Chadema watangaza wiki ya maandamano
Mkurugenzi wa Oganaizesheni, Benson Kigaila
NA SHABANI MATUTU Dar
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza kuanza kutekeleza maadhimio ya Mkutano wake Mkuu, kuanzia leo hadi Jumamosi kwa kufanya maandamano na migomo isiyo na ukomo nchini kote.
Akitangaza utekelezaji wa maazimio hayo, Mkurugenzi wa Oganaizesheni, Benson Kigaila, alisema kuwa chama hicho lazima kitekeleze maazimio ya Mkutano Mkuu.
“Maandamano yaliyokuwa siku chache zilizopita yalikuwa rasharasha sasa mvua ya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
KwanzaJamii24 Sep
Chadema wakomaa na maandamano
9 years ago
Mwananchi04 Nov
Maandamano ya Chadema yakwama
10 years ago
Vijimambo27 Sep
NAPE: MAANDAMANO CHADEMA NI BIASHARA
Adai huuzipeleka picha za vurugu nje ya nchi Adai Chadema wanafanya ili kukinusuru chama chao Awatuhumu kuwatoa kafara waandamanaji Asisitiza laaana ya damu za Watanzania hazitawaacha.
10 years ago
Tanzania Daima23 Sep
CCM wajadili maandamano ya CHADEMA
MAANDAMANO ya amani na migomo isiyokoma vilivyotangazwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), nchi nzima, yamewatia kiwewe wajumbe wa CCM waliyoko Bunge Maaalum la Katiba, hadi kulazimika kuchepuka kwenye...
9 years ago
Habarileo03 Nov
Maandamano ya Chadema yapigwa marufuku
POLISI mkoani Shinyanga imezuia maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mjini hapa yaliyotarajiwa kufanyika leo.
10 years ago
Habarileo27 Sep
Nape-Maandamano ni biashara Chadema
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, amesema vyama vya upinzani nchini vimeshindwa kufanya kazi za siasa badala yake vimegeuka kuwa vya wanaharakati. Aidha ametaka maandamano yanayohamasishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) yapuuzwe kwa kile alichosema ni biashara ya kuuza picha za vurugu nje ya nchi kwa ajili ya kupata misaada kutoka mataifa makubwa.
10 years ago
Habarileo18 Sep
Polisi yapiga marufuku maandamano Chadema
JESHI la Polisi nchini limepiga marufuku maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyotarajiwa kuanza kufanyika leo katika maeneo mbalimbali nchini. Jeshi hilo limeonya kuwa maandamano hayo ni batili na ni kinyume cha sheria.
9 years ago
Mwananchi03 Nov
Polisi wazuia maandamano ya wafuasi wa Chadema
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-fyEYN00lu2k/VBrur2025sI/AAAAAAAGkUM/sTE7fbTkQ_0/s72-c/unnamed%2B(90).jpg)
MAANDAMANO YA CHADEMA YADHIBITIWA NA POLISI DODOMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-fyEYN00lu2k/VBrur2025sI/AAAAAAAGkUM/sTE7fbTkQ_0/s1600/unnamed%2B(90).jpg)