Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWAKALINGA AWATAKA MAKANDARASI KUTUMIA TAARIFA ZA TMA


Mkandarasi kutoka kampuni ya China Wu Yi, Mhandisi David Kipiki, akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mbunifu Majengo, Elius Mwakalinga (WaTatu Kulia), alipokuwa akikagua Daraja la Mto Koga, mkoani Katavi.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mbunifu Majengo, Elius Mwakalinga, akitoa maelekezo kwa Mhandisi Mshauri wa Kampuni ya Igis anayesimamia mradi wa ujenzi wa barabara ya Tabora - Koga -...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MWAKALINGA AWATATAKA MAKANDARASI KUTUMIA TAARIFA ZA TMA


 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mbunifu Majengo, Elius Mwakalinga, akitoa maelekezo kwa Mhandisi Mshauri wa Kampuni ya Igis anayesimamia mradi wa ujenzi wa barabara ya Tabora – Koga – Mpanda sehemu ya Koga – Kasinde (Km 112), mkoani Katavi.Mkandarasi kutoka kampuni ya China Wu Yi, Mhandisi David Kipiki, akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mbunifu Majengo, Elius...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Bendera awataka wanahabari kuunga mkono jitihada za TMA


NA WILLIAM SHECHAMBO
MKUU wa mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, amewataka wanahabari nchini kutumia nafasi waliyonayo kuunga mkono jitihada zinazofanywa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), kwa manufaa ya taifa.
Amesema jitihada hizo, ambazo ni utoaji wa taarifa za mabadiliko ya hali ya hewa kwa wakati na uhakika, haziwezi kuwafikia walengwa bila kuwepo vyombo vya habari ambavyo huunganisha jamii, serikali na taasisi binafsi.
Bendera alitoa rai hiyo jana mkoani Morogoro, wakati akifungua...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wananchi wahamasishwa na taarifa TMA

IMEELEZWA hamasa ya wananchi kupata taarifa ya hali ya hewa imeongezeka baada ya majanga yanayotokea baharini. Kaimu Mkuu wa Shughuli za Hali ya Hewa kituo cha Zanzibar, Hafidhi Bakari, alibainisha...

 

11 years ago

Mwananchi

TMA kubadili mbinu utoaji taarifa

>Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk Agness Kijazi amesema licha ya mamlaka hiyo kutoa taarifa za hali ya hewa,   watumiaji wamekuwa hawazingatii  hali inayosababisha kuendelea kutokea kwa majanga.

 

11 years ago

Habarileo

TMA: Msidharau taarifa za hali ya hewa

Dk Agness KijaziWATANZANIA wametakiwa kutodharau tafiti na taarifa, zinazotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), kwani mabadiliko ya mara kwa mara ya hali ya hewa yanayotokea yanaweza kuleta madhara.

 

9 years ago

Habarileo

TMA yaahidi kutoa taarifa sahihi

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema kuwa itaendelea kuboresha utoaji wa taarifa za hali ya hewa nchini kwa kutoa taarifa sahihi na zenye ubora.

 

9 years ago

Mwananchi

Awataka kutumia benki kuhifadhi fedha

Watanzania wametakiwa kuacha tabia ya kuhifadhi fedha nyumbani kwa kuwa njia hiyo si salama, badala yake watumie benki ili kujiongezea faida na kukuza mitaji ya biashara.

 

9 years ago

Mtanzania

Vanessa awataka wasanii kutumia falsafa ya ‘hapa kazi tu’

Vanessa-mdeeNA MWANDISHI WETU

 MSANII Vanessa Mdee ambaye ni mmoja wa wanamuziki wanaoshiriki onyesho la Coke Studio linaloendelea, amewaasa wanamuziki wa Tanzania kufanya kazi kwa bidi na kuzingatia falsafa ya ‘hapa kazi tu’ iliyoanzishwa na Rais wa Awamu ya Tano wa Tanzania, John Magufuli.

Akizungumza na vijana juu ya mafanikio yake jijini Dar es Salaam jana, Vanessa alisema kuwa mafanikio aliyonayo hayakuja kama mvua, bali yametokana na kufanya kazi kwa bidii, kujiamini na kuwa mbunifu.

“Mafanikio...

 

5 years ago

Michuzi

RC TABORA AWATAKA TRA KUTUMIA TEHAMA KUJENGA MAZINGIRA RAFIKI NA MLIPA KODI

 Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ( wa tatu kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja  na Watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) mara baada ya kufunga mafunzo ya siku sita ya matumizi ya mifumo ya TEHAMA katika utendaji kazi kwa  Watendaji wa TRA wa Mikoa ya Katavi, Kigoma na Tabora wanaohusika na ukusanyaji wa mapato. Baadhi ya Watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) wakiwa katika siku ya mwisho ya  mafunzo ya siku sita  ya matumizi ya mifumo ya TEHAMA katika kuongeza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani