TMA YATOA TAHADHARI YA KUNYESHA MVUA KUBWA KWA SIKU NNE MFULULIZO
![](https://1.bp.blogspot.com/-uU5B2aivacU/Xph-3OhbB_I/AAAAAAALnMg/OeGc1lpEbVQu3mOS3hX_5HcPOqHl_OzhACLcBGAsYHQ/s72-c/index.jpg)
Na Karama Kenyunko globu ya jamii.
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Nchini (TMA), imetoa tahadhari ya kunyesha kwa Mvua kubwa ndani ya siku nne kuanzia kesho Aprili 17, 2020.
Tahadhari hiyo imetolewa leo Alhamisi Aprili 16, 2020 jijini Dar es Salaam na Meneja wa Kituo Kikuu cha Utabiri wa Mamlaka hiyo, Samwel Mbuya ambae amesema amesema mvua hiyo ya siku nne inatarajia kunyesha kuanzia ya April 17 hadi 20 mwaka huu.
Aidha ametaja maeneo yanayotarajia kupata vipindi vya mvua kubwa ni pamoja na Mkoa wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog20 Mar
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/SAB5jQvPgtE/default.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-7naDjh8Yycs/XkwyWU6i81I/AAAAAAACBFY/-hSyP2Iv2M0rZqu5V2dm7t3KjRBgn0SeQCLcBGAsYHQ/s72-c/E65E8C9B-8E20-442A-B48F-5ACF452061AF.png)
TMA yatoa tahadhari kwa wananchi kuelekea msimu wa Mvua za Masika
![](https://1.bp.blogspot.com/-7naDjh8Yycs/XkwyWU6i81I/AAAAAAACBFY/-hSyP2Iv2M0rZqu5V2dm7t3KjRBgn0SeQCLcBGAsYHQ/s640/E65E8C9B-8E20-442A-B48F-5ACF452061AF.png)
HIVI karibuni Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA )imetoa utabir wake wa Mvua za masika kwa kipindi cha Machi hadi Mei,2020 ambazo zinatarajiwa kuwa za wastani hadi juu ya wastani .
Mvua hizo zinatarajia kunyesha katika maeneo ya Mkoa wa Tanga, Visiwa vya Unguja na Pemba, maeneo mengi ya Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro, Mashariki mwa Mkoa wa Geita pamoja na Mikoa ya Shinyanga, Mwanza, Simiyu na Mara.
Maeneo ya Mkoa wa Kagera, magharibi mwa Mkoa wa...
11 years ago
Habarileo06 Mar
Mvua kubwa kunyesha siku 3
MVUA kubwa ya vipindi inayozidi milimeta 50 ndani ya saa 24, inatarajiwa kunyesha kwa siku tatu mfululizo hadi kesho. Hadhari hiyo iliyotolewa jana na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk Agnes Kijazi kuwa tahadhari hiyo inaanzia Machi 5 hadi kesho.
11 years ago
Tanzania Daima28 Feb
TMA yatoa tahadhari msimu wa mvua
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari juu ya mwelekeo wa mifumo ya hali ya hewa iliyopo na athari zake kwa msimu ujao wa mvua za masika, ambao...
10 years ago
MichuziMAONYESHO YA SIKU YA WANAWAKE YA MKOA WA MOROGORO YAINGIA DOSARI BAADA YA MVUA KUBWA KUNYESHA
10 years ago
GPLMAONYESHO YA SIKU YA WANAWAKE YA MKOA WA MOROGORO YAINGIA DOSARI BAADA YA MVUA KUBWA KUNYESHA
9 years ago
Mwananchi16 Nov
Mvua yaleta maafa Tanga, yanyesha kwa saa nne mfululizo
11 years ago
Mwananchi26 Jan
TMA: Mvua kuendelea kunyesha hadi Aprili