Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SBL yazindua kinyaji kipya aina ya “JEBEL COCONUT”

DSC_1091

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Steven Gannon akitoa ufafanuzi wa kinywaji kipya aina ya Pombe kali, kinachojulikana kama Jebel Coconut jana wakati wa uzinduzi wa kinywaji hicho uliofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. DSC_1093 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Steven Gannon akimpongeza Meneja Uvumbuzi wa kampuni hiyo, Attu Mynah, wakati wa shughuli ya uzinduzi wa kinywaji kipya aina ya Jebel coconut, ambacho ni pombe kali, katika hoteli...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SBL YAZINDUA 'JEBEL COCONUT'

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL),  Steve Gannon akiongea na wanahabari (hawapo pichani) siku ya jana. Dar es Salaam, Tanzania-Septemba 23, 2014
KAMPUNI ya Bia ya Serengeti (SBL) moja ya kampuni kubwa za kutengeneza bia nchini na watengenezaji wa bia maarufu aina ya Serengeti Premium Lager wametangaza rasmi kuzindua bidhaa yao mpya inayoitwa Jebel Coconut. Wakionyesha kinywaji kipya cha Jebel...

 

10 years ago

Habarileo

SBL yazindua kampeni kufikia malengo

KAMPUNI ya Bia ya Serengeti (SBL) imezindua kampeni itakayotoa elimu kwa Watanzania ili kusaidia kufikia malengo yaliyo bora kwa manufaa ya kila mmoja na taifa kwa ujumla.

 

10 years ago

Tanzania Daima

SBL yazindua kampeni ya ‘Fanya Kweli’

KAMPUNI ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia kinywaji chake cha Tusker Lager, imezindua kampeni mpya inayojulikana kwa jina la ‘Fanya Kweli’ ambayo itasaidia kujenga maisha ya mtu mmoja na Tanzania...

 

10 years ago

Dewji Blog

SBL yazindua chupa mpya “Tusker 330ml” sokoni

2

Mkurugenzi Masoko wa kampuni ya bia Serengeti, Bw.Ephraim Mafuru, akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa chupa mpya ya bia ya Tusker yenye ujazo wa milimita 330, hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam.

Wateja wa bia ya Tusker Lager kwa mara nyingine wamepewa heshima baada ya  kampuni ya Serengeti Breweries kuingiza sokoni chupa ya bia mpya inayojulikana kama “Tusker ml330”

Chupa hii mpya imezinduliwa mapema jana -Golden Jubilee Tower iliyoko jijini Dar Es...

 

10 years ago

Dewji Blog

SBL yazindua rasmi tuzo ya ubora wa thamani ya Monde Selection kwa wateja wake

2

Mkuu wa kitengo cha Kuhamasisha Masoko kwa wateja toka Kampuni ya bia ya Serengeti Bw. Alfa Mria akizungumza na wateja wa bia ya Serengeti Premium Lager wakati wa uzinduzi rasmi wa tuzo ya ubora wathamaniya Monde Selection ambapo bia ya Serengeti Premium ya SBL imetuzwa medali ya dhahabu mwaka huu wa 2015. Sherehe ya kuzindua ushindi huo kwa wateja ilifanyika katika baa ya Toroka Uje iliyopo Kimara jijini Dar es salaam.

7

8

Meneja Masoko wa Kampuni ya bia ya Serengeti Bi. Anitha Msangi...

 

5 years ago

BBCSwahili

Chronixx asema kuwa Kizazi kipya kinahitaji aina mpya ya maandamano.

Mwanamuziki wa Reggae Chronixx amesema ulimwengu unahitaji aina mpya ya maandamano ili kupata madiliko.

 

11 years ago

Dewji Blog

Mult Choice Tanzania (DSTV) wazindua king’amuzi kipya na cha kisasa aina ya Explorer

 Wadau na wateja wa DSTV wakijadiliana jambo na Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo wakati wa uzinduzi wa king’amuzi chao kipya aina ya explorer

 Wageni waalikwa na wateja wa DSTV wakibadilishana mawazo ndani ya ukumbi wa Southern Sun Hotel jana kwenye uzinduzi wa king’amuzi kipya aina ya Explorer

 Edo Kumwembe akiuliza jambo kwa Meneja mahusiano wa DSTV Barouba Kambogi  wa nne kutoka kushoto jana kwenye Hotel ya Southern Sun

 Wateja na wadau wa DSTV wakiwa wanabadilishana mawazo...

 

10 years ago

Michuzi

ZEST YAZINDUA AINA MPYA YA SIMU

Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya Kimataifa ya Zest imezindua simu mpya zenye huduma zote muhimu kwa bei nafuu.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa simu hizo jijini Dar es Salaam, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo, Salum Awadh amesema kuwa simu hizo ambazo ni imara zitauzwa kwa bei nafuu ili kila mtu aweze kununua.

"tumeingiza sokoni simu mpya aina ya 7 Mobile ambazo zina huduma za mitandao ya kijamii ikiwemo Internet, Whatsap pamoja na Facebook huku bei yake ikiwa ni 35,000, aina nyingine ni Tablet...

 

11 years ago

GPL

MULT CHOICE TANZANIA(DSTV) WAZINDUA KING'AMUZI KIPYA NA CHA KISASA AINA YA EXPLORER

 Wadau na wateja wa DSTV wakijadiliana jambo na Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo wakati wa uzinduzi wa king'amuzi chao…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani