DK. FENELLA AFUNGA SEMINA YA WAZAZI MORO
![](http://api.ning.com:80/files/uY3PJt2fxPwopjfeYazKJD2Y7QdGAX9YD0PN2o73vi52qrUOdC*tXkobi0nmTkiumJM-1D8TNcvMeBzn6e4XjToqJQ-QBZpE/1.FENELAATOAVYETI.jpg?width=650)
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Waziri wa Habari, VIjana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, akimkabidhi cheti Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Kata ya Kawe, Benjamin Joseph, alipotoa vyeti kwa wahitimu wa semina ya Viongozi wa Jumuia ya Wazazi Kata zote za Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, mwishoni mwa semina hiyo, leo Desemba 19, 2013, katika ukumbi wa Hioteli ya Road View, nje kidogo ya mji wa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-wj46861Q59M/UrfZCMd_JjI/AAAAAAAAiKk/KYQ68_1X54k/s640/1.jpg)
CHOLAGE AFUNGA SEMINA YA UVCCM MABIBO, WAMKABIDHI PICHA ZA NAPE, DK. FENELLA KAMA SALAMU
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-VhITXNvFl30/VJf_wS1jx5I/AAAAAAAG5B0/iYACqEFGL6M/s72-c/CP1.jpg)
Waziri Fenella afunga fainali Copa Coca Cola 2014
![](http://1.bp.blogspot.com/-VhITXNvFl30/VJf_wS1jx5I/AAAAAAAG5B0/iYACqEFGL6M/s1600/CP1.jpg)
10 years ago
VijimamboMAC NAMARA WA GAZETI LA MWANANCHI AFUNGA NDOA MORO
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-YO8opPe7W1s/VVkEKOCWh4I/AAAAAAAHXzA/TJeToGsuxrY/s72-c/784.jpg)
Balozi Seif Ali Iddi afunga Semina ya Siku Nne ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi pamoja na watendaji Wakuu wa Serikali
![](http://1.bp.blogspot.com/-YO8opPe7W1s/VVkEKOCWh4I/AAAAAAAHXzA/TJeToGsuxrY/s640/784.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-9wTNCmEno5Q/VVkEMbU0PaI/AAAAAAAHXzQ/8tTeds3JUlo/s640/794.jpg)
BOFYA HAPA KWA PICHA NA HABARI...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-3JyIxXnpTj8/UwjJfZqTUHI/AAAAAAAFOtA/Pw2h2uJD4ME/s72-c/unnamed+(3).jpg)
WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AFUNGUA SEMINA YA JUMUIYA WAZAZI NGAZI YA TAIFA,MKOANI DODOMA LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-3JyIxXnpTj8/UwjJfZqTUHI/AAAAAAAFOtA/Pw2h2uJD4ME/s1600/unnamed+(3).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-00Yq2ceBxJQ/UwjJgcK41uI/AAAAAAAFOtQ/HyZ92DHFCxg/s1600/unnamed+(4).jpg)
9 years ago
Bongo504 Dec
Video mpya ya Belle 9 ‘Burger Movie Selfie’ iliyoshutiwa Moro na director wa Moro kutambulishwa Trace Urban wiki Ijayo
![Belle99](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/09/Belle99-300x194.jpg)
Kabla mwaka 2015 haujaisha, Belle 9 amefanikisha kupiga hatua nyingine ya mafanikio ya muziki wake, ambapo wiki ijayo video ya wimbo wake mpya uitwao “Burger Movie Selfie” itaanza kuoneshwa kwa mara ya kwanza na Trace Urban wiki ijayo.
What's up Trace Family! Watch "Burger Movie Selfie" by @bellenine starting next week on @TRACE_Urban channel #325 on @DStv_Kenya
— TRACE East Africa (@TRACEEastAfrica) December 2, 2015
Hii itakuwa ni video ya pili ya Belle 9 kwa mwaka huu na toka ameanza...
10 years ago
Dewji Blog28 Feb
Dkt. Fenella akutana na Wasanii Nchini
Hotuba Ya Waziri Wa Habari by moblog
Waziri wa Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akimueleza jambo Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. Francis Michael wakati wa mkutano na wasanii uliofanyika katika ukumbi wa uwanja mpya wa Taifa jana Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Idara ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo Prof. Herman Mwansoko akiongea na wasanii nchini na kuwaeleza kuhusu umuhimu wa sekta hiyo kushiriki kikamilifu...
10 years ago
CloudsFM14 Apr
Dk Fenella: Wasanii jifunzeni muziki wa live
Dk Fenella alitoa kauli hiyo usiku wa juzi, wakati akifunga shindano la Club Raha Leo, lililoanza Januari 17, mwaka huu, likiwa na wasanii 60 na kukamilika juzi, likiwa na wasanii 21 ambapo 10 kati yao walipata zawadi ya fedha.
Alisema muziki wa live una wigo mpana kwa mwanamuziki na watu wanaomzunguka, kwa kuwa kupitia yeye...