Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHADEMA Waijibu SERIKALI - "Hatuogopi, Msitutishe

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kinana: Hatuogopi wananchi kukimbia CCM

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amesema chama hicho hakitishwi wala kubabaishwa na wanachama wanaotaka kurudisha kadi za uanachama. Kauli hiyo aliitoa juzi, alipokuwa akiwahutubia wananchi wa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Wenger: Hatuogopi kununua wachezaji wazuri

Mkufunzi wa klabu ya Arsenal Arsene Wenger anasema kuwa kilabu hiyo haiogopi kutumia fedha katika soko la uhamisho

 

11 years ago

Mwananchi

Watanzania tunapenda matanuzi, hatuogopi madeni

Taasisi isiyo ya kiserikali inayojishughulisha na masuala ya Madeni ya Taifa na Maendeleo (TCDD), kila mwaka imekuwa ikitoa taarifa kuhusu kukua kwa deni la taifa na kuihadharisha Serikali ya Tanzania kuhusu tabia yake ya kupenda kukopa kwa ajili ya matumizi yasiyo na msingi.

 

10 years ago

Mwananchi

CCM, Chadema waishambulia Serikali

Katibu mkuu wa Chadema, Dk Willbrod Slaa amedai kuwa nchi inayumba kwa sababu Serikali inakumbatia wawekezaji wezi na wasiojali maslahi ya Watanzania.

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema kujipima serikali za mitaa

Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) limesema uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji utakaofanyika Desemba 14, mwaka huu, utatoa picha halisi ya uwezo wao wa kushika dola katika Uchaguzi Mkuu 2015.

 

10 years ago

Habarileo

Diwani wa Chadema apongeza serikali

DIWANI wa Kata ya Kilagano Halmashauri ya Wilaya ya Songea Vijijini (Chadema), Batholomew Mkwera, amepongeza serikali kwa kumaliza kero mbalimbali katika kata yake.

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yalia rafu serikali za mitaa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA (CHADEMA), kimelia kufanyiwa fitna mbalimbali ili kukifanya kisishiriki ipasavyo uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Desemba 4 mwaka huu. Kati ya mbinu hizo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA Kilosa wataka serikali kujitathmini

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Kilosa, kimefunga mwaka huku kikiitaka serikali wilayani humo kujipima na kujitathimini kama imefanikiwa kutawala kwa maendeleo. Akizungumza katika mkutano uliofanyika mjini hapa...

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema waichana Serikali kuhusu maabara

Wabunge wa Kenya kupitia Chama cha ODM wameeleza kushangazwa kwao kwa kuona Watanzania wanachangia fedha kwa ajili ya kununua madawati, wakati nchini yao ina maliasili nyingi walizosema zingetosha kufanya maendeleo bila wao kuchangishwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani