Maisha ni Kujipanga-Wastara
Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma amesema kuwa anajitahidi kugawa muda wa kuigiza na biashara ili kwenda na kasi ya maisha inayohitaji uwekezaji zaidi
Alisema akili inatakiwa ifikirie kitu zaidi ya kimoja cha kuingiza kipato na kujiaandaa na maisha yajayo badala ya kutegemea kazi moja . Alifafanua kwamba kipaji hakizeeki, lakini itafika wakati kama binadamu umri utakwenda na utahitaji kupumzika na kuacha mikiki mikik ya filamu, hivyo kama haukujipanga mapema itakuja kuwa shida.
Alisema...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili08 Jul
WHO,kujipanga kukabili dharula ya afya
11 years ago
Tanzania Daima26 Jul
Chaneta yaanza kujipanga kimataifa
MWENYEKITI wa Chama cha Netiboli Tanzania (Chaneta), Anne Kibira amesema baada ya kwisha kwa Lidi Daraja la Kwanza hivi karibuni ambapo JKT Mbweni ya jijini Dar es Salaam wameibuka mabingwa,...
10 years ago
Mwananchi14 Mar
MAONI: Kurudi nyuma si kujisalimisha ni kujipanga
10 years ago
Mtanzania13 Apr
Sumaye azitaka nchi za Afrika kujipanga upya
New York, Marekani
NCHI za Afrika zimetakiwa kujipanga upya na kuongeza ushirikiano miongoni mwao ili kutumia zaidi masoko yao ya ndani badala ya kutegemea ya nje yenye ushindani mkubwa na hata ukatili.
Rai hiyo imetolewa na Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye wakati akihutubia Mkutano Mkuu wa 12 wa mwaka wa kujadili masuala ya uchumi wa Afrika uliofanyika Chuo Kikuu cha Columbia jijini New York, Marekani jana.
Alisema nchi nyingi za Afrika zimekuwa zikifanya biashara zaidi na nchi za...
10 years ago
Habarileo28 Dec
Wilaya za Dodoma zaagizwa kujipanga kwa kilimo
MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa a m e z i a g i z a wilaya kujipanga ili kuweza kufanikisha shughuli za kilimo na hata kuwahimiza wakulima kutumia vizuri mvua zinazonyesha.
10 years ago
Habarileo27 Mar
Polisi watakiwa kujipanga kuelekea uchaguzi mkuu
WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imelitaka Jeshi la Polisi nchini kujipanga vyema kwa ajili ya kukabiliana na matukio ya uvunjifu wa amani hasa katika kipindi ambacho taifa linaelekea katika matukio muhimu likiwemo la uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
11 years ago
Tanzania Daima29 Jul
NBAA yazidi kujipanga kuchangia ukuaji uchumi
BODI ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Hesabu nchini (NBAA) imeahidi kuendelea kutoa mchango wake wa kitaaluma hapa nchini, ili kuhakikisha uchumi wa nchi unakua. Mkurugenzi Mtendaji wa NBAA, Pius...
11 years ago
Tanzania Daima13 Mar
CHADEMA yatakiwa kujipanga upya kudhibiti kura
UONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Ukonga, umeshauri chama hicho kuwa na mikakati na mbinu mpya katika kudhibiti udanganyifu na wizi wa kura unaofanywa na Chama...
9 years ago
Mwananchi03 Nov
Walimu Manyara watakiwa kujipanga kutumia benki yao