Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ghasia aongoza mazishi ya DC Chang’a

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Tamisemi), Hawa Ghasia jana aliongoza mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, mkoani Rukwa, Moshi Chang’a yaliyofanyika katika makaburi ya Mtwivila, Kihesa Iringa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa Hayati Moshi Mussa Chang'a

Baadhi ya Wakuu wa Wilaya nchini na Wananchi wakishiriki kubeba mwili wa Marehemu aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa Hayati Moshi Mussa Chang'a kwa ajili ya kwenda kuusalia katika Msikiti wa Mwanchang'a Kihesa na baadae kupelekwa katika makaburi Mtwivila alikozikwa rasmi na mamia ya wananchi walijitokeza katika msiba huo Mkoani Iringa jana.  Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akisalimiana kwa majonzi makubwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

11 years ago

Mwananchi

JK aongoza mazishi ya Mzee Small

Rais Jakaya Kikwete jana aliongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya msanii wa kuigiza na vichekesho, Saidi Ngamba ‘Mzee Small’ aliyefariki dunia mwishoni mwa wiki katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), baada ya kuugua kwa muda mrefu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

JK aongoza mazishi ya Meja Jenerali Kimario

RAIS Jakaya Kikwete ameongoza maelfu ya wakazi wa mji wa Moshi na mikoa ya jirani katika mazishi ya Meja Jenerali mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Muhidin Mfaume Kimario...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rais Kikwete aongoza mazishi ya Liundi

RAIS Jakaya Kikwete amewaongoza waombolezaji wakiwemo mawaziri na viongozi mbalimbali wa serikali na wa kidini kutoa heshima zao za mwisho kwa aliyekuwa Msajili wa kwanza wa Vyama vya Siasa nchini,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rais Kikwete aongoza mazishi ya mbunge

RAIS Jakaya Kikwete ameongoza mamia ya wakazi wa Chalinze, Pwani kwenye mazishi ya mbunge wao, Said Bwanamdogo, aliyezikwa kwenye Kata ya Mioni, Bagamoyo. Bwanamdogo alifariki dunia Januari 22 mwaka huu...

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa aongoza wananchi mazishi ya Makadi

Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Ukawa, Edward Lowassa jana aliongoza mamia ya wananchi katika mazishi ya aliyekuwa mwenyekiti mwenza wa umoja huo, Dk Emmanuel Makaidi huku baadhi ya viongozi wenzake wakisisitiza kuibuka na ushindi katika Uchaguzi Mkuu jumapili ijayo.

 

11 years ago

Dewji Blog

Wasira aongoza mazishi ya kada wa CCM Singida

15

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula (kushoto) akiwasikiliza Wazee waasisi wa CCM kutoka mkoani Singida, Kutoka kulia ni  Sumbu Galawa, Alhaji Mahami Rajabu Kundya (ambaye ni marehemu) na  Mujengi Gwao Makamu, walipomfikishia ujumbe wao maalum, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, Januari 15, 2013.(Picha na Maktaba)

Na Nathaniel Limu

Waziri Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu, Stephen Wasira juzi ameongoza mamia ya wakazi wa mkoa wa Singida katika...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA BI.TAJIRI TANGA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la marehemu Bi.Tajiri Abdallah Kitenge wakati wa mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Chumbageni mjini Tanga.Marehemu Bi.Tajiri ni mama wa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama Bwana Rashid Othman. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Bwana Rashid Othman wakati wa mazishi ya Mama yake Bi.Tajiri Abdallah Kitenge yaliyofanyika katika makaburi ya Chumbageni mjini Tanga jana(picha na...

 

9 years ago

Mwananchi

Waziri Kombani azikwa, Pinda aongoza mazishi

Waziri Mkuu Mizengo Pinda leo ameongoza umati wa wakazi wa Mkoa wa Morogoro na viunga vyake  katika kuuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumushi wa Umma, Celina Kombani kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini hapa. 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani