Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHADEMA WAWASILI KISIWANI PEMBA

 Viongozi wa Chadema wakiwapungia mikono wananchi waliofika kuwapokea Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba baada ya kuwasili kisiwani humo kwa mkutano wao Wakiwa na Katibu Mkuu wa Chadema Slaa.Katibu Mkuu wa Chadema Dk,Slaa akivishwa koja la maua na mtoto aliyweandaliwa katika sherehe za mapokezi ya Viongozi hao walipowasili uwanja wa ndege Pemba kwa ziara yao na kuzungumza na wanachama wao.             Ngoma ya Kibati ikitumbuiza mapokezi ya viongozi wa Chadema huko Pemba. Katibu mkuu wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE YA SIKU KUMI KISIWANI UNGUJA,KESHO KUWASILI KISIWANI PEMBA.

Pichani juu na chini ni Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwahutubia Baadhi ya wakazi wa mji wa Kizimkazi waliofika katika uwanja wa Kizimkazi Mkunguni,Wilaya ya Kusini Unguja kumsikiliza.Ndugu Kinana ambaye leo anaikamilisha ziara yake ya siku kumi katika kisiwa cha Unguja akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye,katika suala zima la kuimarisha uhai wa chama na kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi.Mkutano wa hadhara ukiendelea katika uwanja wa Kizimkazi...

 

9 years ago

Michuzi

JK AUNGURUMA KISIWANI PEMBA

 Wananchi wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Kikwete akizungumza na Maelfu ya wanachama wa chama cha Mapinduzi CCM  na wananchi wa Kisiwani Pemba katika mkutano wa kufunga kampeni za Chama hicho katika uwanja wa Gombani yakale leo   na kuwaombea kura wagombea wote wa CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Kikwete akizungumza na Maelfu ya wanachama wa chama cha Mapinduzi CCM  na wananchi wa...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa CCM kisiwani pemba

 Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi na WanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika Uwanja wa Gombani ya Kale Kisiwani Pemba leo
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akionesha Katiba Iliyopendekezwa na Bunge Maalum la Katiba zungumza na wananchi na WanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika Uwanja wa Gombani ya Kale Kisiwani Pemba leo.(Picha...

 

10 years ago

GPL

DK. SHEIN AWASILI KISIWANI PEMBA LEO

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahman Kinana mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Karume Pemba ambapo atazindua Sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM katika Uwanja wa Gombani Wilaya ya Chakechake Pemba.…

 

10 years ago

Vijimambo

MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE KISIWANI PEMBA

MRATIBU wa kituo cha huduma za sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba Fatma Khamis Hemed, akifungua kongamano la maadhimisho ya siku ya wanawake dunia, ambapo kituo hicho kilikutana na wadau kujadili changamoto na mafanikio ya wanawake, yaliofanyika kwenye kituo hicho mjini Chake Chake,MWANDISHI wa habari kutoka Idara ya Habari Maelezo Pemba Mohamed Khalfan Ali, akichangia jambo kwenye kongamano la maadhimisho ya siku ya wanawake dunia, yaliondaliwa na kituo cha huduma za sheria Zanzibar ZLSC...

 

10 years ago

Michuzi

DKT SHEIN AWASILI KISIWANI PEMBA LEO

 Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed  Shein na Mkewe Mama Mwanawema Shein  wakisalimina na Viongozi mbali mbali  alipowasili katika uwanja wa Ndege  wa Karume Pemba leoRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwana Mwema Shein wakisalimiana na Viongozi mbali mbali wa Vikosi vya Ulinzi Pemba mara baada ya kuteremka Ndege katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba leo ( Picha na Ramadhan Othman Ikulu...

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA APATA MAPOKEZI YA KIHISTORIA KISIWANI PEMBA

- Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa akiwapungia mkono wananchi, wakati akiwa njiani kuelekea kwenye Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Tibirinzi, Kisiwani Pemba leo October 3, 2015.- Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa akiwa ameusimamisha msafara wake...

 

11 years ago

Mwananchi

Azam yaenda Kisiwani Pemba kwa shingo upande

Zanzibar. Klabu ya Azam imeweka mgomo baridi kwenda Pemba, kwa kile ilichoeleza kuwa wao ni mabingwa watetezi hawawezi kuifuata timu iliyoingia robo fainali kwa upendeleo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani