CCM wajadili maandamano ya CHADEMA
MAANDAMANO ya amani na migomo isiyokoma vilivyotangazwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), nchi nzima, yamewatia kiwewe wajumbe wa CCM waliyoko Bunge Maaalum la Katiba, hadi kulazimika kuchepuka kwenye...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania04 May
Chadema wajadili mgombea urais
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imekutana jijini Dar es Salaam ambapo itajadili masuala mbalimbali ikiwemo suala la mgombea urais kupitia vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
Mbali na ajenda hiyo pia Kamati Kuu itajadili hatima ya uchaguzi mkuu pamoja na uandikishaji wa daftari la wapiga kura kupitia mfumo wa BVR.
Ukawa ni umoja ulioanzishwa Februari mwaka jana ukiwa ni kikundi shinikizi katika mchakato wa Katiba...
11 years ago
MichuziKAMPENI ZA CCM KALENGA ZATINGA KIJIJI ALICHOZALIWA MGOMBEA WA CHADEMA, MWENYEKITI WA CHADEMA NA WANACHAMA 50 WATIMKIA CCM
10 years ago
KwanzaJamii24 Sep
Chadema wakomaa na maandamano
9 years ago
Mwananchi04 Nov
Maandamano ya Chadema yakwama
10 years ago
Mtanzania22 Sep
Chadema watangaza wiki ya maandamano
![Mkurugenzi wa Oganaizesheni, Benson Kigaila](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Benson-Kigaila.jpg)
Mkurugenzi wa Oganaizesheni, Benson Kigaila
NA SHABANI MATUTU Dar
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza kuanza kutekeleza maadhimio ya Mkutano wake Mkuu, kuanzia leo hadi Jumamosi kwa kufanya maandamano na migomo isiyo na ukomo nchini kote.
Akitangaza utekelezaji wa maazimio hayo, Mkurugenzi wa Oganaizesheni, Benson Kigaila, alisema kuwa chama hicho lazima kitekeleze maazimio ya Mkutano Mkuu.
“Maandamano yaliyokuwa siku chache zilizopita yalikuwa rasharasha sasa mvua ya...
9 years ago
Habarileo03 Nov
Maandamano ya Chadema yapigwa marufuku
POLISI mkoani Shinyanga imezuia maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mjini hapa yaliyotarajiwa kufanyika leo.
10 years ago
Vijimambo27 Sep
NAPE: MAANDAMANO CHADEMA NI BIASHARA
Adai huuzipeleka picha za vurugu nje ya nchi Adai Chadema wanafanya ili kukinusuru chama chao Awatuhumu kuwatoa kafara waandamanaji Asisitiza laaana ya damu za Watanzania hazitawaacha.
10 years ago
Habarileo27 Sep
Nape-Maandamano ni biashara Chadema
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, amesema vyama vya upinzani nchini vimeshindwa kufanya kazi za siasa badala yake vimegeuka kuwa vya wanaharakati. Aidha ametaka maandamano yanayohamasishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) yapuuzwe kwa kile alichosema ni biashara ya kuuza picha za vurugu nje ya nchi kwa ajili ya kupata misaada kutoka mataifa makubwa.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-fyEYN00lu2k/VBrur2025sI/AAAAAAAGkUM/sTE7fbTkQ_0/s72-c/unnamed%2B(90).jpg)
MAANDAMANO YA CHADEMA YADHIBITIWA NA POLISI DODOMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-fyEYN00lu2k/VBrur2025sI/AAAAAAAGkUM/sTE7fbTkQ_0/s1600/unnamed%2B(90).jpg)