Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


kombe la chandimu tandika

Gado-kwa-gado katika mechi hii ya mchangani huko Tandika, Dar es salaam. Baada ya viwanja vingi kuvamiwa jiji limebakiwa na vichache vya kukuza vipaji kama ilivyokuwa zamani.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

CHANDIMU

 Watoto wa mtaa wa kwamtenga  Makongo juu jijini Dar es Salaam wakisakata kabumbu a.k.a Chandimu kama walivyo naswa na kamera ya Globu ya Jamii.  "Beki hasifiwagi" hapa hapiti mtu. Nyanda akijiandaa kudaka mpira kwa woga.(Picha zote na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.)

 

11 years ago

TheCitizen

Presidency: ‘Chandimu’ dose may come in handy

Chandimu’ is a Kiswahili word-expression derived from a lemon, as a fruit-turned-football. In the days long gone, the 1960s and thereabouts, we, the lads, settled for that tool of soccer, because parents couldn’t waste hard-to-come-by money on buying real (luxurious) balls.

 

10 years ago

Dewji Blog

Unaujua mpira wa ‘Chandimu’..??? usome hapa kidogo!

10897956_10205676257055303_6563821237505954734_n

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Tanzania ni miongoni mwa Taifa ambalo limekuwa likikua kila kukicha kwa kila Nyanja ikiwemo Elimu, biashara na Uchumi wake kwa ujumla ambapo mbali na vitu hivyo pia suala la michezo ikiwemo mchezo wa mpira miguu ama soka, umekuwa na mageuzi yake pia.

Tukija katika suala hilo la mageuzi katika soka, ni pamoja na matumizi yake ya nyenzo zilizokuwa zikitumika, ikiwemo mpira katika dimba. Enzi hizo mpira uliokuwa ukitumika ni wa kufuma na makaratasi ambao ni...

 

10 years ago

Vijimambo

NGUMI ZILIVYOPIGWA TANDIKA

Bondia Azizi Rashid kushoto akipambana na Azizi Abdallah wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa musoma bar tandika maguruwe Abdallah alishinda kwa point mpambano uho Bondia Hassan Rajabu kushoto akipambana na Said Wigo wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa musoma bar tandika maguruwe mpambano huo ulisha kwa droo Bondia Amani Bariki kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ally Mustafa wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa musoma bar tandika...

 

10 years ago

Michuzi

NMB YAWAFIKIA WAKAZI WA TANDIKA

       Benki ya NMB juzi ilifungua tawi jipya maeneo ya Tandika- Dar es Salaam tawi linalokadiriwa kuhudumia Zaidi ya wateja 300 kwa siku. Tawi la NMB Tandika lipo maeneo ya Sokoni karibu na kituo cha polisi Tandika katika makutano ya mtaa wa Chihota na Ugweno.Tawi hili linatoa huduma kwa wakazi wa Tandika, Yombo,Buza,Mtongani na maeneo mengineyo. Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Sophia Mjema akikata utepe kuashiria  uzinduzi rasmi wa tawi la NMB Tandika.  Kutoka kushoto  ni; Kaimu Mkurugenzi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sekondari Tandika yapatiwa vitabu

BENKI ya Afrika Tanzania imezindua programu ya kusaidia sekta ya elimu kwa kugawa vitabu katika shule za sekondari nchini. Katika utekezaji wa programu hiyo, benki hiyo imetoa vitabu kwa shule...

 

10 years ago

Vijimambo

MPAMBANO WA NGUMI KUPIGWA SIKU YA NYERERE DAY TANDIKA

Na Mwandishi Wetu
BONDIA Imani Daudi anatarajia kupigana na Patrick  Amote kutoka kenya kwenye mpambano wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi utakaofanyika katika ukumbi wa musoma bar Tandika siku ya kumbukumbu ya baba wa Taifa Nyerere Day tarehe 14 mwezi huu mpambano huo unaoratibiwa na oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO chini ya Rais wake Yassin Abdallah 'Osthadhi'
lina marengo ya kumkumbuka baba wa taifa katika siku hiyo ya kipekee kabisa kwa nchi yetu ya Tanzania
akizungumza na...

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA, DUNI WATEMBELEA MASOKO YA TANDALE NA TANDIKA JIJINI DAR

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Wazee wa Tandale, wakati alipotembelea Soko la Tandale, jijini Dar es salaam leo, akiambatana na Mgombea Mwenza wake, Dkt. Juma Haji Duni (kushoto).PICHA ZOTE NA MTAA KWA MTAA BLOGMgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Mgombea Mwenza wake, Dkt. Juma Haji Duni  wakipata maelezo kutoka kwa Bw.Omari...

 

10 years ago

Michuzi

BINTI ALIYEPOTEA TANDIKA MWEZI OKTOBA APATIKANA AKIWA SALAMA SALIMINI

Mtoto Mwasiti Abdulrazack Kakurwa, miaka 14 (pichani), aliyetoweka nyumbani kwao Tandika, Wilaya ya Temeke, Mkoa wa Dar es salaam, mnamo tarehe 31/10/2014, katika mazingira ya kutatanisha, amepatikana jana.Mwasiti ameletwa nyumbani kwa wazazi wake na bibi mmoja ombaomba anayesema kuwa binti huyo aliletwa maeneo ya kitumbini wanakolala ombaomba na Wanawake watatu Usiku na baadae wanawake hao wakatoweka katika mazingira ya ajabu! Baadae huyo bibi alimchukuwa Mwasiti na kukaa naye. Alipomuuliza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani