SBL yazindua kampeni ya ‘Fanya Kweli’
KAMPUNI ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia kinywaji chake cha Tusker Lager, imezindua kampeni mpya inayojulikana kwa jina la ‘Fanya Kweli’ ambayo itasaidia kujenga maisha ya mtu mmoja na Tanzania...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo02 Oct
SBL yazindua kampeni kufikia malengo
KAMPUNI ya Bia ya Serengeti (SBL) imezindua kampeni itakayotoa elimu kwa Watanzania ili kusaidia kufikia malengo yaliyo bora kwa manufaa ya kila mmoja na taifa kwa ujumla.
9 years ago
Dewji Blog08 Sep
Sherehe za mkondo wa Baa zanogesha promosheni ya Tusker ‘Fanya Kweli Kiwanjani’
Mkazi wa Kimara Kona, Thomas Kimaro (katikati) akipokea zawadi yake ya fulana toka kwa Meneja Mipango na Matukio-SBL Lulu Mduma (Kushoto) katika shindano la Tusker Fanyakweli Kiwanjani lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya sanaa vilivyopo Legho, Sinza jijini Dar es salaam (Kulia) ni Mtangazaji wa redio Efm na mshereheshaji wa Kampeni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani Gadner Habash.
Mkazi wa Sinza Bw. Nasib Ngoya (kulia) akionyesha zawadi yake ya mfuko wenye fulana aliopewa...
9 years ago
Dewji Blog24 Sep
Tusker Fanya Kweli yawafikia wakazi wa Tegeta na Temeke wiki hii
Mkazi wa Tegeta Kibaoni na mpenzi wa bia ya Tusker John Peter (Katikati) akipokea zawadi yake ya fulana wakati wa promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani iliyofanyika katika baa ya Family iliyopo Tegeta jijini Dar wikiendi ya Ijumaa. Baa hiyo iliibuka mshindi wa wiki wa promosheni hiyo ambayo inadhaminiwa na bia ya Tusker toka Kampuni ya bia ya Serengeti. Akikabidhi zawadi hiyo (Kulia) ni Meneja Masoko wa bia ya Tusker Nandi Mwiyombella akishuhudiwa na mshereheshaji wa promosheni hiyo...
10 years ago
Dewji Blog24 Sep
SBL yazindua kinyaji kipya aina ya “JEBEL COCONUT”
![DSC_1093](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/09/DSC_1093.jpg)
10 years ago
Dewji Blog17 Dec
SBL yazindua chupa mpya “Tusker 330ml” sokoni
Mkurugenzi Masoko wa kampuni ya bia Serengeti, Bw.Ephraim Mafuru, akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa chupa mpya ya bia ya Tusker yenye ujazo wa milimita 330, hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam.
Wateja wa bia ya Tusker Lager kwa mara nyingine wamepewa heshima baada ya kampuni ya Serengeti Breweries kuingiza sokoni chupa ya bia mpya inayojulikana kama “Tusker ml330”
Chupa hii mpya imezinduliwa mapema jana -Golden Jubilee Tower iliyoko jijini Dar Es...
10 years ago
Habarileo12 Dec
Dereva wa bodaboda aula kampeni ya SBL
DEREVA wa pikipiki maarufu kama bodaboda, Peter Emmanuel (37) ameibuka mshindi wa pili wa bajaji katika droo ya pili ya kampeni ya Tutoke na Serengeti inayoendeshwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL).
10 years ago
Dewji Blog10 Aug
SBL yazindua rasmi tuzo ya ubora wa thamani ya Monde Selection kwa wateja wake
Mkuu wa kitengo cha Kuhamasisha Masoko kwa wateja toka Kampuni ya bia ya Serengeti Bw. Alfa Mria akizungumza na wateja wa bia ya Serengeti Premium Lager wakati wa uzinduzi rasmi wa tuzo ya ubora wathamaniya Monde Selection ambapo bia ya Serengeti Premium ya SBL imetuzwa medali ya dhahabu mwaka huu wa 2015. Sherehe ya kuzindua ushindi huo kwa wateja ilifanyika katika baa ya Toroka Uje iliyopo Kimara jijini Dar es salaam.
Meneja Masoko wa Kampuni ya bia ya Serengeti Bi. Anitha Msangi...
10 years ago
GPLSBL YAZINDUA 'JEBEL COCONUT'
9 years ago
Dewji Blog23 Oct
Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) yahitimisha kampeni ya “Serengeti Masta” kwa kishindo jijini Dar
Mshiriki wa shindano la mwisho la kumtafuta Serengeti Masta kwa wilaya ya Temeke Emmanuel Nyaulingo (kulia) akipokea zawadi ya fulana kabla ya shindano hilo kuanza rasmi ambalo lililofanyika mwishoni mwa wiki katika baa ya Kisuma iliyopo Temeke jijini Dar es salaam. (kushoto) ni balozi wa bia ya Serengeti Premium Lager Caroline Vincent na anayeshudia (katikati) ni mshereheshaji wa shindano hilo Richard Godwin. Kampeni hiyo inafikia tamati jijini Dar es salaam baada ya kumalizika mikoani pia...