Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MULT CHOICE TANZANIA(DSTV) WAZINDUA KING'AMUZI KIPYA NA CHA KISASA AINA YA EXPLORER

 Wadau na wateja wa DSTV wakijadiliana jambo na Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo wakati wa uzinduzi wa king'amuzi chao…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Mult Choice Tanzania (DSTV) wazindua king’amuzi kipya na cha kisasa aina ya Explorer

 Wadau na wateja wa DSTV wakijadiliana jambo na Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo wakati wa uzinduzi wa king’amuzi chao kipya aina ya explorer

 Wageni waalikwa na wateja wa DSTV wakibadilishana mawazo ndani ya ukumbi wa Southern Sun Hotel jana kwenye uzinduzi wa king’amuzi kipya aina ya Explorer

 Edo Kumwembe akiuliza jambo kwa Meneja mahusiano wa DSTV Barouba Kambogi  wa nne kutoka kushoto jana kwenye Hotel ya Southern Sun

 Wateja na wadau wa DSTV wakiwa wanabadilishana mawazo...

 

11 years ago

Michuzi

DStv wazindua king'amuzi kipya cha Exprola jijini Dar

Meneja Uendeshaji wa Kampuni ya MultiChoice Tanzania,Ronald Baraka Shelukindo akizungumza na baadhi ya waandishi wa habari (wahapo pichani) waliofika kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa King'amuzi kipya na cha kisasa cha DStv kifahamikacho kama DStv Exprola.Uzinduzi huo umefanyika kwenye Hoteli ya Southen Sun jijini Dar es Salaam Mei 06,2014. Meneja Uhusiano wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi akifafanua jambo juu ya matumizi ya king'amuzi hicho. Meneja Uendeshaji wa Kampuni ya...

 

10 years ago

Michuzi

MULTICHOICE YAZINDUA KING’AMUZI KIPYA CHA DStv HD

DSC_0100  
Meneja Uhusiano wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi (Katikati) akifafanua jambo kwenye mkutano na wanahabari (hawapo pichani), wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa king'amuziki kipya cha DStv HD leo jijini Dar. Kulia ni kwake ni Meneja uendeshaji wa Multichoice Tanzania, Ronald Shelukindo na kushoto ni Meneja Masoko wa Multichoice Tanzania, Furaha Samalu.(Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog)
Na Andrew ChaleKAMPUNI ya MultiChoice Tanzania wasambazaji wa ving’amuzi vya DStv,...

 

10 years ago

GPL

DSTV YAZINDUA KING’AMUZI KIPYA

Meneja Uhusiano wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi (Katikati) akifafanua jambo kwenye mkutano na wanahabari (hawapo pichani), wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa king'amuziki kipya cha DStv HD leo jijini Dar. Kulia ni kwake ni Meneja uendeshaji wa Multichoice Tanzania, Ronald Shelukindo na kushoto ni Meneja Masoko wa Multichoice Tanzania, Furaha Samalu.… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Multichoice yazindua king’amuzi kipya

KATIKA kuelekea michuano ya Kombe la Dunia itakayopigwa nchini Brazil mwaka huu, Kampuni ya Multichoice Tanzania imezindua king’amuzi chenye kumwezesha mtazamaji kukitumia kwa kurekodi vipindi mbalimbali ambavyo vilirushwa na kuviangalia...

 

10 years ago

Dewji Blog

DSTV Tanzania yazindua kifurushi kipya

3

Meneja uendeshaji wa Multichoice Tanzania, Ronald Shelukindo (kulia), akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi wa kifurushi kipya cha  DSTV Bomba.(katikati), Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multichoice Tanzania Barbara Kambogi, na kushoto ni Meneja Masoko wa Multichoice, Furaha Samalu.

Na Mwandishi wetu

KAMPUNI ya Multichoice Tanzania  kupitia huduma ya DSTV imewataka wasanii kupeleka kazi zao ili waweze kutambulika nje na ndani ya nchi.

Kauli hiyo imetolewa  Dar es Salaam leo na Meneja Masoko...

 

10 years ago

GPL

CHRISTIAN BELLA 'KING OF THE BEST MELODIES' AAHIDI MAKUBWA SHOO YA VALENTINE'S DAY, DAR LIVE

Christian Bella (kulia) akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari (hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya shoo yake ya Valentine kwenye Ukumbi wa Dar Live. Bella akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani).…

 

5 years ago

Michuzi

CFAO Motors wazindua kizazi kipya cha Mercedes Benz


 Mkurugenzi wa Mauzo wa CFAO Motors Tanzania Ltd, Bi. Tharaia Ahmed (katikati) akimkaribisha Mwakilishi wa Asas Group of Companies, Bw. Faraj Abril (kushoto) wakati wa kuwasili kwa wateja na wageni mbalimbali katika hafla ya uzinduzi wa toleo jipya la kizazi cha tano cha Mercedes Benz – Actros Mirror Cam uliofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi wa Mauzo wa CFAO Motors Tanzania Ltd, Bi. Tharaia Ahmed akiendelea kupokea wageni waalikwa walipokuwa wakiwasili wakati wa hafla...

 

11 years ago

GPL

GLOBAL TV ONLINE YAJA NA KITU KIPYA 'NDANI YA 18'

Kwa sasa utaanza kupata habari motomoto kuhusu kandanda, ndondi, tennis, mishindano ya kuogelea, riadha na kikapu kutoka kwa Presenta wako Saleh Ally kila Ijumaa. STAY TURNED!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani