Sumaye azitaka nchi za Afrika kujipanga upya
New York, Marekani
NCHI za Afrika zimetakiwa kujipanga upya na kuongeza ushirikiano miongoni mwao ili kutumia zaidi masoko yao ya ndani badala ya kutegemea ya nje yenye ushindani mkubwa na hata ukatili.
Rai hiyo imetolewa na Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye wakati akihutubia Mkutano Mkuu wa 12 wa mwaka wa kujadili masuala ya uchumi wa Afrika uliofanyika Chuo Kikuu cha Columbia jijini New York, Marekani jana.
Alisema nchi nyingi za Afrika zimekuwa zikifanya biashara zaidi na nchi za...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziJAJI AUGUSTINO RAMADHANI AHIMIZA AFRIKA KUHESHIMU HAKI ZA BINADAMU,AZITAKA NCHI ZAIDI KUTOA TAMKO LA KUITAMBUA MAHAKAMA HIYO
11 years ago
Tanzania Daima13 Mar
CHADEMA yatakiwa kujipanga upya kudhibiti kura
UONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Ukonga, umeshauri chama hicho kuwa na mikakati na mbinu mpya katika kudhibiti udanganyifu na wizi wa kura unaofanywa na Chama...
5 years ago
MichuziMWAKALINGA AMTAKA MHANDSI MSHAURI WA LUSITU- MAWENGI KUJIPANGA UPYA
Mhandisi Mshauri, Moon Dong Ryeol, anayesimamia barabara ya Itoni- Ludewa- Manda sehemu ya Lusitu- Mawengi (Km 50) inayojengwa kwa kiwango cha zege akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, anayeshughulikia Sekta ya Ujenzi, Mbunifu Majengo, Elius Mwakalinga (Kushoto), wakati akikagua barabara hiyo mkoani...
10 years ago
Mwananchi08 Sep
Zitto azitaka fainali za Afrika 2017
11 years ago
Habarileo12 Feb
Sumaye: Uvunjifu wa amani ni hatari kwa nchi
JAMII imehadharishwa dhidi ya uvunjifu wa amani kuwa ni hatari kwa maendeleo ya uchumi wa nchi na watu kwa ujumla. Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye alisema hali ya utulivu ni chachu katika kukuza uchumi.
11 years ago
Tanzania Daima28 Mar
Sumaye awaasa viongozi Afrika
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amewaasa viongozi wa nchi za Afrika kutumia rasilimali walizonazo na fursa zinazojitokeza kujikwamua kiuchumi. Sumaye alitoa wito huo jana nchini Marekani, katika Chuo Kikuu cha Elizabeth...
10 years ago
Michuzimkutano wa Mawaziri wa Mazingira na Mambo ya Nje kutoka nchi za kamati ya wakuu wa nchi za Afrika kufanyika Agosti 29, jijini Dar
Alitoa rai hiyo alipokuwa akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dar-es-salaam kuhusu mkutano wa Mawaziri wa Mazingira na Mambo ya Nje kutoka nchi za kamati ya wakuu wa nchi za Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi utakaofanyika jijini Dar-es -salaam katika ukumbi wa...
11 years ago
Habarileo04 Apr
Sumaye: Viongozi Afrika acheni utegemezi
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amewataka viongozi wa Afrika, kuacha tabia ya kutegemea nchi tajiri, kugharimia mipango ya maendeleo zao. Badala yake, ametaka viongozi wawe wabunifu wa kuandaa mipango ya kuondoka kwenye utegemezi uliokithiri.