Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NMB YAWAFIKIA WAKAZI WA SIHA

Benki ya NMB jana ilizindua rasmi tawi Jipya katika wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro. Tawi hili linakadiriwa kuhudumia Zaidi ya wateja Mia moja kwa siku. Tawi jipya la NMB Siha litakuwa linatoa huduma zote za kibenki kunzia kufungua akaunti mbali mbali za akiba, huduma za mikopo yenye masharti nafuu kwa ajili ya mahitaji yote kwenye soko, huduma za fedha za kigeni, kukusanya mapato na kulipa kwa niaba ya serikali na taasisi mbalimbali, kuweka na kutoa fedha. 
 Tawi la NMB Siha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NMB YAWAFIKIA WAKAZI WA TANDIKA

       Benki ya NMB juzi ilifungua tawi jipya maeneo ya Tandika- Dar es Salaam tawi linalokadiriwa kuhudumia Zaidi ya wateja 300 kwa siku. Tawi la NMB Tandika lipo maeneo ya Sokoni karibu na kituo cha polisi Tandika katika makutano ya mtaa wa Chihota na Ugweno.Tawi hili linatoa huduma kwa wakazi wa Tandika, Yombo,Buza,Mtongani na maeneo mengineyo. Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Sophia Mjema akikata utepe kuashiria  uzinduzi rasmi wa tawi la NMB Tandika.  Kutoka kushoto  ni; Kaimu Mkurugenzi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NMB yawafikia wakazi wa Sinza

BENKI ya NMB juzi ilizindua rasmi tawi lake Sinza Mori, Kinondoni, jijini Dar es Salaam zikiwa ni harakati zake za kufikisha huduma karibu na wateja. Tawi hilo ambalo limefunguliwa mkabala...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tusker Fanya Kweli yawafikia wakazi wa Tegeta na Temeke wiki hii

CAMPIX PRODUCTION

Mkazi wa Tegeta Kibaoni na mpenzi wa bia ya Tusker John Peter (Katikati) akipokea zawadi yake ya fulana wakati wa promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani iliyofanyika katika baa ya Family iliyopo Tegeta jijini Dar wikiendi ya Ijumaa. Baa hiyo iliibuka mshindi wa wiki wa promosheni hiyo ambayo inadhaminiwa na bia ya Tusker toka Kampuni ya bia ya Serengeti. Akikabidhi zawadi hiyo (Kulia) ni Meneja Masoko wa bia ya Tusker Nandi Mwiyombella akishuhudiwa na mshereheshaji wa promosheni hiyo...

 

11 years ago

Michuzi

NMB YASOGEZA HUDUMA KARIBU ZAIDI NA WAKAZI WA BARABARA YA MANDELA

Benki ya NMB imezindua tawi jipya barabara ya Mandela mkoani Dar es Salaam.  Vilevile imetoa msaada wa vifaa vya hospitali vyenye thamani ya shilingi milioni kumi kwa ajili ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na Amana. Hili ni tawi la ishirini kufunguliwa katika mkoa wa Dar es Salaaam, na hii inafanya NMB kuwa benki yenye matawi mengi zaidi Tanzania, ikiwa na matawi zaidi ya 150 yaliyosambaa nchi nzima.  Tawi hili la NMB Mandela Road, linatoa huduma mbali mbali za kibenki ikiwemo akaunti...

 

11 years ago

Michuzi

NMB YASOGEZA HUDUMA KARIBU ZAIDI KWA WAKAZI WA BARABARA YA MANDELA, yatoa msaada kwa hospitali za amana na muhimbili·

Benki ya  NMB imezindua tawi jipya barabara ya Mandela mkoani Dar es Salaam.Hili ni tawi la 20 kufunguliwa katika mkoa wa Dar es Salaaam, na hii inafanya NMB kuwa benki yenye matawi mengi zaidi Tanzania, ikiwa na matawi zaidi ya 500 yaliyosambaa nchi nzima.   Tawi hili la NMB Mandela Road, linatoa huduma mbali mbali za kibenki ikiwemo akaunti za akiba, mikopo , huduma za fedha za kigeni, kukusanya mapato na kulipia kwa niaba ya serikali na taasisi mbalimbali.  Tawi hili litakua wazi kila ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani