Chambiri aomba achaguliwe tena
MGOMBEA ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Babati Mjini, Kisyeri Chambiri aliwaomba wakazi wa kata ya Singe wilayani Babati mkoa wa Manyara , wamchague tena kuwa mbunge wao amalizie kazi aliyokwishaianza ya kuwaletea maendeleo.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMGOMBEA UDIWANI WA CCM THADEY MASSAWE AOMBA KURA ILI ACHAGULIWE
Mgombea wa udiwani kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM kata ya Ndugumbi, jimbo la Kinondoni, Thadey Massawe,akizungumza sambamba na kuomba kura ili achaguliwe kuwa diwani wa kata hiyo mbele ya wanachama wa chama chake eneo la Texas Magomeni Kagera Dar es salaam jana.
5 years ago
BBCSwahili30 Apr
Virusi vya corona: Trump anasema China haitaki achaguliwe tena
10 years ago
TheCitizen28 Jun
PROFILE : Remember a girl called Martina Chambiri?
10 years ago
Mwananchi27 Nov
Maswali kumi kwa mbunge wangu:Kisyeri Chambiri
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-DsSJUFIPPtc/Xq7WHqwzv8I/AAAAAAALo84/qnVgaiOfIDI8MHXTwl3Nq28RgETUkwouQCLcBGAsYHQ/s72-c/acastro_200311_3936_coronavirus_0002.0.7.jpg)
WATANZANIA NAOMBA KUANZIA SASA CORONA AWE RAFIKI YETU...KWELI TENA , ASIWE ADUI TENA
![](https://1.bp.blogspot.com/-DsSJUFIPPtc/Xq7WHqwzv8I/AAAAAAALo84/qnVgaiOfIDI8MHXTwl3Nq28RgETUkwouQCLcBGAsYHQ/s640/acastro_200311_3936_coronavirus_0002.0.7.jpg)
Na Said Mwishehe, Michuzi TV
CORONA mambo vipi? Natumai uko salama na unaendelea vema na majukumu yako ya kila siku hapa duniani tangu ulipokuja Desemba mwaka 2019.
Karibu Corona, karibu Duniani, karibu kila unapotaka kuingia. Ndio karibu Corona maana umekuja na malengo yako.
Malengo ya kuua maelfu ya binadamu. Sawa Corona maana ndicho unachoona kwetu sisi.
Dunia inalia tangu ulipokuja na kuanza kuua watu wasio na hatia. Umetutia majonzi makubwa sana, tunalia kwa ajili yako, wengi wamepoteza...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jK7-NTyuxfAUlfZLVd4v*yARX8d15DJ9crJFj5g1YvuwM4I9fFRm2*Kr4o249qoL2fMwA1Ksff10JueA9rPqC0*Yj4aNo2xM/LaunchPRPost.png)
10 years ago
Bongo Movies09 Apr
Jamani jamani, hii nini tena jamani?? Shilole na Nuh mziwanda wachafua mtandao tena
LEO kupitia kwenye kwenye mtandao ule maarufu wa picha nchini, msanii Nuhu mziwanda a.k.a mume mtarajiwa wa mwanadada Shilole ameweke picha hiyo hapo juu ambayo imezua utata mkubwa sana kwa wadau wachache walioiona picha hiyo kwenye mtandao, kabla haijafutwa. Wengi wao wamehoji,
je kuna umuhimu gani wa kutupia mambo mazito kama hayo kwenye mitandao ya kijamii??
Picha hiyo ilikuwa na maandishi yanayosema
“I’m just hold it tight, my favorite thing on her boy”
Kwanza kabisa...