel Alfred na katibu wa CHADEMA Wilaya Rita Itandilo.
Baadhi ya viongozi na wanachama wa chama hicho wamesema hivi sasa watamuunga mkono mgombea wa CCM katika jimbo la Bunda Stephen Wassira kwa sababu viongozi wao wamejichanganya kwa kuwafanyia maamuzi...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-IvGplFBu2eM/VccjfnxwVRI/AAAAAAABTUo/sh_UTnWFjlM/s72-c/1439111816672.jpg)
BREAKING NEWS: MWENYEKITI WA CCM MKOA ARUSHA NA KATIBU MWENEZI WA MKOA WAJIUZULU NA KUHAMIA CHADEMA
![](http://2.bp.blogspot.com/-IvGplFBu2eM/VccjfnxwVRI/AAAAAAABTUo/sh_UTnWFjlM/s640/1439111816672.jpg)
ENDELEA KUTUFUATILIA KWA TAARIFA ZAIDI
10 years ago
Mtanzania10 Aug
Vigogo CCM Arusha watimkia Chadema
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Onesmo Ole Nangole na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Mkoa huo, Isack Joseph, wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Ole Nangole na Joseph walifikia uamuzi huo jijini hapa jana na kusema kwa nyakati tofauti wamelazimika kuchukua uamuzi huo kwa kuwa utaratibu wa kumpata mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ulikiukwa.
Kwa mujibu wa wana CCM hao, wakati wa mchakato...
10 years ago
Uhuru NewspaperRushwa ya pilau, soda yawang’oa vigogo CHADEMA
NA SHAABAN MDOE, ARUSHA
MWENYEKITI wa CHADEMA wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, Ernest Sheshe na viongozi wengine 10, wameachia ngazi kutokana na kuchukizwa na vitendo vya rushwa.
Sheshe na wenzake hao wamefikia uamuzi huo baada ya makada wengine kumwaga rushwa ya vyakula na vinywaji kwenye uchaguzi.
Makada wengi wa CHADEMA wamekuwa wakilalamika kuchezewa rafu na wapinzani wao, ambao wanatajwa kubebwa na baadhi ya viongozi wa makao makuu, ambapo vitendo vya rushwa vimetawala bila...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8KNI8B2SjT2CNX1ZoCdaBA8Yc1*qYQ9-LQSF79AsIeivmjkTGveCSfJpdhfNsu0HuE**SjC7-AvnYQ8ePwGvuRCcBe2o4mvv/008.jpg?width=650)
USHINDI WA CHADEMA SUMBAWANGA, VIGOGO CCM TUMBO JOTO
11 years ago
Mwananchi19 Jul
Chadema yapasuka Kigoma