Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Unaujua mpira wa ‘Chandimu’..??? usome hapa kidogo!

10897956_10205676257055303_6563821237505954734_n

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Tanzania ni miongoni mwa Taifa ambalo limekuwa likikua kila kukicha kwa kila Nyanja ikiwemo Elimu, biashara na Uchumi wake kwa ujumla ambapo mbali na vitu hivyo pia suala la michezo ikiwemo mchezo wa mpira miguu ama soka, umekuwa na mageuzi yake pia.

Tukija katika suala hilo la mageuzi katika soka, ni pamoja na matumizi yake ya nyenzo zilizokuwa zikitumika, ikiwemo mpira katika dimba. Enzi hizo mpira uliokuwa ukitumika ni wa kufuma na makaratasi ambao ni...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HII STORI NI YA MUDA KIDOGO LAKINI NIMEONELEA NIIWEKE HAPA NA WEWE UIPITIE KIDOGO

Kwenye picha anayepandishwa kwenye kalandinga na mkimbiajia wa marathon Deogratiua Lazaro alipomvamia mkimbiaji mbio mwenzake Fabian Joseph na kmjeruhi kwa kumuuma mkono kwa tuhuma za uchawi kwenye mashindano ya mbio za Uhuru marathoni zilizokua sehemu ya sherehe ya miaka 53 ya Uhuru .
MBIO za Uhuru Marathon msimu wa pili zilizofanyika jana kwenye viwanja vya Leaders Club, kwa kiasi fulani zilitiwa dosari kutokana na baadhi ya wanariadha kushutumiana kwa mambo ya kishirikina.

Tukio hilo la...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kama Wewe ni Mwanandoa, Usome Hapa Uchunguzi wa JB

Kuna mabadiliko makubwa mwanaume anayapata akifika umri wa miaka 40.nazungumzia kupevuka kwa akili,maamuzi yenye hekima,busara ,uvumilivu n.k.katika uchunguzi wangu ndoa nyingi zenye wanaume chini ya umri wa40 zina misuko suko sana. nawashauri wanawake wawavumilie wanaume hawa kwani baada ya muda wanakuwa bora zaidi....Maoni

Jacob Stephen ‘@jb_jerusalemfilms’ on Instagram

 

10 years ago

Dewji Blog

Usome wasifu wa Bernard Kamilius Membe hapa

ujumbe 4

Bernard Kamilius Membe alizaliwa tarehe 9 Novemba, 1953, Rondo, Chiponda, katika Mkoa wa Lindi, akiwa ni mtoto wa pili kati wa watoto saba (7) waliozaliwa katika familia ya Mzee Kamillius Anthony Ntachile na Mama Cecilia John Membe. Kwa kabila, Bernard Membe ni Mmwera, na kama ilivyo desturi ya Wamwera, watoto hutumia jina la ukoo wa Mama. Hivyo watoto wote saba wa familia hii ya Mzee Kamillius wamekuwa wanatumia jina la upande wa mama yao, Cecilia, yaani Membe.

Elimu:

1962 – 1968: Elimu...

 

10 years ago

Bongo5

Je! unaujua muswada wa makosa ya mtandaoni 2015?

Wadau mbalimbali wameendelea kutathmini muswada wa mwaka 2015 uliopitishwa bungeni hivi karibuni kuhusu makosa ya mtandaoni. Kama Rais Jakaya Kikwete, Tanzania itakuwa imepata sheria hiyo kwa mara ya kwanza. Baada ya muswada huu kuwekwa hadharani, wadau mbalimbali wameendelea kuusoma na kujadili kwenye mitandao ya kijamii lakini jamii ya watu inayoshughulikia maendelezo ya taaluma katika teknolojia […]

 

10 years ago

Michuzi

CHANDIMU

 Watoto wa mtaa wa kwamtenga  Makongo juu jijini Dar es Salaam wakisakata kabumbu a.k.a Chandimu kama walivyo naswa na kamera ya Globu ya Jamii.  "Beki hasifiwagi" hapa hapiti mtu. Nyanda akijiandaa kudaka mpira kwa woga.(Picha zote na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.)

 

11 years ago

Michuzi

kombe la chandimu tandika

Gado-kwa-gado katika mechi hii ya mchangani huko Tandika, Dar es salaam. Baada ya viwanja vingi kuvamiwa jiji limebakiwa na vichache vya kukuza vipaji kama ilivyokuwa zamani.

 

11 years ago

TheCitizen

Presidency: ‘Chandimu’ dose may come in handy

Chandimu’ is a Kiswahili word-expression derived from a lemon, as a fruit-turned-football. In the days long gone, the 1960s and thereabouts, we, the lads, settled for that tool of soccer, because parents couldn’t waste hard-to-come-by money on buying real (luxurious) balls.

 

9 years ago

Bongo5

Usome ujumbe wa pongezi wa mrembo wa Ommy Dimpoz baada ya kushinda tuzo ya Afrimma

Unapofanya jambo la kishujaa zaidi, ukitoa wazazi mtu wa kwanza kusherehekea nawe kwa ukaribu ni mpenzi wako. Ommy Dimpoz hana tofauti. Muimbaji huyo wa ‘Wanjera’ Jumamosi iliyopita alishinda tuzo ya ‘Best New Comer’ kwenye tuzo za Afrimma zilizofanyika, Dallas, Texas, Marekani. Mpenzi wake aitwaye Zerthun ambaye kwa wanaowafollow Instagram wawili hao wanajua kuwa uhusiano wao […]

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Ukumbusho kidogo

Kaka Hassan Khamis uliwahi kuisikia hii, mimi ndio kwanza nimeisikia leo kwamba Zanzibar ipo hii !!! Khatib amesema: Alikua na mjomba wake ambae alikua Mganga, lakini akiwafanyia ubaya Masheikh ili yeye awe juu siku zote, hakukoma […]

The post Ukumbusho kidogo appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani