Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TMA: Mvua kuendelea kunyesha hadi Aprili

Siku chache baada ya mafuriko makubwa kutokea katika eneo la Dumila mkoani Morogoro na kusababisha watu kupoteza makazi na mali mbalimbali, Idara ya Hali ya Hewa(TMA),imesema mvua hizo zitaendelea hadi Aprili mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TMA YATOA TAHADHARI YA KUNYESHA MVUA KUBWA KWA SIKU NNE MFULULIZO

Na Karama Kenyunko globu ya jamii.

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Nchini (TMA), imetoa tahadhari ya kunyesha kwa Mvua kubwa ndani ya siku nne kuanzia kesho Aprili 17, 2020.

Tahadhari hiyo imetolewa leo Alhamisi Aprili 16, 2020 jijini Dar es Salaam na Meneja wa Kituo  Kikuu cha Utabiri wa Mamlaka hiyo, Samwel Mbuya  ambae amesema amesema mvua hiyo ya siku nne inatarajia kunyesha kuanzia ya April 17 hadi 20 mwaka huu.

Aidha ametaja maeneo yanayotarajia kupata vipindi vya mvua kubwa ni pamoja na Mkoa wa...

 

9 years ago

Habarileo

TMA: El-Nino kuendelea mpaka Aprili mwakani

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania(TMA), imeendelea kutoa tahadhari kwa wananchi wanaoishi mikoa ya Kanda za Ziwa, Kusini na Pwani, kwamba mvua za Vuli zitakazofikia ukubwa wa El-Nino, zinatarajiwa kuendelea kunyesha mpaka Aprili mwakani.

 

11 years ago

Habarileo

Mvua kubwa kunyesha siku 3

MVUA kubwa ya vipindi inayozidi milimeta 50 ndani ya saa 24, inatarajiwa kunyesha kwa siku tatu mfululizo hadi kesho. Hadhari hiyo iliyotolewa jana na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk Agnes Kijazi kuwa tahadhari hiyo inaanzia Machi 5 hadi kesho.

 

10 years ago

Vijimambo

TMA yatahadharisha wananchi kuhusu ongezeko la joto, Mvua kubwa isiyotabirika yaja, TMA yatahadharisha wananchi

Dar es Salaam. Mvua kubwa isiyotabirika inatarajiwa kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hasa katika ukanda wa Pwani ya Kaskazini, maeneo ya Dar es Salaam, Tanga, Unguja na Pemba; pia katika ukanda wa Kaskazini Mashariki kwa mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara.Akitoa taarifa ya hali ya hewa jana kwa Januari na Februari mwaka ujao, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk Agness Kijazi alisema mvua ya msimu katika maeneo hayo inatarajiwa kwisha leo.Hata hivyo,...

 

10 years ago

GPL

ATAHARI YA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA DAR NA PWANI

Eneo la Stendi Kuu ya Bagamoyo lilivyokumbwa na mafuriko ya mvua zinazoendelea kunyesha. Maji yakitapakaa eneo la Stendi Kuu ya Bagamoyo hivyo kusababisha usafiri na biashara ndogondogo kusitishwa kwa mda. Gari likiwa limesombwa na mafuriko.…

 

11 years ago

Habarileo

Wauawa kwa tuhuma ya kuzuia mvua kunyesha

WATU wawili wa familia moja wameuawa wilayani Maswa mkoani Simiyu, kwa kupigwa na wananchi waliojichukulia sheria mikononi, wakiwatuhumu kuzuia mvua kunyesha hivyo kusababisha ukame kwenye eneo lao.

 

5 years ago

Michuzi

MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA ZAENDELEA KULETA ATHARI

Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Morogoro zimeendelea kuleta athari mbalimbali ikiwemo kuvunja Daraja la Barabara ya Mtoni katika eneo la Vibandani ambalo limevunjika mapema ya Leo March 9 Majira ya Asubuhi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani