Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHOLAGE AFUNGA SEMINA YA UVCCM MABIBO, WAMKABIDHI PICHA ZA NAPE, DK. FENELLA KAMA SALAMU

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Kata ya Mabibo, wilaya ya Kinondoni, Zakaria Kimemeneki (kulia), akikabidhi zawadi ya picha ya Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, kwa Katibu wa Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, Mohamed Cholage, wakati wa kufungwa semina ya Baraza la UVCCM kata hiyo, jana. Picha hiyo imetolewa na UVCCM Mabibo, ili akabidhiwe Nape kutokana na kutambua mchango wake katika kuijenga CCM....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

DK. FENELLA AFUNGA SEMINA YA WAZAZI MORO

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Waziri wa Habari, VIjana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, akimkabidhi cheti Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Kata ya Kawe,  Benjamin Joseph, alipotoa vyeti kwa wahitimu wa semina ya Viongozi wa Jumuia ya Wazazi Kata zote za Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, mwishoni mwa semina hiyo, leo Desemba 19, 2013, katika ukumbi wa Hioteli ya Road View, nje kidogo ya mji wa...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Fenella afunga fainali Copa Coca Cola 2014

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara(MB) akikagua timu za Vijana waliochini ya miaka 15 kutoka Kinondoni na Dodoma ambazo zilishiriki hatua ya fainali katika mashindano ya Copa Coca Cola mwishoni mwa wikiendi katika uwanja wa Krume jijini Dar es Salaam. Ambapa katika fainali hizo kwa upande wanaume toimu kutoka Dodoma iliibuka bingwa wa mashindano hayo kwa kuichapa Kinondoni jumla ya magoli 4 -0, wakati kwa upande wa wanawake Kinondoni ilinyakua...

 

11 years ago

GPL

UVCCM MABIBO WAMPONGEZA JK KUWAVUA NYADHIFA MAWAZIRI

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete. Na Bashir Nkoromo
UMOJA wa Vijana wa CCM, Kata ya Mabibo, Kinondoni jijini Dar es Salaam, umempongeza Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete kwa kuwavua uongozi mawaziri wanne mwishoni mwa wiki. Mawaziri waliovuliwa uongozi kufuatia Rais Kikwete kutenguauUteuzi wao ni, Dk. Emmanuel Nchimbi (Waziri wa Mambo ya Ndani), Shamsi Vuai (Waziri wa Ulinzi), Mathayo David Mathayo (Mifugo na Maendeleo ya...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA MABIBO BIA NA JESHI LA POLISI YAFANYA SEMINA SHIRIKISHI MKOANI MOROGORO

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP), Leonard Paul (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea, Fr James Rugemalira (kushoto) na Mshauri wa Kampuni ya Mabibo, Kamala Stephen baada ya kufungua semina hiyo katika Hoteli ya Top Life mjini Morogoro.Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea, Fr James Rugemalira (katikati), akizungumza katika semina hiyo. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma wa Jeshi la Polisi Kamishna Msaidizi...

 

10 years ago

GPL

KAMPUNI YA MABIBO BIA NA JESHI LA POLISI YAFANYA SEMINA SHIRIKISHI MKOANI MOROGORO‏

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro Kamishna Msaidizi Mwandamizi  (SACP), Leonard Paul (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea, Fr James Rugemalira (kushoto) na Mshauri wa Kampuni ya Mabibo, Kamala Stephen baada ya kufungua semina hiyo katika Hoteli ya Top Life mjini Morogoro.  Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea, Fr James Rugemalira (katikati), akizungumza katika semina...

 

11 years ago

Habarileo

Mjumbe UVCCM afunga tawi la Chadema

MJUMBE wa Baraza Kuu la Taifa la Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kutoka Mkoa wa Tanga, Husna Sekiboko amekisambaratisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika kijiji cha Lukozi, wilayani hapa na kufunga kabisa tawi hilo na kuligeuza rasmi kuwa tawi la CCM.

 

10 years ago

GPL

BAADA YA MVUA, SOKO LA MABIBO KAMA KAWA!

Lango kuu la kuingia katika soko la Mabibo jijini Dar es Salaam, watu wakiwa katika hekaheka za kuingia na kutoka. Mwendesha baiskeli ya miguu mitatu (maarufu kama guta) akionekana kutoa mizigo ndani ya soko la kuuzia vyakula vya nafaka. Hekaheka zikiendelea sokoni hapo.…

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI AFUNGA KAMBI YA UVCCM

 Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini Mohamed Aziz Abood  Akimkabidhi cheti Kada UVCCM Wilaya ya Morogoro mjini CCM,Wakati wa kufunga kambi ya UVCCM kutoka kata za Manispaa ya Morogoro eneo la Morning Site kata ya Milimani Mbunge wa Jimbo la Morogoro mjini Mh Aziz Abood akiwaongoza vijana wakati wa kula kiapo mara baada ya kumalizika kwa kambi ya umoja wa vijana CCM wilaya ya Morogoro mjini Akiwa sambamba na Katibu wa CCM wilaya ya Morogoro mjini nyuma,Pamoja na Katibu wa UVCCM wilaya ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani