Chaneta yaanza kujipanga kimataifa
MWENYEKITI wa Chama cha Netiboli Tanzania (Chaneta), Anne Kibira amesema baada ya kwisha kwa Lidi Daraja la Kwanza hivi karibuni ambapo JKT Mbweni ya jijini Dar es Salaam wameibuka mabingwa,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMAONYESHO YA KIMATAIFA YA ELIMU YAANZA LEO JIJINI DAR.
11 years ago
MichuziKumekucha! Maandalizi ya Tamasha la Kimataifa la 33 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo Septemba 2014 yaanza mapemaaaa!
Na Andrew Chale, Bagamoyo
TAMASHA la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo ambalo kwa mwaka huu (2014) litakuwa la 33, ambapo linatarajia kulindima kwa siku saba, kuanzia Septemba 22 hadi 28, kwenye viunga vya Chuo cha Sanaa Bagamoyo.
Tamasha hilo la 33, mwaka huu, lenye kauli mbiu, “Sanaa na Utamaduni katika kukuza Utalii”, limekuwa msaada mkubwa kwa wasanii na vikundi mbali mbali kujitangaza kitaifa na kimataifa pamoja na kutoa fursa za kibishara katika kipindi chote cha...
10 years ago
Michuzi17 Dec
MAONESHO YA KIMATAIFA YA ELIMU YAANZA LEO VIWANJA VYA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM
9 years ago
Dewji Blog07 Oct
Mikutano ya mwaka ya kundi la Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa yaanza rasmi nchini Lima
Dr. Servacius Likwelile Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali wa katikati akiwa pamoja na Gavana wa Benki kuu ya Tanzania Prof. Benno Ndulu kushoto na Bi. Natujwa Mwamba Naibu Gavana wa Benki kuu ya Tanzania kulia, wakiwa katika mkutano wa chombo kinachotoa mafunzo ya kusimamia mambo ya uchumi (MEFMI) nchini Peru – Lima. ( Picha na Eva Valerian, Peru – Lima).
Mikutano ya mwaka ya Bodi ya Magavana ya Shirika la fedha la Kimataifa na kundi la Benki ya Dunia kwa mwaka 2015...
10 years ago
Dewji Blog17 Dec
Maonyesho ya kimataifa ya elimu yaanza katika viwanja vya Mwl. J. K Nyerere SabaSaba jijini Dar
11 years ago
MichuziWARSHA YA KIMATAIFA KUHUSU MAENDELEO, MIUNDO MBINU NA VITUO VYA MAJI YAANZA RASMI LEO JIJINI DAR
9 years ago
VijimamboMIKUTANO YA MWAKA YA KUNDI LA BENKI YA DUNIA NA SHIRIKA LA FEDHA LA KIMATAIFA YAANZA RASMI NCHINI LIMA LEO TAREHE 5/10/2015
Mikutano ya mwaka ya Bodi ya Magavana ya Shirika la fedha la Kimataifa na kundi la Benki ya Dunia kwa mwaka 2015...
10 years ago
Bongo Movies19 Apr
Maisha ni Kujipanga-Wastara
Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma amesema kuwa anajitahidi kugawa muda wa kuigiza na biashara ili kwenda na kasi ya maisha inayohitaji uwekezaji zaidi
Alisema akili inatakiwa ifikirie kitu zaidi ya kimoja cha kuingiza kipato na kujiaandaa na maisha yajayo badala ya kutegemea kazi moja . Alifafanua kwamba kipaji hakizeeki, lakini itafika wakati kama binadamu umri utakwenda na utahitaji kupumzika na kuacha mikiki mikik ya filamu, hivyo kama haukujipanga mapema itakuja kuwa shida.
Alisema...
11 years ago
Tanzania Daima14 Jun
Chaneta yapewa changamoto
CHAMA cha Netiboli Tanzania (Chaneta), kimetakiwa kuwa na utaratibu wa kuwapandisha madaraja makocha na waamuzi wa mchezo huo ili waweze kupata nafasi ya kutumika kimataifa. Rai hiyo ilitolewa juzi na...