Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makatibu, wajumbe wajiuzulu Chadema

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani hapa, kimepata pigo baada ya makatibu wawili na wajumbe tisa wa kamati ya utendaji, kujiuzulu na kujiunga na Alliance for Change and Transparence (ACT-Tanzania).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Vigogo CHADEMA Kigoma wajiuzulu

VIONGOZI watatu wa juu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Kigoma, wamejiuzulu nafasi na uanachama wao kwa madai ya ubabe wa viongozi wa chama hicho kitaifa. Waliojiuzulu ni...

 

11 years ago

Mwananchi

Kanisa lawataka wachungaji wajiuzulu Chadema

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kusini ambaye pia ni Mchungaji wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT), Joseph Matare amejiuzulu nafasi yake hiyo kutokana na kanisa lake kuwataka wachungaji wake ambao ni viongozi wa vyama vya siasa kuachana na nafasi zao za kisiasa.

 

9 years ago

Mtanzania

Hali tete Bunda, viongozi Chadema wajiuzulu

bulayaNa Raphael Okello, Bunda

SIKU chache baada ya mgombea ubunge wa Jimbo la Bunda Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Esther Bulaya kuteuliwa na chama hicho na kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo, hali ndani ya chama hicho wilayani  Bunda imekuwa tete.

Hatua hiyo inatokana na uamuzi wa aliyekuwa mpinzani wa Bulaya katika kura za maoni ndani ya chama hicho, Pius Masururi, kujitoa katika chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Tayari Masururi ametangaza...

 

9 years ago

StarTV

Robo tatu ya viongozi kamati tendaji ya Chadema Bunda wajiuzulu nyadhifa zao

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Bunda kimepata mpasuko mkubwa kutokana na karibu robo tatu ya viongozi wake kujiuzulu nafasi zao akiwemo katibu mwenezi wa CHADEMA jimbo la Bunda Emmanuel Malibwa, mwenyekiti wa jimbo hilo Samwel Alfred na katibu wa CHADEMA Wilaya Rita Itandilo.

Baadhi ya viongozi na wanachama wa chama hicho wamesema hivi sasa watamuunga mkono mgombea wa CCM katika jimbo la Bunda Stephen Wassira kwa sababu viongozi wao wamejichanganya kwa kuwafanyia maamuzi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Balozi Sefue afungua mkutano wa mwaka wa makatibu wakuu, makatibu tawala wa mikoa na naibu makatibu wakuu leo mjini Dodoma

1

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza wakati wa kufungua mkutano wa faragha wa mwaka cha makatibu wakuu, makatibu tawala wa mikoa na naibu makatibu wakuu mapema leo mjini Dodoma. Kaulimbiu ya mkutano wa mwaka huu ni “Nafasi na Wajibu wa Watendaji wa Wakuu wa Serikali kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 na Kuingia Madarakani Serikali ya Awamu ya Tano.”

2

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh. Chiku Gallawa akizungumza kumkaribisha mkoani Dodoma Katibu Mkuu Kiongozi, Makatibu Wakuu,...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA MAKATIBU WAKUU, MAKATIBU TAWALA WA MIKOA NA NAIBU MAKATIBU WAKUU LEO MJINI DODOMA

 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza wakati wa kufungua mkutano wa faragha wa mwaka cha makatibu wakuu, makatibu tawala wa mikoa na naibu makatibu wakuu mapema leo mjini Dodoma. Kaulimbiu ya mkutano wa mwaka huu ni “Nafasi na Wajibu wa Watendaji wa Wakuu wa Serikali kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 na Kuingia Madarakani Serikali ya Awamu ya Tano.” Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh. Chiku Gallawa akizungumza kumkaribisha mkoani Dodoma Katibu Mkuu Kiongozi, Makatibu Wakuu,...

 

10 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS: MWENYEKITI WA CCM MKOA ARUSHA NA KATIBU MWENEZI WA MKOA WAJIUZULU NA KUHAMIA CHADEMA

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Mh. Onesmo Nangole na Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Arusha wamejiuzulu nafasi zao zote na kujiunga na chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA.Katibu mwenezi amemtahadharisha katibu mkuu wa CCM, ache kuwaita Watanzania makapi.

ENDELEA KUTUFUATILIA KWA TAARIFA ZAIDI

 

10 years ago

Mwananchi

11 years ago

Michuzi

SEMINA YA MAKATIBU WA MIKOA NA MAKATIBU WASAIDIZI WA TUICO YAFANYIKA MJNI MOROGORO.

 Katibu wa TUICO mkoa wa Pwani Kassim Matewele akitoa hoja katika semina ya makatibu wa mikoa na makatibu wasaidizi wa tuico mkoani morogoro.  Nyuso za furaha, baadhi ya makatibu wasaidizi wa TUICO wakiwa katika semina hiyo.  Katibu wa TUICO kanda ya kaskazini Hussen Ngowi akitoa hoja katika semina hiyo.  Baadhi ya makatibu wasaidizi wa TUICO wakiwa katika semina inayofanyika katika hotel ya New Savoy mjini Morogoro. Makatibu wakuu wa mikoa na wasaidizi wa TUICO wakiwa katika picha ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani