NMB YAWAFIKIA WAKAZI WA TANDIKA
Benki ya NMB juzi ilifungua tawi jipya maeneo ya Tandika- Dar es Salaam tawi linalokadiriwa kuhudumia Zaidi ya wateja 300 kwa siku. Tawi la NMB Tandika lipo maeneo ya Sokoni karibu na kituo cha polisi Tandika katika makutano ya mtaa wa Chihota na Ugweno.Tawi hili linatoa huduma kwa wakazi wa Tandika, Yombo,Buza,Mtongani na maeneo mengineyo. Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Sophia Mjema akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa tawi la NMB Tandika. Kutoka kushoto ni; Kaimu Mkurugenzi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-XoY8owCVn0w/VIBD7YpJkTI/AAAAAAAG1LM/ZS67s6Yqxo0/s72-c/unnamed%2B(24).jpg)
NMB YAWAFIKIA WAKAZI WA SIHA
Tawi la NMB Siha...
11 years ago
Tanzania Daima21 Mar
NMB yawafikia wakazi wa Sinza
BENKI ya NMB juzi ilizindua rasmi tawi lake Sinza Mori, Kinondoni, jijini Dar es Salaam zikiwa ni harakati zake za kufikisha huduma karibu na wateja. Tawi hilo ambalo limefunguliwa mkabala...
9 years ago
Dewji Blog24 Sep
Tusker Fanya Kweli yawafikia wakazi wa Tegeta na Temeke wiki hii
Mkazi wa Tegeta Kibaoni na mpenzi wa bia ya Tusker John Peter (Katikati) akipokea zawadi yake ya fulana wakati wa promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani iliyofanyika katika baa ya Family iliyopo Tegeta jijini Dar wikiendi ya Ijumaa. Baa hiyo iliibuka mshindi wa wiki wa promosheni hiyo ambayo inadhaminiwa na bia ya Tusker toka Kampuni ya bia ya Serengeti. Akikabidhi zawadi hiyo (Kulia) ni Meneja Masoko wa bia ya Tusker Nandi Mwiyombella akishuhudiwa na mshereheshaji wa promosheni hiyo...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ulxqeYlRGQ4/Uw7OvC3Ux8I/AAAAAAAFP6Q/mZZudcR7bOc/s72-c/unnamed+(38).jpg)
NMB YASOGEZA HUDUMA KARIBU ZAIDI NA WAKAZI WA BARABARA YA MANDELA
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-xv998xSCcLM/Uw5Z5fhtg6I/AAAAAAAFP4E/vrgpP5_CS0M/s72-c/unnamed+(36).jpg)
NMB YASOGEZA HUDUMA KARIBU ZAIDI KWA WAKAZI WA BARABARA YA MANDELA, yatoa msaada kwa hospitali za amana na muhimbili·
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-f2WY1amni9U/U8zV237URoI/AAAAAAAF4TA/Fsqi-aiK1aA/s72-c/unnamed+(22).jpg)