Tusker Fanya Kweli yawafikia wakazi wa Tegeta na Temeke wiki hii
Mkazi wa Tegeta Kibaoni na mpenzi wa bia ya Tusker John Peter (Katikati) akipokea zawadi yake ya fulana wakati wa promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani iliyofanyika katika baa ya Family iliyopo Tegeta jijini Dar wikiendi ya Ijumaa. Baa hiyo iliibuka mshindi wa wiki wa promosheni hiyo ambayo inadhaminiwa na bia ya Tusker toka Kampuni ya bia ya Serengeti. Akikabidhi zawadi hiyo (Kulia) ni Meneja Masoko wa bia ya Tusker Nandi Mwiyombella akishuhudiwa na mshereheshaji wa promosheni hiyo...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog16 Sep
Tusker Fanyakweli Kiwanjani yawakuna wakazi wa Mbezi Beach na Kimara wiki hii
Mteja wa bia ya Tusker Bi. Elizabeth Ulomi (katikati) akizungumza na mshereheshaji wa kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani Gadner Habash (kushoto) kabla ya kupokea zawadi yake ya mfuko na fulana wakati wa hafla ya kuipongeza baa ya Coast Pub iliyopo Tangi Bovu-Mbezi beach jijini Dar es salaam ambayo iliibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker. Akijiandaa kutoa zawadi hiyo (kulia) ni Msimamizi wa Mauzo ya Kampuni ya bia ya Serengeti kanda ya...
9 years ago
Dewji Blog08 Sep
Sherehe za mkondo wa Baa zanogesha promosheni ya Tusker ‘Fanya Kweli Kiwanjani’
Mkazi wa Kimara Kona, Thomas Kimaro (katikati) akipokea zawadi yake ya fulana toka kwa Meneja Mipango na Matukio-SBL Lulu Mduma (Kushoto) katika shindano la Tusker Fanyakweli Kiwanjani lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya sanaa vilivyopo Legho, Sinza jijini Dar es salaam (Kulia) ni Mtangazaji wa redio Efm na mshereheshaji wa Kampeni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani Gadner Habash.
Mkazi wa Sinza Bw. Nasib Ngoya (kulia) akionyesha zawadi yake ya mfuko wenye fulana aliopewa...
10 years ago
MichuziNMB YAWAFIKIA WAKAZI WA TANDIKA
11 years ago
Tanzania Daima21 Mar
NMB yawafikia wakazi wa Sinza
BENKI ya NMB juzi ilizindua rasmi tawi lake Sinza Mori, Kinondoni, jijini Dar es Salaam zikiwa ni harakati zake za kufikisha huduma karibu na wateja. Tawi hilo ambalo limefunguliwa mkabala...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-XoY8owCVn0w/VIBD7YpJkTI/AAAAAAAG1LM/ZS67s6Yqxo0/s72-c/unnamed%2B(24).jpg)
NMB YAWAFIKIA WAKAZI WA SIHA
Tawi la NMB Siha...
10 years ago
Tanzania Daima02 Oct
SBL yazindua kampeni ya ‘Fanya Kweli’
KAMPUNI ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia kinywaji chake cha Tusker Lager, imezindua kampeni mpya inayojulikana kwa jina la ‘Fanya Kweli’ ambayo itasaidia kujenga maisha ya mtu mmoja na Tanzania...
9 years ago
Dewji Blog01 Oct
Friends PUB ya Segerea na Checkpoint Chanika baa za wiki Tusker Fanyakweli Kiwanjani
Mkazi wa Kigogo Fresh-Chanika Bi. Mazoea Kombo (katikati) akipokea zawadi yake ya fulana toka kwa Msimamizi wa mauzo ya Kampuni ya bia Serengeti kanda ya Chanika Bw. Tesha Stanslaus (Kulia) katika hafla ya kuipongeza baa ya Check Point iliyopo Chanika jijini Dar es salaam mara baada ya baa hiyo kuibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker. Bi. Mazoea aliimwagia sifa bia hiyo kuwa ni laini na haimchoshi.
Kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani,...
9 years ago
Dewji Blog19 Aug
Kisuma na Safari Resort Baa za wiki kwenye shindano la Tusker Fanyakweli Kiwanjani
Mkazi wa Mwembeyanga Bw. Frank Kabisi (katikati) akifurahia zawadi yake ya mfuko na Tisheti alizopewa wakati wa wa hafla ya kuipongeza baa ya Kisuma iliyopo Mwembeyanga Tandika mara baada ya baa hiyo kuibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker toka kampuni ya bia ya Serengeti. (Kushoto) ni Mshereheshaji wa promosheni ya Fanyakweli Kiwanjani na Tusker Gadner Habbash na (kulia) ni balozi wa bia hiyo Bi. Veronica Mbilinyi.
Mkazi wa...