Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mvua kubwa kunyesha siku 3

MVUA kubwa ya vipindi inayozidi milimeta 50 ndani ya saa 24, inatarajiwa kunyesha kwa siku tatu mfululizo hadi kesho. Hadhari hiyo iliyotolewa jana na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk Agnes Kijazi kuwa tahadhari hiyo inaanzia Machi 5 hadi kesho.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TMA YATOA TAHADHARI YA KUNYESHA MVUA KUBWA KWA SIKU NNE MFULULIZO

Na Karama Kenyunko globu ya jamii.

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Nchini (TMA), imetoa tahadhari ya kunyesha kwa Mvua kubwa ndani ya siku nne kuanzia kesho Aprili 17, 2020.

Tahadhari hiyo imetolewa leo Alhamisi Aprili 16, 2020 jijini Dar es Salaam na Meneja wa Kituo  Kikuu cha Utabiri wa Mamlaka hiyo, Samwel Mbuya  ambae amesema amesema mvua hiyo ya siku nne inatarajia kunyesha kuanzia ya April 17 hadi 20 mwaka huu.

Aidha ametaja maeneo yanayotarajia kupata vipindi vya mvua kubwa ni pamoja na Mkoa wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAONYESHO YA SIKU YA WANAWAKE YA MKOA WA MOROGORO YAINGIA DOSARI BAADA YA MVUA KUBWA KUNYESHA

  Mkurugenzi wa manispaa ya Morogoro, Bi. Theresia Muhongo akisikiliza maelezo kutoka kwa Haji Sajilo ambaye ni Kiongozi msimamizi wa Mipango wa NGO,s ya MOYODEI wakati alipotembelea kwenye mabanda yaliyoharibwa vibaya na mvua iliyonyesha jana jioni. Haya mabanda yalikuwa ni kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani iliyotakiwa kuanza leo jumanne lakini kutokana na maafa hayo maonyesho hayo yamesogezwa mpaka tarehe 5/03/2014 kwa ajili ya ukarabati wa mabanda hayo.(Picha na Pamoja...

 

10 years ago

GPL

MAONYESHO YA SIKU YA WANAWAKE YA MKOA WA MOROGORO YAINGIA DOSARI BAADA YA MVUA KUBWA KUNYESHA‏

  Mkurugenzi wa manispaa ya Morogoro, Bi. Theresia Muhongo akisikiliza maelezo kutoka kwa Haji Sajilo ambaye ni Kiongozi msimamizi wa Mipango wa NGO,s ya MOYODEI wakati alipotembelea kwenye mabanda yaliyoharibwa vibaya na mvua iliyonyesha jana jioni. Haya mabanda yalikuwa ni kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani iliyotakiwa kuanza leo jumanne lakini kutokana na maafa hayo maonyesho hayo yamesogezwa mpaka tarehe...

 

10 years ago

GPL

HALI ILIVYOKUWA ENEO LA SINZA-AFRIKA SANA BAADA YA KUNYESHA MVUA KUBWA JANA

Wananchi wakivushwa na lori eneo la Sinza-Afrika lililojaa maji kutokana na mvua kubwa iliyonyesha jana. Magari yakipita kwa tabu eneo hilo kutokana na mvua kubwa zinazoendea kunyesha. (Picha na Makongoro Oging /…

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MAGARI YAKWAMA ENEO LA HEDARU BAADA YA MVUA KUBWA KUNYESHA NA KUZUIA BARABARA

 Baadhi ya wasafiri waliokwama wakiangalia greda inayojaribu kutengeneza njia ili waweze kupita.  Wasafiri wakiwa wamekwama eneo la hedaru  Maroli na mabasi yakiwa kwenye foleni baada ya njia kuzibwa na mafuriko ya maji  Wakandarasi wakijadiliana jambo ili kuweza kupata ufumbuzi  Umati wa wasafiri wakiwa wanashangaa jinsi barabara ilivyozuiwa na maji Hii ndio hali halisi inavyoonekana malori yakiwa yamekwama katikati ya barabara Magari zaidi ya 300 yamekwama mda huu eneo la hedaru...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani