CHANDIMU
![](http://4.bp.blogspot.com/-Uhu0-VjTtyU/VTUTkMRPTxI/AAAAAAAHSIs/Y_UhRG7017U/s72-c/82.jpg)
Watoto wa mtaa wa kwamtenga Makongo juu jijini Dar es Salaam wakisakata kabumbu a.k.a Chandimu kama walivyo naswa na kamera ya Globu ya Jamii.
"Beki hasifiwagi" hapa hapiti mtu.
Nyanda akijiandaa kudaka mpira kwa woga.
(Picha zote na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.)
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Gbll-9l4T3I/U6Cb_NgWlpI/AAAAAAAFrVs/rQPFyw4GGg0/s72-c/kaba.jpg)
kombe la chandimu tandika
![](http://3.bp.blogspot.com/-Gbll-9l4T3I/U6Cb_NgWlpI/AAAAAAAFrVs/rQPFyw4GGg0/s1600/kaba.jpg)
11 years ago
TheCitizen16 Feb
Presidency: ‘Chandimu’ dose may come in handy
10 years ago
Dewji Blog28 Mar
Unaujua mpira wa ‘Chandimu’..??? usome hapa kidogo!
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Tanzania ni miongoni mwa Taifa ambalo limekuwa likikua kila kukicha kwa kila Nyanja ikiwemo Elimu, biashara na Uchumi wake kwa ujumla ambapo mbali na vitu hivyo pia suala la michezo ikiwemo mchezo wa mpira miguu ama soka, umekuwa na mageuzi yake pia.
Tukija katika suala hilo la mageuzi katika soka, ni pamoja na matumizi yake ya nyenzo zilizokuwa zikitumika, ikiwemo mpira katika dimba. Enzi hizo mpira uliokuwa ukitumika ni wa kufuma na makaratasi ambao ni...