UVCCM MABIBO WAMPONGEZA JK KUWAVUA NYADHIFA MAWAZIRI
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete. Na Bashir Nkoromo UMOJA wa Vijana wa CCM, Kata ya Mabibo, Kinondoni jijini Dar es Salaam, umempongeza Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete kwa kuwavua uongozi mawaziri wanne mwishoni mwa wiki. Mawaziri waliovuliwa uongozi kufuatia Rais Kikwete kutenguauUteuzi wao ni, Dk. Emmanuel Nchimbi (Waziri wa Mambo ya Ndani), Shamsi Vuai (Waziri wa Ulinzi), Mathayo David Mathayo (Mifugo na Maendeleo ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLCHOLAGE AFUNGA SEMINA YA UVCCM MABIBO, WAMKABIDHI PICHA ZA NAPE, DK. FENELLA KAMA SALAMU
10 years ago
VijimamboUVCCM WAMPONGEZA MHE RAIS JAKAYA KIKWETE KWA HOTUBA YENYE UFAFANUZI WA KUJITOSHELEZA KUHUSU ESCROW
Sisi Vijana tunampongeza kwa kubariki na...
11 years ago
Mwananchi13 Dec
Zitto aanza kuvuliwa nyadhifa za bungeni
11 years ago
Habarileo27 Dec
Wanaokabidhiwa nyadhifa wazingatie uadilifu -Askofu
VIONGOZI wanaokabidhiwa nyadhifa mbalimbali za uongozi nchini, wametakiwa kutenda uadilifu kwa wananchi kwa ajili ya kukuza uchumi na kuleta maendeleo.
10 years ago
Michuzi21 Aug
BARAZA LA VIJANA UVCCM MKOANI ARUSHA WALAKUTANA KUMJADILI NAIBU KATIBU UVCCM MKOA HUO
Mwenyekiti UVCCM mkoa wa Arusha Robinson Meitinyiku akitoa taarifa ya ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya taarifa za upotoshaji zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari na baadhi ya viongozi wa UVCCM mkoani hapa. Ambao Mkutano huo ulitanguliwa na Kikao cha Baraza la UVCCM Mkoa wa Arusha waliaofikiana kutoa maamuzi juu ya mgogoro wao na Kaimu Katibu wa UVCCM Mkoa wa Arusha Gerald Mwadalu anayetuhumiwa kufunga ofisi na matumizi mabaya ya fedha za umoja huo.
Katibu wa UVCCM wilaya ya...
10 years ago
Bongo Movies25 Jul
JB:Namuona Wema Akishika Nyadhifa Kubwa Siku za Usoni
Staa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram amempongeza na kumpa moyo staa mwenzake Wema Sepetu kwa kumtabilia makubwa siku za usoni baada ya staa huyo kukosa kura za kutosha kwenye kinyang’anyiro ya ubunge wa viti maalum kupitia chama cha mapinduzi.
JB aliandika;
Watu wote masikio yao yalikuwa singida leo...kwa sababu moja tu....wema sepetu...mikoa mingine itapita wala watu hawatajua kama majina yametangazwa....mwanangu @wemasepetu. wewe ni wa...
9 years ago
StarTV22 Aug
Robo tatu ya viongozi kamati tendaji ya Chadema Bunda wajiuzulu nyadhifa zao
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Bunda kimepata mpasuko mkubwa kutokana na karibu robo tatu ya viongozi wake kujiuzulu nafasi zao akiwemo katibu mwenezi wa CHADEMA jimbo la Bunda Emmanuel Malibwa, mwenyekiti wa jimbo hilo Samwel Alfred na katibu wa CHADEMA Wilaya Rita Itandilo.
Baadhi ya viongozi na wanachama wa chama hicho wamesema hivi sasa watamuunga mkono mgombea wa CCM katika jimbo la Bunda Stephen Wassira kwa sababu viongozi wao wamejichanganya kwa kuwafanyia maamuzi...