Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chama cha Wafanyakazi wa Sekta Binafsi wazindua Dau-Pesa

Huduma ya kutuma pesa Tanzania imezidi kuimarika baada ya kuazishwa kwa huduma mpya ya kutuma pesa. Huduma hiyo iliyopewa jina la Dau-Pesa leo imezinduliwa na Chama cha Wafananyakazi wa Sekta Binafsi ambapo huduma hiyo itawawezesha Watanzania kulipia huduma mbalimbali ikiwemo Luku, Dawasco, DSTV, na Zuku. 
 Akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo jijini Dar es Salaam, Kiongozi wa Dau-Pesa Dkt. Dauda Salmin alisema huduma hiyo imetengenezwa ili kufanya kazi kwa njia tatu. ‘’Njia ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Wafanyakazi sekta binafsi wazindua Dau-Pesa

KATIKA kuhakikisha mpango Jumuishi wa kifedha unafanikiwa Chama cha Wafanyakazi wa Sekta Binafsi hapa nchini kimezindua huduma ya Dau-Pesa itakayowawezesha Watanzania kulipia huduma mbalimbali ikiwemo umeme, maji na ving’amuzi mahali...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI ,SEKTA BINAFSI WATAKIWA KUKAA NA KUBUNI MIKAKATI YA KUENDELEZA SEKTA MUHIMU KATIKA KIPINDI HIKI CHA UGONJWA WA CORONA


Na Woinde Shizza,ARUSHA

SERIKALI pamoja na sekta binafsi zimetakiwa kukaa pamoja ili kubuni mikakati ya namna ya kuendesha sekta muhimu za uchumi kama vile sekta ya utalii ,sekta ya usafirishaji ,sekta ya kilimo ,sekta ya nishati pamoja na ufugaji bila kungoja kuisha kwa janga la Corona 19.

Hayo yamebainishwa na Mtendaji mkuu wa marafiki wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Moses Adam wakati akizungumza na Michuzi Tv ambapo alisema wanatakiwa kuja na njia mbadala endelevu zitakazoendelea ...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA WADAU WA UHAMASISHAJI WA UBIA BAINA YA SEKTA YA UMMA NA SEKTA BINAFSI (PPP) KATIKA SEKTA AFYA MKOANI RUKWA

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akifungua rasmi mkutano wa wadau wa uhamasishaji wa ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi PPP - ("Public and Private Partnership") katika Sekta ya Afya uliofanyika leo katika ukumbi wa Hospitali Kuu ya Mkoa wa Rukwa. Katika hotuba yake ya ufunguzi amesema ili kufikia lengo kuu la millennia ifikapo mwaka 2015 la kupunguza vifo vya watoto, akina mama wajawazito na kuweza kudhibiti magonjwa yanayoambukiza na yasiyoambukiza pamoja na kuboresha...

 

11 years ago

Habarileo

Chama cha mawakala wa pesa za simu chasajiliwa

CHAMA cha mawakala wa huduma za pesa za simu za mkononi kimekamilisha usajili wa chama hicho. Akizungumza na waandishi wa habari leo msemaji wa chama hicho, Stanford Mbengane alisema kuwa usajili wa chama hicho umekamilika tangu Januari 10 mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Kilio cha sekta binafsi ni ukosefu wa mikopo kwa ajili ya biashara

Watanzania wangependa kushiriki katika miradi mikubwa ya biashara lakini kikwazo kikubwa kimekuwa upatikanaji wa mitaji.

 

5 years ago

Michuzi

Sekta binafsi Tanzania inavyosaidia kupambana na homa ya kirusi cha Corona

KATIKA siku za karibuni kumekuwa na habari nyingi kuhusu hatua mbalimbali zinazochukuliwa kupambana na kuenea kwa homa ya kirusi cha corona.
Wiki hii serikali ya Tanzania imetangaza mpango kujenga hospitali ya kupambana na magonjwa ya mlipuko kama homa hii ya kirusi cha corona. Hospitali hiyo inayokadiriwa kuwa itagharimu shilingi bilioni 7 za Kitanzania inatarajiwa kumalizika ndani ya miezi sita. 
Mbali na hilo, ni faraja kubwa kuona nchi mbalimbali zinakuja pamoja kuhakikisha maisha...

 

10 years ago

Michuzi

MSHAURI WA CHAMA CHA DUNIA CHA MCHEZO WA MPIRA WA KIKAPU AKUTANA NA UONGOZI WA SEKTA YA MICHEZO NCHINI

 Mkurugenzi Idara ya Michezo Bw. Leonard Thadeo (kulia) akizungumza na  Mshauri wa Chama cha Dunia cha Mchezo wa Mpira wa Kikapu (FIBA) Bw. Lubomir Kotleba (kushoto) alipofika nchini Tanzania kufuatilia maendeleo ya mchezo huo jana Jijini Dar es Salaam. Mshauri wa Chama cha Dunia cha Mchezo wa Mpira wa Kikapu (FIBA) Bw. Lubomir Kotleba (kulia) akizungumza na maafisa Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (hawapo pichani) alipofika nchini Tanzania kufuatilia maendeleo...

 

11 years ago

Michuzi

CHUO CHA DIPLOMASIA CHAWANOA MAAFISA KUTOKA JESHI, SERIKALINI NA SEKTA BINAFSI

Katika kuendeleza wajibu wake wa kutoa mafunzo ya muda mfupi, Chuo cha Diplomasia kimeendesha mafunzo ya juma moja ya Itifaki na Uhusiano ‘PROTOCOL AND PUBLIC RELATIONS’ kati ya tarehe 18 – 22 August, 2014. Mafunzo haya yalilenga kuwaongezea uwezo maafisa mbali mbali kutoka serekalini na sekta binafsi. Mafunzo haya ni muendelezo wa mafunzo  ya muda mfupi yatolewayo na Chuo cha Diplomasia kila mwezi, 
katika mafunzo hayo ambayo Kwa kawaida wawezeshaji wa mafunzo hayo ya muda mfupi katika Chuo...

 

5 years ago

Michuzi

SEKTA BINAFSI YACHANGIA SERIKALI BILIONI 2.1 KWA AJILI YA KUBORESHA SEKTA YA AFYA


Na. WAMJW-DSM

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea kiasi cha shilingi bilioni 2.1 kwa ajili ya kuboresha huduma za afya kwenye vituo vya kutolea huduma za afya nchini kutoka kwa wadau wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF).

Akiongea wakati wa makabidhiano hayo Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameishukuru TPSF kwa uratibu wao kwa sekta binafsi kuchangia vifaa tiba hivyo ili vituo vya afya kuwa na vifaa muhimu vya kutolea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani