Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWAKALINGA AAHIDI MAZURI OSBP KASUMULU


Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mbunifu Majengo, Elius Mwakalinga, akitoa maelekezo kwa Mbunifu Majengo, Daniel Mandari (Wa pili kushoto), kutoka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), ambae anasimamia ujenzi wa kituo cha ukaguzi wa pamoja (OSBP), cha Kasumulu mkoani Mbeya, kuhusu ujenzi wa kituo hicho.Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mbunifu Majengo, Elius Mwakalinga (Wa Tatu kulia),...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TANZANIA AND BURUNDI TO OPERATIONALIZE OSBP CONCEPT AT KABANGA/KOBERO BORDER

Kobero OSBP- This is a new building (temporary) to be used for pilot project at Kobero border on Burundi side. Kabanga OSBP- This is a new building (permanent) to be used for permanent OSBP project at Kabanga border on Tanzania Side. Immigration Kabanga: This is an immigration building it will be used for OSBP pilot project whereby immigration officers from both countries will be housed there. TradeMark East Africa Manager for OSBPs Mr Israel Sekirasa showing participants of the...

 

5 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA MPAKA WA KASUMULU WAIPONGEZA TRA KWA KUWAPA ELIMU YA KODI

 NA MWANDISHI WETU- MBEYA
Wafanyabiashara katika mpaka wa Kasumulu unaotenganisha nchi za Tanzania na Malawi uliopo wilaya ya Kyela mkoa wa Mbeya wameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kutoa elimu ya Kodi ambayo inawaongezea uelewa wa masuala ya Kodi na ari ya kuilipa kwa hiari.
Hayo yameyasemwa na wafanyabiashara wa mpaka wa Kasumulu mara baada ya kutembelewa katika b8ashara zao na kupewa elimu ya ulipaji kodi na maofisa wa TRA wanaofanya kampeni maalumu ya elimu ya Kodi  ya mkoa...

 

5 years ago

Michuzi

MWAKALINGA AWATAKA MAKANDARASI KUTUMIA TAARIFA ZA TMA


Mkandarasi kutoka kampuni ya China Wu Yi, Mhandisi David Kipiki, akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mbunifu Majengo, Elius Mwakalinga (WaTatu Kulia), alipokuwa akikagua Daraja la Mto Koga, mkoani Katavi.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mbunifu Majengo, Elius Mwakalinga, akitoa maelekezo kwa Mhandisi Mshauri wa Kampuni ya Igis anayesimamia mradi wa ujenzi wa barabara ya Tabora - Koga -...

 

5 years ago

Michuzi

MWAKALINGA ATOA SIKU MBILI BARABARA KUKARABATIWA

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,anayeshughulikia Sekta ya Ujenzi, Mbunifu Majengo, Elius Mwakalinga,akitoa maagizo kwa Meneja Wa TANROADS, Mkoa wa Mbeya, MhandisiEliazary Rweikiza (kulia), alipokuwa akikagua barabara ya Isyonje- Makete(Km 96.4). Barabara hiyo inaunganisha mkoa wa Mbeya na Njombe. Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,anayeshughulikia Sekta ya Ujenzi, Mbunifu Majengo, Elius Mwakalinga,akifafanua jambo kwa kwa wawakilishi wa...

 

5 years ago

Michuzi

MWAKALINGA AWATATAKA MAKANDARASI KUTUMIA TAARIFA ZA TMA


 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mbunifu Majengo, Elius Mwakalinga, akitoa maelekezo kwa Mhandisi Mshauri wa Kampuni ya Igis anayesimamia mradi wa ujenzi wa barabara ya Tabora – Koga – Mpanda sehemu ya Koga – Kasinde (Km 112), mkoani Katavi.Mkandarasi kutoka kampuni ya China Wu Yi, Mhandisi David Kipiki, akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mbunifu Majengo, Elius...

 

5 years ago

Michuzi

MWAKALINGA AMTAKA MHANDSI MSHAURI WA LUSITU- MAWENGI KUJIPANGA UPYA



 Mhandisi Mshauri, Moon Dong Ryeol, anayesimamia barabara ya Itoni- Ludewa- Manda sehemu ya Lusitu- Mawengi (Km 50) inayojengwa kwa kiwango cha zege akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, anayeshughulikia Sekta ya Ujenzi, Mbunifu Majengo, Elius Mwakalinga (Kushoto), wakati akikagua barabara hiyo mkoani...

 

5 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU MWAKALINGA AKAGUA UTEKELEZAJI WA MKAKATI WA WIZARA KUJIKINGA NA CORONA


Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mbunifu Majengo, Elius Mwakalinga, akihakiki utekelezaji wa mkakati wa Sekta ya Ujenzi kwa watumishi katika kutekeleza maelekezo ya Wizara ya Afya namna ya kujikinga na maambukizi ya Homa ya Mapafu (Covid – 19), jijini Dodoma.Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mbunifu Majengo, Elius Mwakalinga, akifafanua jambo kwa Mhasibu wa Sekta hiyo, Bw. Thomas Malima,...

 

9 years ago

Mwananchi

DK MONA MWAKALINGA :Msomi anayetamani wasaniii wazingatie weledi kwenye kazi zao

Unapotaja orodha ya wanawake wenye mchango katika sanaa ya Tanzania, huwezi kuliweka pembeni jina la Dk Mona Mwakalinga, msomi na mkuu wa Idara ya Sanaa na Sanaa za Maonyesho ya Chuo Kikuu cha Dar es Saalam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kujenga mazingira mazuri kazini

KUNA vitu mbalimbali ambavyo kiongozi au meneja anaweza kuvifanya ili kuweka mazingira ya kazi katika hali nzuri. Miongoni mwa vitu hivyo ni kujenga kuaminiwa na wale anaowaongoza. Kujenga uaminifu ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani