Chadema wawaganda Pinda, Ghasia
NA GRACE SHITUNDU, DAR ES SALAAM,
KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imetaka Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia, wajiuzulu kutokana na kasoro nyingi zilizojitokeza katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Desemba 14 mwaka huu.
Shinikizo hilo lilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa, wakati wakitoa taarifa ya maazimio ya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
TheCitizen18 Dec
Ghasia must go, Chadema insists
10 years ago
Mtanzania06 Feb
Pinda: Uamuzi wa madiwani Chadema umeshatolewa
![Waziri Mkuu Mizengo Pinda](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/Waziri-Mkuu-Mizengo-Pinda-300x197.jpg)
Waziri Mkuu Mizengo Pinda
Na Debora Sanja, Dodoma
UAMUZI kuhusu hatma ya madiwani watatu wa Chadema katika Manispaa ya Ilemela waliofukuzwa na Meya wa Manispaa hiyo, Henry Mtata, umekwisha kutolewa.
Taarifa hiyo ilitolewa bungeni jana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wakati akijibu swali la Mbunge wa Ilemelea, Highness Kiwia (Chadema) wakati wa kipindi cha maswali ya papo kwa hapo kwa Waziri Mkuu.
Katika swali lake, Kiwia alitaka kujua lini madiwani watatu wa Manispaa ya Ilemela waliofukuzwa...
11 years ago
Tanzania Daima17 Jan
CHADEMA yataka Pinda awatimue DC, DED Kiteto
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, ametakiwa kuwachukulia hatua za kinidhamu viongozi wa Wilaya ya Kiteto akiwemo Mkuu wa Wilaya hiyo, Martha Umbulla na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Jane Mutagurwa na amshauri...
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU PINDA ASALIMIANA NA ALIYEKUWA MBUNGE WA MPANDA KATI KWA CHAMA CHA CHADEMA MH.ARFI
11 years ago
BBCSwahili10 Mar
UN kuchunguza ghasia CAR
11 years ago
Tanzania Daima29 May
Waziri Ghasia aumbuka
SIKU chache baada ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Serikali za Mitaa Tawala za Mikoa (Tamisemi), Hawa Ghasia, kusema kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe...
10 years ago
Mtanzania16 Dec
Ghasia: Nipo tayari kuwajibika
![Hawa Ghasia](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Hawa-Ghasia.jpg)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Hawa Ghasia
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM,
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia, amesema kwamba yuko tayari kuwajibika iwapo atabainika amevuruga Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika juzi nchini.
Waziri Ghasia aliyasema hayo wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, kuhusu taarifa ya awali ya upigaji kura katika Serikali za Mitaa.
“Nitakuwa...
11 years ago
Mwananchi24 Apr
Ghasia aongoza mazishi ya DC Chang’a
10 years ago
Habarileo24 Jun
Waziri Ghasia, Kafulila watofautiana
MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia jana walitofautiana bungeni kuhusu tuhuma za ubadhirifu wa fedha zinazomkabili Mkuu wa Wilaya ya Uvinza, Hadija Nyembo.