MAONYESHO YA SIKU YA WANAWAKE YA MKOA WA MOROGORO YAINGIA DOSARI BAADA YA MVUA KUBWA KUNYESHA
 Mkurugenzi wa manispaa ya Morogoro, Bi. Theresia Muhongo akisikiliza maelezo kutoka kwa Haji Sajilo ambaye ni Kiongozi msimamizi wa Mipango wa NGO,s ya MOYODEI wakati alipotembelea kwenye mabanda yaliyoharibwa vibaya na mvua iliyonyesha jana jioni. Haya mabanda yalikuwa ni kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani iliyotakiwa kuanza leo jumanne lakini kutokana na maafa hayo maonyesho hayo yamesogezwa mpaka tarehe...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMAONYESHO YA SIKU YA WANAWAKE YA MKOA WA MOROGORO YAINGIA DOSARI BAADA YA MVUA KUBWA KUNYESHA
11 years ago
Habarileo06 Mar
Mvua kubwa kunyesha siku 3
MVUA kubwa ya vipindi inayozidi milimeta 50 ndani ya saa 24, inatarajiwa kunyesha kwa siku tatu mfululizo hadi kesho. Hadhari hiyo iliyotolewa jana na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk Agnes Kijazi kuwa tahadhari hiyo inaanzia Machi 5 hadi kesho.
10 years ago
GPLHALI ILIVYOKUWA ENEO LA SINZA-AFRIKA SANA BAADA YA KUNYESHA MVUA KUBWA JANA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-uU5B2aivacU/Xph-3OhbB_I/AAAAAAALnMg/OeGc1lpEbVQu3mOS3hX_5HcPOqHl_OzhACLcBGAsYHQ/s72-c/index.jpg)
TMA YATOA TAHADHARI YA KUNYESHA MVUA KUBWA KWA SIKU NNE MFULULIZO
![](https://1.bp.blogspot.com/-uU5B2aivacU/Xph-3OhbB_I/AAAAAAALnMg/OeGc1lpEbVQu3mOS3hX_5HcPOqHl_OzhACLcBGAsYHQ/s320/index.jpg)
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Nchini (TMA), imetoa tahadhari ya kunyesha kwa Mvua kubwa ndani ya siku nne kuanzia kesho Aprili 17, 2020.
Tahadhari hiyo imetolewa leo Alhamisi Aprili 16, 2020 jijini Dar es Salaam na Meneja wa Kituo Kikuu cha Utabiri wa Mamlaka hiyo, Samwel Mbuya ambae amesema amesema mvua hiyo ya siku nne inatarajia kunyesha kuanzia ya April 17 hadi 20 mwaka huu.
Aidha ametaja maeneo yanayotarajia kupata vipindi vya mvua kubwa ni pamoja na Mkoa wa...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-aVOEANDMHVo/UviW-kpc5jI/AAAAAAAAK1o/aMf9fyuXIpo/s72-c/1.jpg)
NEWS ALERT: MAGARI YAKWAMA ENEO LA HEDARU BAADA YA MVUA KUBWA KUNYESHA NA KUZUIA BARABARA
![](http://2.bp.blogspot.com/-aVOEANDMHVo/UviW-kpc5jI/AAAAAAAAK1o/aMf9fyuXIpo/s1600/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-XsTsJxVJDvU/UviW-1e7DeI/AAAAAAAAK1s/FIhiVuEuv-E/s1600/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-ZI-AJ21aAbs/UviW_B_YKKI/AAAAAAAAK1w/qhexnq9XvyE/s1600/3.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-x6FIto73Eoc/UviXaaiN3gI/AAAAAAAAK2A/AUsBgP0o9zw/s1600/4.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-vkwnDsQ0Lb0/UviXarisxqI/AAAAAAAAK2E/i_52vHdcwKM/s1600/5.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-_YjXSsNQ90w/UviXbaXII2I/AAAAAAAAK2Q/MeM4R8xfN6I/s1600/6.jpg)
10 years ago
StarTV04 Mar
Mvua yazuia uzinduzi wa siku ya wanawake Morogoro.
Na Jackson Monela,
Morogoro.
Uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani uliotarajiwa kufanyika jumanne hii mkoani Morogoro umeahirishwa mpaka hapo utakapotangwaza tena kutokana na mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha majira ya saa kumi na kuharibu maandalizi yote yaliyokuwa yamefanyika.
Maadhimisho hayo yalitarajiwa kuzinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dokta Ali Mohamed Shein.
Hivi ndivyo hali ilivyo katika viwanja vya jamhuri...