Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kanisa lawataka wachungaji wajiuzulu Chadema

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kusini ambaye pia ni Mchungaji wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT), Joseph Matare amejiuzulu nafasi yake hiyo kutokana na kanisa lake kuwataka wachungaji wake ambao ni viongozi wa vyama vya siasa kuachana na nafasi zao za kisiasa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Vigogo CHADEMA Kigoma wajiuzulu

VIONGOZI watatu wa juu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Kigoma, wamejiuzulu nafasi na uanachama wao kwa madai ya ubabe wa viongozi wa chama hicho kitaifa. Waliojiuzulu ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Makatibu, wajumbe wajiuzulu Chadema

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani hapa, kimepata pigo baada ya makatibu wawili na wajumbe tisa wa kamati ya utendaji, kujiuzulu na kujiunga na Alliance for Change and Transparence (ACT-Tanzania).

 

9 years ago

Mtanzania

Hali tete Bunda, viongozi Chadema wajiuzulu

bulayaNa Raphael Okello, Bunda

SIKU chache baada ya mgombea ubunge wa Jimbo la Bunda Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Esther Bulaya kuteuliwa na chama hicho na kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo, hali ndani ya chama hicho wilayani  Bunda imekuwa tete.

Hatua hiyo inatokana na uamuzi wa aliyekuwa mpinzani wa Bulaya katika kura za maoni ndani ya chama hicho, Pius Masururi, kujitoa katika chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Tayari Masururi ametangaza...

 

9 years ago

StarTV

Robo tatu ya viongozi kamati tendaji ya Chadema Bunda wajiuzulu nyadhifa zao

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Bunda kimepata mpasuko mkubwa kutokana na karibu robo tatu ya viongozi wake kujiuzulu nafasi zao akiwemo katibu mwenezi wa CHADEMA jimbo la Bunda Emmanuel Malibwa, mwenyekiti wa jimbo hilo Samwel Alfred na katibu wa CHADEMA Wilaya Rita Itandilo.

Baadhi ya viongozi na wanachama wa chama hicho wamesema hivi sasa watamuunga mkono mgombea wa CCM katika jimbo la Bunda Stephen Wassira kwa sababu viongozi wao wamejichanganya kwa kuwafanyia maamuzi...

 

10 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS: MWENYEKITI WA CCM MKOA ARUSHA NA KATIBU MWENEZI WA MKOA WAJIUZULU NA KUHAMIA CHADEMA

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Mh. Onesmo Nangole na Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Arusha wamejiuzulu nafasi zao zote na kujiunga na chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA.Katibu mwenezi amemtahadharisha katibu mkuu wa CCM, ache kuwaita Watanzania makapi.

ENDELEA KUTUFUATILIA KWA TAARIFA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

BASATA LAWATAKA WASANII KUWA TAYARI KUKOSOLEWA

Na Mwandishi Wetu 
 Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa wito kwa wasanii kuacha tabia ya kulewa umaarufu na kuchukia pale wanapokosolewa kwani kazi yoyote ya Sanaa lazima ikosolewe ili iwe bora na yenye kuvutia. 
 Wito huo umetolewa mapema wiki hii na Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Godfrey Lebejo Mngereza wakati akizungumza kwenye Jukwaa la Sanaa la BASATA linalofanyika kwa mwezi mara mbili siku ya Jumatatu kwenye Ukumbi wa Baraza hilo ulioko Ilala Sharif Shamba jijini Dar es...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala yazindua harambee kukarabati kanisa hilo

1

Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Focus Masawe,  akizindua Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo jijini Dar es Salaam.

2

Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Focus Masawe,  akionyesha Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo baada ya kuzindua rasmi

3

5

Mwanajumuiya wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala,  Stephen Minja, akionyesha Kadi Maalumu ya  harambee ya...

 

10 years ago

Michuzi

KANISA KATOLIKI POROKIA YA MWANANYAMALA YAZINDUA HARAMBEE KUKARABATI KANISA HILO

Paroko wa Kanisa Katoliki Paroki ya Mwananyamala, Focus Masawe,  akizindua Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanaisa hilo jijini Dar es Salaam juzi Paroko wa Kanisa Katoliki Paroki ya Mwananyamala, Focus Masawe,  akionyesha Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo baada ya kuzindua rasmi Wanakwaya wa Paroko wa Kanisa Katoliki Paroki ya Mwananyamala, wakiimba wakati wa uzinduzi uuzaji wa tiketi na...

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA MAGEREZA LAWATAKA WANANCHI KUTII SHERIA BILA KUSHURUTISHWA


Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
JESHI la Magereza limeeleza kusikitishwa na kitendo cha viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa kushindwa kutii sheria bila shuruti na kuhatarisha usalama wa wafungwa, askari na mali za Jeshi la Magereza na hiyo ni baada ya watu wanaoaminika kuwa ni wafuasi na viongozi wa chama hicho wakiwa katika msururu ya magari binafsi na gari za kubeba abiria kufika katika eneo la gereza la Segerea na kutaka kuingia bila utaratibu.
Taarifa ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani