MWAKALINGA AMTAKA MHANDSI MSHAURI WA LUSITU- MAWENGI KUJIPANGA UPYA
![](https://1.bp.blogspot.com/-riUbs6qPgUc/XlvTA2R8YSI/AAAAAAALgOU/ImuEwNIA54ch_HrCUBXjPZyY4dScaaHXQCLcBGAsYHQ/s72-c/1-768x512.jpg)
Mhandisi Mshauri, Moon Dong Ryeol, anayesimamia barabara ya Itoni- Ludewa- Manda sehemu ya Lusitu- Mawengi (Km 50) inayojengwa kwa kiwango cha zege akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, anayeshughulikia Sekta ya Ujenzi, Mbunifu Majengo, Elius Mwakalinga (Kushoto), wakati akikagua barabara hiyo mkoani...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania13 Apr
Sumaye azitaka nchi za Afrika kujipanga upya
New York, Marekani
NCHI za Afrika zimetakiwa kujipanga upya na kuongeza ushirikiano miongoni mwao ili kutumia zaidi masoko yao ya ndani badala ya kutegemea ya nje yenye ushindani mkubwa na hata ukatili.
Rai hiyo imetolewa na Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye wakati akihutubia Mkutano Mkuu wa 12 wa mwaka wa kujadili masuala ya uchumi wa Afrika uliofanyika Chuo Kikuu cha Columbia jijini New York, Marekani jana.
Alisema nchi nyingi za Afrika zimekuwa zikifanya biashara zaidi na nchi za...
11 years ago
Tanzania Daima13 Mar
CHADEMA yatakiwa kujipanga upya kudhibiti kura
UONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Ukonga, umeshauri chama hicho kuwa na mikakati na mbinu mpya katika kudhibiti udanganyifu na wizi wa kura unaofanywa na Chama...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ooQBgZWQE4A/XlUJg_G7y0I/AAAAAAALfQo/pBr5hHx99xwDkH87G_705iXAG-7_NynhQCLcBGAsYHQ/s72-c/1-57.jpg)
MWAKALINGA AAHIDI MAZURI OSBP KASUMULU
![](https://1.bp.blogspot.com/-ooQBgZWQE4A/XlUJg_G7y0I/AAAAAAALfQo/pBr5hHx99xwDkH87G_705iXAG-7_NynhQCLcBGAsYHQ/s640/1-57.jpg)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mbunifu Majengo, Elius Mwakalinga, akitoa maelekezo kwa Mbunifu Majengo, Daniel Mandari (Wa pili kushoto), kutoka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), ambae anasimamia ujenzi wa kituo cha ukaguzi wa pamoja (OSBP), cha Kasumulu mkoani Mbeya, kuhusu ujenzi wa kituo hicho.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/2-47.jpg)
5 years ago
MichuziMWAKALINGA ATOA SIKU MBILI BARABARA KUKARABATIWA
5 years ago
MichuziMWAKALINGA AWATAKA MAKANDARASI KUTUMIA TAARIFA ZA TMA
Mkandarasi kutoka kampuni ya China Wu Yi, Mhandisi David Kipiki, akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mbunifu Majengo, Elius Mwakalinga (WaTatu Kulia), alipokuwa akikagua Daraja la Mto Koga, mkoani Katavi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mbunifu Majengo, Elius Mwakalinga, akitoa maelekezo kwa Mhandisi Mshauri wa Kampuni ya Igis anayesimamia mradi wa ujenzi wa barabara ya Tabora - Koga -...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-GEPjoAh-e4k/XlEV4UzQ2tI/AAAAAAALe0g/qA1t5Cp0LgsuJIXiLeWbd3IpbbynSOYDwCLcBGAsYHQ/s72-c/1-47-1024x782.jpg)
MWAKALINGA AWATATAKA MAKANDARASI KUTUMIA TAARIFA ZA TMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-GEPjoAh-e4k/XlEV4UzQ2tI/AAAAAAALe0g/qA1t5Cp0LgsuJIXiLeWbd3IpbbynSOYDwCLcBGAsYHQ/s640/1-47-1024x782.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/2-40-1024x751.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-TPD5St3iGVo/XpYMT4kYjJI/AAAAAAALm88/iQThXCWSn2YFq_fDgGp4nF2eGyTwnnU3wCLcBGAsYHQ/s72-c/1-24.jpg)
KATIBU MKUU MWAKALINGA AKAGUA UTEKELEZAJI WA MKAKATI WA WIZARA KUJIKINGA NA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-TPD5St3iGVo/XpYMT4kYjJI/AAAAAAALm88/iQThXCWSn2YFq_fDgGp4nF2eGyTwnnU3wCLcBGAsYHQ/s640/1-24.jpg)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mbunifu Majengo, Elius Mwakalinga, akihakiki utekelezaji wa mkakati wa Sekta ya Ujenzi kwa watumishi katika kutekeleza maelekezo ya Wizara ya Afya namna ya kujikinga na maambukizi ya Homa ya Mapafu (Covid – 19), jijini Dodoma.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/2-16.jpg)
9 years ago
Mwananchi01 Nov
DK MONA MWAKALINGA :Msomi anayetamani wasaniii wazingatie weledi kwenye kazi zao