JB:Namuona Wema Akishika Nyadhifa Kubwa Siku za Usoni
Staa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram amempongeza na kumpa moyo staa mwenzake Wema Sepetu kwa kumtabilia makubwa siku za usoni baada ya staa huyo kukosa kura za kutosha kwenye kinyang’anyiro ya ubunge wa viti maalum kupitia chama cha mapinduzi.
JB aliandika;
Watu wote masikio yao yalikuwa singida leo...kwa sababu moja tu....wema sepetu...mikoa mingine itapita wala watu hawatajua kama majina yametangazwa....mwanangu @wemasepetu. wewe ni wa...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo528 Dec
Ripoti: Gonorrhoea kutotibika siku za usoni
![0EBDC04700000514-3375525-Dame_Sally_Davies_has_reportedly_told_doctors_that_the_strain_fi-a-2_1451238104073](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/0EBDC04700000514-3375525-Dame_Sally_Davies_has_reportedly_told_doctors_that_the_strain_fi-a-2_1451238104073-300x194.jpg)
Gonorrhoea ipo kwenye hati hati ya kushindwa kutibika siku za usoni, kwa mujibu wa daktari mashuhuri wa nchini Uingereza.
Dame Sally Davies
Kwa mujibu wa daktari huyo, Dame Sally Davies ugonjwa huo sasa hautibiki tena kwa antibiotic ya azithromycin ambapo ripoti za wagonjwa walioathirika zimeripotiwa huko Macclesfield, Oldham na Scunthorpe.
Amesema Gonorrhoea imeendelea kuwa king’ang’anizi kwa antibiotics nyingi mpya. Mwaka jana pekee watu 35,000 waliripotiwa kuugua ugonjwa huo nchini...
10 years ago
Bongo514 Dec
Happiness ni #2 kwenye People’s Choice Award, akishika #1 ataingia Top 10 Miss World
11 years ago
Habarileo06 Mar
Mvua kubwa kunyesha siku 3
MVUA kubwa ya vipindi inayozidi milimeta 50 ndani ya saa 24, inatarajiwa kunyesha kwa siku tatu mfululizo hadi kesho. Hadhari hiyo iliyotolewa jana na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk Agnes Kijazi kuwa tahadhari hiyo inaanzia Machi 5 hadi kesho.
11 years ago
Habarileo12 Apr
Mvua kubwa, mawimbi baharini kutikisa siku 4
MAMLAKA ya Hali ya Hewa (TMA) imetoa tahadhari ya kuwepo vipindi vya mvua kubwa, upepo mkali na mawimbi makubwa baharini kwa siku nne mfululizo.
11 years ago
Habarileo27 Dec
Wanaokabidhiwa nyadhifa wazingatie uadilifu -Askofu
VIONGOZI wanaokabidhiwa nyadhifa mbalimbali za uongozi nchini, wametakiwa kutenda uadilifu kwa wananchi kwa ajili ya kukuza uchumi na kuleta maendeleo.
11 years ago
Mwananchi13 Dec
Zitto aanza kuvuliwa nyadhifa za bungeni
10 years ago
Mwananchi15 Mar
Zitto: Iko siku nitashika nafasi kubwa Tanzania
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7TcBzbi1eXq4imCBDPaaXGs9wvLaRyZdH5US0jOGWblMT95CdGwy5fVzaiUfsj8M7JsF7WhUegTxl4YbU6-XVu8p6wOv9v-K/JakayaKikwete1.jpg)
UVCCM MABIBO WAMPONGEZA JK KUWAVUA NYADHIFA MAWAZIRI