MWAKALINGA ATOA SIKU MBILI BARABARA KUKARABATIWA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,anayeshughulikia Sekta ya Ujenzi, Mbunifu Majengo, Elius Mwakalinga,akitoa maagizo kwa Meneja Wa TANROADS, Mkoa wa Mbeya, MhandisiEliazary Rweikiza (kulia), alipokuwa akikagua barabara ya Isyonje- Makete(Km 96.4). Barabara hiyo inaunganisha mkoa wa Mbeya na Njombe.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,anayeshughulikia Sekta ya Ujenzi, Mbunifu Majengo, Elius Mwakalinga,akifafanua jambo kwa kwa wawakilishi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo06 Feb
Barabara zote za ndani kukarabatiwa Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck akiwa na mwenyeji wake, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Mfuko wa Barabara Zanzibar umedhamiria kuzifanyia ukarabati barabara za ndani katika majimbo ya uchaguzi Unguja na Pemba ili kurahisisha huduma za usafiri.
10 years ago
Habarileo15 Dec
Soko la Mchikichini kukarabatiwa
KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL) imejitolea kukarabati miundombinu ya maji iliyoharibiwa kutokana na ajali ya moto iliyotokea katika Soko la Mchikichini, lililoungua hivi karibuni na kusababisha hasara ya mamilioni ya fedha.
10 years ago
Michuzi28 Apr
WANAFUNZI WA CHUO CHA UALIMU PATANDI WAZUIA BARABARA YA ARUSHA MOSHI KWA SAA MBILI

kamanda wa polisi mkoa wa ArushaHali ya Sintofahamu imeukumba mji wa Tengeru leo Asubuhi baada ya wanafunzi wa chuo cha ualimu Patandi Kufunga barabara kwa muda wa masaa mawili na kuacha shughuli za maendeleo kusimama kwa muda huku magari ya abiria yanayokwenda katika mikoa ya Kilimanjaro,Tanga na Dar es salaam na mji mdogo wa usa river na maeneo mengine kupata adha hiyo.
Wanafunzi hao walizuia bara bara hiyo wakishinikiza madai yao kusikiliza kwani wameshatoa malalamiko yao kwa uongozi...
10 years ago
MichuziMBUNGE WA MOROGORO MJINI ATOA WIKI MBILI KWA MTENDAJI WA KATA KURUDISHA FEDHA ZA WANANCHI
10 years ago
Habarileo20 Oct
Kikwete kutembelea Ruvuma siku mbili
RAIS Jakaya Kikwete leo anatarajia kuanza ziara ya siku mbili mkoani Ruvuma, ikiwa ni mara yake ya mwisho kufanya ziara mkoani humo, kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
10 years ago
GPLDIWANI WA KATA YA VIJIBWENI (CCM), ATOA PIKIPIKI MBILI KWA AJILI YA KUSAIDIA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA
10 years ago
GPLDIWANI WA KATA YA VIJIBWENI ATOA PIKIPIKI MBILI KWA AJILI YA KUSAIDIA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA
9 years ago
BBCSwahili19 Nov
Foleni ya magari yadumu siku mbili Mombasa
11 years ago
Habarileo13 Mar
Siku mbili na nusu kutumika kuapisha wajumbe
SHUGHULI ya kuapishwa wajumbe wa Bunge maalumu la katiba itachukua siku mbili na nusu kutokana na wajumbe hao kupinga kuapishwa kimakundi kama ilivyopendekezwa awali na kamati ya kanuni na sasa ataapishwa mjumbe mmoja mmoja.